Chukulia wapo. If you know how the universe behaves then saying there is no intelligent creature ot there is a MATHEMATICAL IMPOLISSIBILITYSijasema wapo, sijasema hawapo.
Ninayoyafahamu yananizuia kuchukua mojawapo ya hiyo misimamo.
Sio NASA tu ila namaanisha mashirika yote yanaofanya kazi sawa na NASA hayajathibitishaI may be crazy. NASA ndio unaichukulia kuwa final authority??
Mbona ni hao hao wanatafiti extraterrestrial? Unadhani wangewekeza huko mapesa ya walipa kodi wa Marekani kama wangeona ni jambo la kufikirika na kwamba jambo hilo halipo??Hiyo sayansi ya ulimwengu umeijuaje?
Ni baada ya kusoma vitabu vya hao NASA
We have approximately 100-200 bilions of galaxy. One galaxy made up of solar system ( Sun, planets and other celestrial objects) kwa zaidi ya miaka 50 kumekua na uchunguzi wa anga ila hakuna hata shirika moja limesema kuwa kuna maisha kwenye galaxy nyingine. So kwakua hakuna physical evidence na wao ndio wanatoa evidence kwa scientific investigations HATUWEZI KUTUMIA HISIA KULETA MAJIBU YETU kwakuhisi etu huenda wapoChukulia wapo. If you know how the universe behaves then saying there is no intelligent creature ot there is a MATHEMATICAL IMPOLISSIBILITY
All is one ....Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they have??? Do they believe in TRINITY, SALVATION THROUGH JESUS CHRIST, INCARNATION, VIRGIN BIRTH of Jesus na kadhalika?
Tuseme hawapo kwa sasa.
Ni kweli. Bado sayansi ya anga za juu inaingia kwenye mageuzi. Hata signalskutoka dunia zingine huchukua maelfu ya miaka kufika kwenye dunia yetu. Baadae kitaeleweka depending upon the technological advancement between us and them.Wanasema ni kipaumbele cha sayansi(A frontier of science).
Bado tafiti zinafanyika, hakuna majibu ya uhakika.
No brother. Tunaongela uwepo wa viumbe wengine nje ya hii sayari sio mambo ya kufa tenaAll is one ....
Kupata majibu yako inakubidi ufe alafu uzaliwe upya ....
Wewe unahisi ila huna uhakika. Hii ni sayansi inahitaji uthibitisho na sio hisia au imaniTuseme hawapo kwa sasa.
Wakati ulimwengu bado mchanga, inawezekana kuna makundi ya nyota yaliweza kuhifadhi viumbe, lakini yakatoweka baada ya mamilioni/mabilioni ya miaka.
Hivyo hivyo, yawezekana kuna viumbe vitaibuka mamilioni/mabilioni ya miaka baada yetu.
Pia, inawezekana wapo viumbe wenye uwezo mdogo kuliko sisi. Shida sijui kama kuna vigezo maalum vya kupima akili ya viumbe...
Yote hayo nayakubali kabisa ila humu kuna watu sijui ni utoto au shule hakuna kichwani wanapinga tu bila hoja.Kuna mambo matano kuhusu viumbe sayari nyingine
1.Teknolojia yetu ni ya chini sana au tofauti na yao kwa hiyo tunashindwa kuwasiliana
2.Aliens wapo ila wamejificha, hawataki kuonekana
3. Sio intelligent life
4. Wamewahi kuja duniani miaka milioni au bilioni iliyopita kabla ya uwepo wa binadamu
5. Umbali mkubwa kati yetu na wao
Haya mahangaiko yote yanini wakati soon utafukiwa ardhini uozee huko?Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they have??? Do they believe in TRINITY, SALVATION THROUGH JESUS CHRIST, INCARNATION, VIRGIN BIRTH of Jesus na kadhalika?
Utafiti wa ulimwengu nje ya dunia yetu hasa viumbe wengine bado una umri mdogo sana, ni miaka ya 90's tu ndio kumeanza kuwepo vyombo makini vya uchunguzi wa viumbe wengine tofauti na vilivyopo duniani.We have approximately 100-200 bilions of galaxy. One galaxy made up of solar system ( Sun, planets and other celestrial objects) kwa zaidi ya miaka 50 kumekua na uchunguzi wa anga ila hakuna hata shirika moja limesema kuwa kuna maisha kwenye galaxy nyingine. So kwakua hakuna physical evidence na wao ndio wanatoa evidence kwa scientific investigations HATUWEZI KUTUMIA HISIA KULETA MAJIBU YETU kwakuhisi etu huenda wapo
Hoja yako ni ya kuchekesha kabisa. Usilete imani za dini kwenye hoja ambazo Mungu mwenyewe amesema TUMPENDE KWA AKILI ALIZOTUJALIA.Binadamu ni duniani tu. Kwengine ni theories.
Cc Prof. The Mongolian Savage (Astronomy And heavenly bodies expert)
Nina uhakika kwamba sina uhakika. Nina nadharia.Wewe unahisi ila huna uhakika. Hii ni sayansi inahitaji uthibitisho na sio hisia au imani
I was dust a milion years ago. Nitarudi hukohuko. I will be recycled back to dust. Usiogope UKWELI.Haya mahangaiko yote yanini wakati soon utafukiwa ardhini uozee huko?
Uzi unahusu hata viumbe wengine zaidi ya binadamu na waliopo hapa duniani.Binadamu ni duniani tu. Kwengine ni theories.
Cc Prof. The Mongolian Savage (Astronomy And heavenly bodies expert)
Unawezaje kuthibitisha hiyo pwenti yako namba 4?Kuna mambo matano kuhusu viumbe sayari nyingine
1.Teknolojia yetu ni ya chini sana au tofauti na yao kwa hiyo tunashindwa kuwasiliana
2.Aliens wapo ila wamejificha, hawataki kuonekana
3. Sio intelligent life
4. Wamewahi kuja duniani miaka milioni au bilioni iliyopita kabla ya uwepo wa binadamu
5. Umbali mkubwa kati yetu na wao ambao ni vigumu kukutana kwa teknolojia za sasa.