Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Sisi ni watu.Na sisi ni Nini Kiranga, kuku?😂😂😂
Binadamu ni jina linalotokana na hadithi ya uongo ya Wayahudi kwamba sisi wote tunatokana na Adam na Hawa.
Hakuna ushahidi wala uthibitisho wowote kwamba Adam wala Hawa aliwahi kuwapo.