Ni kweli kabisa. Ndio nimesema hata akina Galileo walipoanza walikuwa na vyombo dhaifu mno. Bado tunahitaji kutafiti zaidiUtafiti wa ulimwengu nje ya dunia yetu hasa viumbe wengine bado una umri mdogo sana, ni miaka ya 90's tu ndio kumeanza kuwepo vyombo makini vya uchunguzi wa viumbe wengine tofauti na vilivyopo duniani.
Sawa ndugu nasema utafiti uendeleeSio NASA tu ila namaanisha mashirika yote yanaofanya kazi sawa na NASA hayajathibitisha
Zipo tetesi hizo za aliens na NASA ila zimefichwa mno. Hata zile pyramid za Misri mwaka ziliojengwa Waisraeli hawakuwa watumwa pale kwa hiyo possibly aliens walizijenga.Unawezaje kuthibitisha hiyo pwenti yako namba 4?
Kosa ni kuwa wewe umeshawaita ni binadamu wakati wanaweza kuwa viumbe wengine tu, siyo binadamu, na wakisikia umewaita binadamu unakuwa umetenda kosa kwa kuwafananisha wao na binadamu (kama sisi tunavyochukia kuitwa nguruwe.)Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they have??? Do they believe in TRINITY, SALVATION THROUGH JESUS CHRIST, INCARNATION, VIRGIN BIRTH of Jesus na kadhalika?
Boss wangu naomba kujua zaidi kuhusu alliens kujenga pyramidsZipo tetesi hizo za aliens na NASA ila zimefichwa mno. Hata zile pyramid za Misri mwaka ziliojengwa Waisraeli hawakuwa watumwa pale kwa hiyo possibly aliens walizijenga.
Siwezi kuthibitisha ila kuna zana za hali ya juu huwa zinaokotwa duniani na vyanzo vyake havijulikani kabisa au inaonekana sio vya kutoka hii dunia.Unawezaje kuthibitisha hiyo pwenti yako namba 4?
Unawezaje kuthibitisha hiyo pwenti yako nambaKuna mambo matano kuhusu viumbe sayari nyingine
1.Teknolojia yetu ni ya chini sana au tofauti na yao kwa hiyo tunashindwa kuwasiliana
2.Aliens wapo ila wamejificha, hawataki kuonekana
3. Sio intelligent life
4. Wamewahi kuja duniani miaka milioni au bilioni iliyopita kabla ya uwepo wa binadamu
5. Umbali mkubwa kati yetu na wao ambao ni vigumu kukutana kwa teknolojia za sasa.
Hizo tetesi sasa anatakiwa kiumbe mwingine ambaye sio binadamu aje azithibishe kwasababu hapa binadamu anataka kuzungumzia historia ambayo iliwepo kabla ya uwepo wake. Sayansi gani hii? Tofautisha sayansi na hisiaZipo tetesi hizo za aliens na NASA ila zimefichwa mno. Hata zile pyramid za Misri mwaka ziliojengwa Waisraeli hawakuwa watumwa pale kwa hiyo possibly aliens walizijenga.
Mkuu hizi taarifa zako huwa unazitoa wapi mbona ni za pekee kabisaSiwezi kuthibitisha ila kuna zana za hali ya juu huwa zinaokotwa duniani na vyanzo vyake havijulikani kabisa au inaonekana sio vya kutoka hii dunia.
Aliyejenga Pyramids bado ni utata mpaka leo hii, hakuna uthibitisho wa historia ya kueleweka yalijengwaje zama hizo ikiwa binadamu walikuwa bado na teknolojia duni kiasi hicho.
Mkuu hizi taarifa zipo kutoka vyanzo vingi tu, sema labda sio interests za wabongo wengi kufuatilia issues kama hizi na pia kwa sababu hazipatikani kwa Kiswahili.Mkuu hizi taarifa zako huwa unazitoa wapi mbona ni za pekee kabisa
Mkuu hizi taarifa zipo kutoka vyanzo vingi tu, sema labda sio interests za wabongo wengi kufuatilia issues kama hizi na pia kwa sababu hazipatikani kwa Kiswahili.
Kwanini sayansi isitafiti maumbile Ya binadamu kwa miaka zaidi Ya 5000 iliyopita yanafananaje na maumbile yetu kuliko kutaka kutuaminisha kuwa pyramids hazikujengwa na binadamu?Siwezi kuthibitisha ila kuna zana za hali ya juu huwa zinaokotwa duniani na vyanzo vyake havijulikani kabisa au inaonekana sio vya kutoka hii dunia.
Aliyejenga Pyramids bado ni utata mpaka leo hii, hakuna uthibitisho wa historia ya kueleweka yalijengwaje zama hizo ikiwa binadamu walikuwa bado na teknolojia duni kiasi hicho.
Kuna vitu vingi vinaweza kuzungumziwa ambavyo vimekuwepo hata kabla ya uwepo wa binadamu, kuna makumi ya dating methods kuanzia Carbon-14, hadi uranium dating zilizothibitishwa zinazompa binadamu fursa ya kusoma matukio mbalimbali ya viumbe hai na visivyo hai hadi kwa miaka billionUnawezaje kuthibitisha hiyo pwenti yako namba
Hizo tetesi sasa anatakiwa kiumbe mwingine ambaye sio binadamu aje azithibishe kwasababu hapa binadamu anataka kuzungumzia historia ambayo iliwepo kabla ya uwepo wake. Sayansi gani hii? Tofautisha sayansi na hisia
Mbona sayansi inatafuta sana hayo mambo! Wewe itakuwa ni uvivu wako tu wa kufuatilia mambo ya aina hii.Kwanini sayansi isitafiti maumbile Ya binadamu kwa miaka zaidi Ya 5000 iliyopita yanafananaje na maumbile yetu kuliko kutaka kutuaminisha kuwa pyramids hazikujengwa na binadamu?
Kama tuna limited resources sasa wewe umejuaje kama wapoHawajaweza kuthibitisha kwa sababu we have limited resources. Eti nimekaa kwenye kijiwe cha kahawa! Haya asante mkuu.
Hiyo dhana ni kwenye Abrahamic religions tu( Ukristo, Uislamu na Uyahudi) ambayo ni nusu ya dunia, nusu nyingine ya dunia hawajui habari za Adam na Hawa.Kwanza dhana ya binadamu inaundwa na Adamu na Hawa, sasa huko kwenye sayari nyingine na hao pia watakua ni watoto wa Adam na Hawa
Fanya matumizi sahihi ya akili, kama unazo
Hakuna binadamu hata kwenye sayari hii mkuu.Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they have??? Do they believe in TRINITY, SALVATION THROUGH JESUS CHRIST, INCARNATION, VIRGIN BIRTH of Jesus na kadhalika?
Boy behave. This business of calling people watoto isn't healthy. Shule? Pia haya si Mambo yanayohusu usomi au ujinga wa mtu. These are issues depending on levels of how free your brain has been left free to do it's core business. That of thinking. Lot of us are in our boxes, comfortable. Take us out, lazima tukupoge mawe. Dini, wazazi, shule na Kila kilichopo mbele yetu kimetufunza tuwe na uelekeo wa kuto-fikiri kwa kina yanayotuzunguka au tuwe na woga wa "kukufuru" kwa kutowaza tofauti na misahafu ilivyoandika. This is your audience na ulipokuwa unaanzisha Uzi wako you were to have that in mind. Could have avoided calling us names.Yote hayo nayakubali kabisa ila humu kuna watu sijui ni utoto au shule hakuna kichwani wanapinga tu bila hoja.
Na sisi ni Nini Kiranga, kuku?πππHakuna binadamu hata kwenye sayari hii mkuu.