Kuajiriwa ni utumwa

Kijana mbona unatumia nguvu sana hauna kazi ya kufanya nn?

Maneno mengi kama na facts hamna ni guts tu za kutosha....Makasiriko ya kufa mtu .

Motivational quotes zinakusumbua kama hautaki basi Haina haha ya kuja hadharani kuaminisha watu..kuna jamaa alikuchapa na fact ndo maana bado umemuweka akilini
 
Ok. Next please...
Nenda shule ujue hata maana ya kuajiriwa. We ni mbumbumbu ktk hii dunia. Kwa hiyo utajitibu mwenyewe hostitalini, utajifundisha mweneyewe, kiwanda chako utatengeneza bidhaa mwenyewe, utajenga nyumba yako mwenyewe, utaendesha magari mwenyewe. Ndiyo maana nikasema we ni mbumbumbu.
 
Fact gani sasa wakati bado kaolewa
 
Mbumbumbu wewe kwasababu bado umeolewa
 
Wamembie hawa wake za maboss
 
Vijana wanaopinga ndoa wameingia tena kupinga kuajiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…