Maendeleo hayaletwi na mtu mmpoja na hayafanywi ndani ya siku moja. Bado sana ndugu yangu mpaka muamke. Hata support ya kuendeleza shule zenu hamfanyi. Kila mtu anakumbatia watoto wake na familia yake. Hamtaki kuwezeshana mnawambia walio chini wapige kazi. Maisha yana siri kubwa sana ndugu zangu kufanya kazi hakukufanyi utoboe. Tumieni akili pelekeni watoto shule badala ya kuwapa ng'ombe π π π π