Kuahirisha game ya Al Ahly Vs Belouizdad kuna namna?

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini.

Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.

Nimewaza tu
 
Al Ahil kacheza jana kwahiyo asafiri toka Brazil mpaka hapa Africa n kipengere
Jeddah ipo wapi?
Screenshot_20231219-143645.jpg
 
Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini .

Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.

Nimewaza tu

Ipo hivo, yanga apigwe tuu
 
Al Ahly ana mchezo wa Club World Cup ijumaa hii tarehe 22 wa mshindi wa 3 dhidi ya Urawa Reds au Manchester City wanaocheza leo usiku saa 3.

Manchester City mchezo wake wa EPL dhidi ya Brentford J'mosi umeahirishwa pia. Mchezo wa Al Ahly vs Beloizdad nafikiri utachezwa J'4 ya wiki ijayo. Ijumaa ya juzi Al Ahly alipaswa kucheza na Pyramids ligi kuu ila mchezo wake uliahirishwa.
 
Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini.

Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.

Nimewaza tu
Msamaria mmoja kaandika;
"Kuna watu hamshirikishi ubongo kabla ya kuleta thread". Nenda kaongeze jina lako kwenye ile orodha.
 
Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini.

Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.

Nimewaza tu
Hakikisha kama ni mwanaume tafuta mwanamke mwenye akili ili watoto wapate kidogo akili ya mama maana wewe hauna kabisa , haiwezekani una access ya mtandao na haujui sababu iliyo wazi kabisa mechi ya Ahly kuairishwa
 
Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini.

Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.

Nimewaza tu
Chomoa mwiko kwanza huko nyuma ndio utajua kuwa utopolo hamna mnachokijua kuhusu football,
Maana hujui hata kama Al ahly amecheza jana club world cup na Fluminense alafu unauongelea mpira.。
 
Back
Top Bottom