Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Hamna ipo full kila kitu. Kafunguka vitu vya maana sana ndio utaelewa kiundani kuhusu JPM.hiyo interview inatoka kwa episodes au vp yaani
Wasukuma aliowapendelea JPM ndio waliomwangusha maana waliiba hela na kushindwa kuizungusha. Hela zilizoibwa miaka ya JPM ziliishia kwa wanawake na magari ya bei mbaya. Aliwawezesha viwanja bora vya NHC kule chato wote mkashindwa kumsupport na kuvinunua. Kuna yule alikuwa waziri wa maliasili na utalii alipiga 2 billions akaishia kufanya biashara ya kununua na kuuza mazao are you serious ? Wakati Juzi juzi tumeshuhudia huyu tajiri wa Manyara anakuambia ameanza na mtaji wa 25 millions. Maisha ukiyafosi kuna vitu vingi unaviruka.JPM the great.
Wapeleke mahakamani.Wasukuma aliowapendelea JPM ndio waliomwangusha maana waliiba hela na kushindwa kuizungusha. Hela zilizoibwa miaka ya JPM ziliishia kwa wanawake na magari ya bei mbaya. Aliwawezesha viwanja bora vya NHC kule chato wote mkashindwa kumsupport na kuvinunua. Kuna yule alikuwa waziri wa maliasili na utalii alipiga 2 billions akaishia kufanya biashara ya kununua na kuuza mazao are you serious ? Wakati Juzi juzi tumeshuhudia huyu tajiri wa Manyara anakuambia ameanza na mtaji wa 25 millions. Maisha ukiyafosi kuna vitu vingi unaviruka.
Sina haja ya kuwapeleka mahakamani mindset kitu muhimu sana na sina hio mindset.Wapeleke mahakamani
Then; shut up your f* foul mouth.Sina haja ya kuwapeleka mahakamani mindset kitu muhimu sana na sina hio mindset.
Mshana Jr hii picha ina ujumbe mkali sana, imenikumbusha ule uzi wako. Kesho nitakuwa huko pande za kwetu