KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ati ukiachana na mpenzi wako basi litampata baya huko aendako na hata kama likimpata baya usifikiri limempata kwasababu aliachana nawewe! Huo ni upuuzi tu ambao ni kama failure ya ubongo. Your not the one who made every heart beat for anyone, so stop that foolish idea.
Wacha kufikiri kuna kitu kinaitwa karma! Acha kufikiri kifo cha adui yako ni malipo ya kile alichokitenda kwani maisha na kifo ni Sheria ambayo kila mwenye uhai lazima atapata na kifo.
Ukimalizana na mtu malizana nae, jipiganie kuokota dodo lako nae ataokota lakwake. Ikitokea adui yako amefeli chochote usichekelee, maana nawe hujui kesho yako inakujaje kupoteza ni Sheria usipozingatia hata wewe utapoteza tu.
Ukimalizana na mtu ishi maisha yako, fanya mambo yako acha fikra za kipuuzi ama za kishamba.
Nimeamua kuwafokea tu leo.😅