Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 May 23, 2024 #81 MamaSamia2025 said: Kimsingi kutazama porn ni kitu kibaya sana. Mimi nime-uninstall Twitter (X) kwasababu kwa sasa imeshakuwa ni porn site. Click to expand... Mbona mimi natumia sioni porn? Ukiona hivyo jua ulikuwa unaview sana account za watu au post za hovyo sasa algorithm imekusoma na kukuletea zaidi.
MamaSamia2025 said: Kimsingi kutazama porn ni kitu kibaya sana. Mimi nime-uninstall Twitter (X) kwasababu kwa sasa imeshakuwa ni porn site. Click to expand... Mbona mimi natumia sioni porn? Ukiona hivyo jua ulikuwa unaview sana account za watu au post za hovyo sasa algorithm imekusoma na kukuletea zaidi.
Mmanu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2015 Posts 1,775 Reaction score 1,011 Jun 11, 2024 #82 MR MONEY08 said: Una ndugu zako pia kumbuka Click to expand... Daah huyu jamaa hakai akaangalia mbele yake wala nyuma yake kuna nani....ambao wanaweza kuathirika na hii tabia
MR MONEY08 said: Una ndugu zako pia kumbuka Click to expand... Daah huyu jamaa hakai akaangalia mbele yake wala nyuma yake kuna nani....ambao wanaweza kuathirika na hii tabia
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Sep 15, 2024 #83 Hizi ni hadithi za alfu lela ulela tu