- Thread starter
- #41
Ni kweli kabisa. Ndio nimesema hata akina Galileo walipoanza walikuwa na vyombo dhaifu mno. Bado tunahitaji kutafiti zaidiUtafiti wa ulimwengu nje ya dunia yetu hasa viumbe wengine bado una umri mdogo sana, ni miaka ya 90's tu ndio kumeanza kuwepo vyombo makini vya uchunguzi wa viumbe wengine tofauti na vilivyopo duniani.