Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2,351
Reaction score
2,255
Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they have??? Do they believe in TRINITY, SALVATION THROUGH JESUS CHRIST, INCARNATION, VIRGIN BIRTH of Jesus na kadhalika?
 
Wanasayansi wenyewe wanaotafiti maswala ya anga bado hawajathibitisha uwepo wa wanadamu ama viumbe kwenye sayari nyingine isipokuwa sayari yetu. Halafu wewe umakaa hapo kwenye sofa sijui kijiwe cha kahawa unasema wasioamini uwepo wa hivyo viumbe hawana akili.

Heshimu imani za watu.
 
Hawajaweza kuthibitisha kwa sababu we have limited resources. Eti nimekaa kwenye kijiwe cha kahawa! Haya asante mkuu.
 
Mimi nahesabu kama tulio kwenye hii sayari akili zetu zimepumbazwa kupita maelezo. Ukijifunza Astronomy na Quantum Physics sidhani kama mawazo haya tuliyolishwa utayakubali.
Astronomy yenyewe haijathibitisha uwepo wa viumbe wengine out of this milk way galaxy. Wewe umetoa wapi taarifa hadi kusema kuwa huenda kuna viumbe wengine
 
Even the common sense doesn't agree with it.
 
Astronomy yenyewe haijathibitisha uwepo wa viumbe wengine out of this milk way galaxy. Wewe umetoa wapi taarifa hadi kusema kuwa huenda kuna viumbe wengine
Mkuu hebu tuwe wakweli. Hata kwa hesabu tu ambayo ndio inatawala ulimwengu wote, what is the probability that among bilions of solar systems life could only evolve on milkway galaxy among bilions of solar systems?
 
Ukiufikiria ukubwa wa huu ulimwengu, itakuwa ngumu sana kwako kuamini hawapo kabisa.

Chanzo cha ulimwengu ni gumzo, watu wana mitazamo tofauti tofauti.

Mpaka tutakapokubaliana kwenye mtazamo mmoja, mimi naamini hakijulikani.

Kwa ukubwa wa ulimwengu Ni vigumu kukosekana viumbe wengine(aliens) katika sayari nyingine.
Hizo zote ni mawazo ambayo ni fikiliki na hapo kila mmoja anabaki na imani yake ila hakuna physical evidance kuwa Living organism exists in another galaxy apart from milk way galaxy
 
Ukiufikiria ukubwa wa huu ulimwengu, itakuwa ngumu sana kwako kuamini hawapo kabisa.

Chanzo cha ulimwengu ni gumzo, watu wana mitazamo tofauti tofauti.

Mpaka tutakapokubaliana kwenye mtazamo mmoja, mimi naamini hakijulikani.
Mbona sayansi ya ulimwengu iko wazi? Tuna observable universe ambapo ndipo vyombo vyetu vinaishia? At the moment we can not see beyond that. Our equipments can not see beyond that. Baadae tukijiongeza kisayansi tutajua mengi zaodi. Hata hiyo nadharia ya chanzo cha ulimwengu (quantum singularity) nani ameweza kuieleza sawasawa?
 
NASA na mitambo yao na technologia yao na uchumi hawajasema kuwa kuna viumbe wengine. Anatokea binadamu mmoja anasema viunbe wengine wapo??? Kweli??? Kwa utafiti upi ulioufanya. Au unatumia hisia zako binafsi ( eti nahisi viumbe wapo )

Are you crazy?
 
Hiyo sayansi ya ulimwengu umeijuaje?

Ni baada ya kusoma vitabu vya hao NASA
 
I may be crazy. NASA ndio unaichukulia kuwa final authority??
 
Wanasema ni kipaumbele cha sayansi(A frontier of science).

Bado tafiti zinafanyika, hakuna majibu ya uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…