Kuajiriwa ni utumwa

We ndo umepakatwa kwasababu umeolewa. Acha utumwa me sina hata dada so cool
 
Maisha ni kupanga na kuchagua kila mmoja ashinde mechi zake mradi tumbo halilali njaa.
 
Itapendeza kama tukifahamu kuwa jamii inahitaji kila kada, kila taaluma na kila kazi. Ni ujuha kudhani au kujiaminisha kuwa watu wote wanaweza kuwa wafanya biashara...
We ndo unauwezo mdogo wa kifikra serious nakwambia. Nikuulize nani ataki kuwa na elimu ila kutokana na mambo kubana anabidi akaze hivo hivo.

Sio kwamba watu hawajui kuwa kuajiriwa ni utumwa ila anajiuliza anaanzaje kujiajiri au jamii itamchukuliaje
 
Admini naomba funga huu uzi[emoji16][emoji16].

Leo siku ya 3 ya mchuano, ubao wa matokeo unasoma hivi.

Watumwa 0 wapambanaji 3
[emoji1787][emoji1787]

Baada ya kuziduwa watumwa wameanza kurusha mawe uwanjani [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…