Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

Wanasayansi wenyewe wanaotafiti maswala ya anga bado hawajathibitisha uwepo wa wanadamu ama viumbe kwenye sayari nyingine isipokuwa sayari yetu. Halafu wewe umakaa hapo kwenye sofa sijui kijiwe cha kahawa unasema wasioamini uwepo wa hivyo viumbe hawana akili.

Heshimu imani za watu.
Viumbe wapo na huja na wengine huishi ndani ardhini na wako advanced technologically kuliko sisi,rejea kipindi cha tv kule latin america cha yule mtu wa amazon alipoona picha akasema huyo ni ant man,wanaishi chini(underworld),yule mtu hajui habari za UFO,wao hujutana nao
 
Kama huko kuna viumbe wenye akili na nguvu kuzidi sisi, maana yake wako mbele yetu kwa kila kitu, kuanzia ndege zao, na kila teknolojia tulionayo sisi.. vipi mpaka leo hawajafika huku kwetu, au hawana mpango napo? Ama wameshakuja wakaona hatuna maajabu,wakaondoka(watakuwa na roho za kipekee yao)
Huenda wanatusoma kwa mbali umeshasema wameendelea ki technology huenda vifaa vyao aidha satelite au telescope ni ndogo mno kwa sisi kuziona labda zipo kama size ya simu.
 
Back
Top Bottom