Kuajiriwa ni utumwa

Kuajiriwa ni utumwa

Kama ambavyo kipindi kile cha Utumwa wa mwili WA kufanya kazi mashambani walichagua weusi wachache wakawapa asali ili wawasulubu wenzao.
Yalipoisha haya wakaona no way watumwa wetu wawe free. Ndo wakaleta kitu cha kuajiriwa (UTUMWA WA FIKRA) au utumwa WA kulipwa hela. So you feel free but A Slave. Na ndio tukaletewa mfumo huu WA elimu ambao Kazi yake kutengeneza WATUMWA ZAIDI na serikali inahitaji watumwa kila mwaka. na huu mfumo WA elimu uko huku zaidi maana sisi huku ni wazee kutoa malighafi. Kuonyesha jinsi wewe ulivyo Mtumwa na ndio maana hela yako mwenyewe ya Nffs etc wanakunyima au wanakupa kama kijiko cha dawa. [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] And you can't say shit about it. Because you are a SLAVE.
Walikuwa wanawapiganisha watu weusi mpk wanauana wao wakiwa juu wanaangalia WA enjoy Bure. Then after utumwa ule kuisha WA kasema why tusiwape pesa wajione they are free kidogo..... But mchezo ni ule ule KUPIGANA Mpaka mnachakaa.
 
simzidi mamako aliyemruhusu babako kumkojolea ukazaliwa mpumbavu kama wewe angeweza kumshauri kuvaa condom lisizaliwe lipoyoyo kama wewe lisilo na faida hapa duniani.
Bora mama kuliko wewe mtoto wa kiume umeolewa kuna tofauti kubwa sana. Unapomtusi mama nadhani we ujaliwa na mwanamme umezaliwa na mwanamke so kaa kwa kutulia. Akili kisoda
 
Watumwa ni lazima wawepo ili kuwafanyia kazi waajiri wao kwa ujira waliopatana. Kuna wafanyakazi wanaitwa watumishi wa umma, kule kuna waajiriwa wengi sana. Sasa kila mtu akikataa kuajiriwa kwa dhana ya kuwa mtumwa serikali na taasisi binafsi zitakosa wafanyakazi na huduma zitasimama.
 
Angalia ulikokuwa umeajiriwa. Kuna ajira watu wamerelax na wanakula bata balaa sasa ukisema kuajiriwa ni utumwa mtu kama huyo hawezi kukuelewa. Uzuri wa ajira, hasara ya mwajiri wewe haikuhusu na faida ya mwajiri wewe haikuhusu. Ila lazima mshahara uingie.
 
blaza umeandika uzi mbili zote una diss kuajiriwa, vipi umefukuzwa kazi au ume resign kwa sababu zako?
Huyu katafuta kazi kakosa, kwahiyo kujifariji ili maisha yaendelee anajiambia hii falsafa.

Tusimlaumu, ameteseka sana kutafuta kazi bila matokeo. Hicho ndicho alichohitimisha. Hawezi kuelewa kua hayupo sahihi kwasababu amekua frustrated .

Hayuko pekeake.
 
Upo nyumban kwa mume wa dada yako unakula unakunya unalala bure unaona watu wajinga... Mume wenu kaenda kazin kamuachia dada yako ela ya mboga chenchi iliyobaki umenunua bando ili uje kuandika upumbav... Utaendelea kupakatwa na mwanaume mwenzako hadi marinda yakuishe...
 
Kuna kijana kaniuliza kwani we uliyejiajiri unaingiza zaidi ya 5M au upo chini ya hapo.
Na mjibu kama ifuatavyo...
Itapendeza kama tukifahamu kuwa jamii inahitaji kila kada, kila taaluma na kila kazi. Ni ujuha kudhani au kujiaminisha kuwa watu wote wanaweza kuwa wafanya biashara. Au watu wote wanaweza kuwa wa kada moja, au watu wote wanatakiwa kujiajiri n.k.

Hapo ulipo ukiumwa unajitibu mwenyewe kwenye biashara yako? Mtoto wako unamfundisha mwenyewe ukiwa kwenye biashara yako?

Ukitaka kupata leseni au huduma yoyote unajifanyia mwenyewe au unaenda kwa mfanya biashara mwenzako kuipata?

Au biashara yako ikikua utaendelea kuiendesha mwenyewe bila kuhitaji watu wa kukusaidia utakaowalipa (waajiriwa)? Fikiri vizuri kabla hujaandika chochote ili usije onekana una uwezo mdogo wa kufikiri
 
Kwa nchi kama ya tanzania ,kujiajiri bila makandokando,utasota sana.

TRA(serikali) ipo pale kwa ajili ya kuwakandamiza wafanyabiashara,hii nchi ngumu sana.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Angalia ulikokuwa umeajiriwa. Kuna ajira watu wamerelax na wanakula bata balaa sasa ukisema kuajiriwa ni utumwa mtu kama huyo hawezi kukuelewa. Uzuri wa ajira, hasara ya mwajiri wewe haikuhusu na faida ya mwajiri wewe haikuhusu. Ila lazima mshahara uingie.
Kula bata sio huru huo kiongozi. Ni sawa na shule za private kuwa na siku maalumu ya kucheza muziki au kuinjoi na kujimix na wanafunzi wengine
 
Back
Top Bottom