Sisi ni watu.Na sisi ni Nini Kiranga, kuku?πππ
Mkuu unaikubali kweli hata good wish ya "Godspeed"?Sisi ni watu.
Binadamu ni jina linalotokana na hadithi ya uongo ya Wayahudi kwamba sisi wote tunatokana na Adam na Hawa.
Hakuna ushahidi wala uthibitisho wowote kwamba Adam wala Hawa aliwahi kuwapo.
Ndo hivyo mkuu, kama wapo leta ushahidiHoja yako ni ya kuchekesha kabisa. Usilete imani za dini kwenye hoja ambazo Mungu mwenyewe amesema TUMPENDE KWA AKILI ALIZOTUJALIA.
Binadamu kwa maana ya human beings na sio bani-adam.Sisi ni watu.
Binadamu ni jina linalotokana na hadithi ya uongo ya Wayahudi kwamba sisi wote tunatokana na Adam na Hawa.
Hakuna ushahidi wala uthibitisho wowote kwamba Adam wala Hawa aliwahi kuwapo.
Inategemea na maana yake, maana yake nini?Mkuu unaikubali kweli hata good wish ya "Godspeed"?
Binadam maana yake si human beings, maana yake ni wana wa Adam.Binadamu kwa maana ya human beings na sio bani-adam.
Hilo hapo ni fumbo kazi kwako kulifumbuaNo brother. Tunaongela uwepo wa viumbe wengine nje ya hii sayari sio mambo ya kufa tena
We ndo crazy.NASA na mitambo yao na technologia yao na uchumi hawajasema kuwa kuna viumbe wengine. Anatokea binadamu mmoja anasema viunbe wengine wapo??? Kweli??? Kwa utafiti upi ulioufanya. Au unatumia hisia zako binafsi ( eti nahisi viumbe wapo )
Are you crazy?
Kuna physical evidances? Au ni mawazo yako.Yaani mtu ana amini kabisa kwamba kuna 2 Trillions estimated of galaxy na katika kila galaxy kuna Billions of Planets ikiwemo na anayoishi yeye, Lakini hakubali kama planets nyengine huenda kuna viumbe wengine kama yeye.
Ukiamini kuna Planets nyengine zaidi ya hii basi ukubali pia kama possiblity ya kuwepo viumbe wengine pia ipo tena ni kubwa tu.
Wako wapi? Na wewe umejuaje kama wapo? Taasisi zote zinazo husu uchunguzi wa anga hazijasema kuwa viumbe wapo. Wewe umejuaje au unahisi?Wako trilions wa viumbe.
1: Imani yangu ya kiroho na machapisho yake yananieleza.Wako wapi? Na wewe umejuaje kama wapo? Taasisi zote zinazo husu uchunguzi wa anga hazijasema kuwa viumbe wapo. Wewe umejuaje au unahisi?
kuna mabilioni kwa mabilioni ya galaxy katika ulimwengu wetu, kila moja ina idadi isiyohesabika ya sayari na nyota ndani yake.Kuna physical evidances? Au ni mawazo yako.
Kama evidance ipo tuoneshe na sisi tuamini kuwa kuna viumbe wengine huko ulimwenguni.
Badala ya personal feelings na thoughts let's us base on facts and reality. ( evidances to prove your idea )
Ndio imani ya kushangaza kabisa. Ni kutumia akili vibayakuna mabilioni kwa mabilioni ya galaxy katika ulimwengu wetu, kila moja ina idadi isiyohesabika ya sayari na nyota ndani yake.
Sasa inawezekanaje kuwa sayari moja tu kati ya idadi isiyo na kikomo katika hizi galaxy kuwa na uhai ndani yake?
Ipo hiyo nadharia nikitulia nitaweka link usome au you can Google it.Boss wangu naomba kujua zaidi kuhusu alliens kujenga pyramids