Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

Chukulia wapo. If you know how the universe behaves then saying there is no intelligent creature ot there is a MATHEMATICAL IMPOLISSIBILITY
We have approximately 100-200 bilions of galaxy. One galaxy made up of solar system ( Sun, planets and other celestrial objects) kwa zaidi ya miaka 50 kumekua na uchunguzi wa anga ila hakuna hata shirika moja limesema kuwa kuna maisha kwenye galaxy nyingine. So kwakua hakuna physical evidence na wao ndio wanatoa evidence kwa scientific investigations HATUWEZI KUTUMIA HISIA KULETA MAJIBU YETU kwakuhisi etu huenda wapo
 
Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they have??? Do they believe in TRINITY, SALVATION THROUGH JESUS CHRIST, INCARNATION, VIRGIN BIRTH of Jesus na kadhalika?
All is one ....

Kupata majibu yako inakubidi ufe alafu uzaliwe upya ....
 
Imani wewe amini lolote lile wala hakuna shida.., ila kitu kuwa factual ni lazima tuthibitishe, kila mtu hapa akileta Imani zake kwamba ziwe known truth patakuwa hapatoshi
 
Kuna mambo matano kuhusu viumbe sayari nyingine
1.Teknolojia yetu ni ya chini sana au tofauti na yao kwa hiyo tunashindwa kuwasiliana
2.Aliens wapo ila wamejificha, hawataki kuonekana
3. Sio intelligent life
4. Wamewahi kuja duniani miaka milioni au bilioni iliyopita kabla ya uwepo wa binadamu
5. Umbali mkubwa kati yetu na wao ambao ni vigumu kukutana kwa teknolojia za sasa.
 
Tuseme hawapo kwa sasa.

Wakati ulimwengu bado mchanga, inawezekana kuna makundi ya nyota yaliweza kuhifadhi viumbe, lakini yakatoweka baada ya mamilioni/mabilioni ya miaka.

Hivyo hivyo, yawezekana kuna viumbe vitaibuka mamilioni/mabilioni ya miaka baada yetu.

Pia, inawezekana wapo viumbe wenye uwezo mdogo kuliko sisi. Shida sijui kama kuna vigezo maalum vya kupima akili ya viumbe...
 
Wanasema ni kipaumbele cha sayansi(A frontier of science).

Bado tafiti zinafanyika, hakuna majibu ya uhakika.
Ni kweli. Bado sayansi ya anga za juu inaingia kwenye mageuzi. Hata signalskutoka dunia zingine huchukua maelfu ya miaka kufika kwenye dunia yetu. Baadae kitaeleweka depending upon the technological advancement between us and them.
 
Tuseme hawapo kwa sasa.

Wakati ulimwengu bado mchanga, inawezekana kuna makundi ya nyota yaliweza kuhifadhi viumbe, lakini yakatoweka baada ya mamilioni/mabilioni ya miaka.

Hivyo hivyo, yawezekana kuna viumbe vitaibuka mamilioni/mabilioni ya miaka baada yetu.

Pia, inawezekana wapo viumbe wenye uwezo mdogo kuliko sisi. Shida sijui kama kuna vigezo maalum vya kupima akili ya viumbe...
Wewe unahisi ila huna uhakika. Hii ni sayansi inahitaji uthibitisho na sio hisia au imani
 
Kuna mambo matano kuhusu viumbe sayari nyingine
1.Teknolojia yetu ni ya chini sana au tofauti na yao kwa hiyo tunashindwa kuwasiliana
2.Aliens wapo ila wamejificha, hawataki kuonekana
3. Sio intelligent life
4. Wamewahi kuja duniani miaka milioni au bilioni iliyopita kabla ya uwepo wa binadamu
5. Umbali mkubwa kati yetu na wao
Yote hayo nayakubali kabisa ila humu kuna watu sijui ni utoto au shule hakuna kichwani wanapinga tu bila hoja.
 
Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they have??? Do they believe in TRINITY, SALVATION THROUGH JESUS CHRIST, INCARNATION, VIRGIN BIRTH of Jesus na kadhalika?
Haya mahangaiko yote yanini wakati soon utafukiwa ardhini uozee huko?
 
We have approximately 100-200 bilions of galaxy. One galaxy made up of solar system ( Sun, planets and other celestrial objects) kwa zaidi ya miaka 50 kumekua na uchunguzi wa anga ila hakuna hata shirika moja limesema kuwa kuna maisha kwenye galaxy nyingine. So kwakua hakuna physical evidence na wao ndio wanatoa evidence kwa scientific investigations HATUWEZI KUTUMIA HISIA KULETA MAJIBU YETU kwakuhisi etu huenda wapo
Utafiti wa ulimwengu nje ya dunia yetu hasa viumbe wengine bado una umri mdogo sana, ni miaka ya 90's tu ndio kumeanza kuwepo vyombo makini vya uchunguzi wa viumbe wengine tofauti na vilivyopo duniani.
 
Kuna mambo matano kuhusu viumbe sayari nyingine
1.Teknolojia yetu ni ya chini sana au tofauti na yao kwa hiyo tunashindwa kuwasiliana
2.Aliens wapo ila wamejificha, hawataki kuonekana
3. Sio intelligent life
4. Wamewahi kuja duniani miaka milioni au bilioni iliyopita kabla ya uwepo wa binadamu
5. Umbali mkubwa kati yetu na wao ambao ni vigumu kukutana kwa teknolojia za sasa.
Unawezaje kuthibitisha hiyo pwenti yako namba 4?
 
Back
Top Bottom