Kama huko kuna viumbe wenye akili na nguvu kuzidi sisi, maana yake wako mbele yetu kwa kila kitu, kuanzia ndege zao, na kila teknolojia tulionayo sisi.. vipi mpaka leo hawajafika huku kwetu, au hawana mpango napo? Ama wameshakuja wakaona hatuna maajabu,wakaondoka(watakuwa na roho za kipekee yao)