Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

hii habari ya Majn nimesoma usiku huu Yarabbi mbona nimeogopa.uwiiiiiii Naomba Mungu nilinde navtimbwi vya viumbe vsivyoonekana
 
Jamani, kitaalam kuanguka na kupoteza fahamu ama kupata kiharusi haihusiani na mahali gani mtu amedondoka,, inategemea ni namna gani damu imevuja kwenyw ubongo, ama wengine moyo husimama , sasa hili laweza mpata mtu mpirani wakati anacheza,wakti anafanya mapenzi, wakti anaoga, wakti amelala fofofoo, hakuna jini wala pepo ktk ugonjwa
 
Tatizo ni masturbation...hawa wazee hufanya huo mchezo bafuni au chooni...kwavile nguvu za kujizuia zinakuwa zimewaishia huishia kuangukia kichwa...
 

Mkuu,
Umeandika maelezo mengi sana,lakini ngoja nikuulize swali moja tu,
Shetani maana yake nini?
 
Mtakuja ku wauwa watu nyie ,shauri zenu

huyu jamaa na bibi yake wana logic ila hawajajua sayansi behind that. kama mtu ndizi ina sukari nyingi sana na madini ya potasium. mtu akianguka ghafla posibly sukari imeshuka au pressure imeshuka. kuongeza sukari kutamuamusha mgonjwa ikiwa sukari ilishuka na kupandisha pressure unahitaji maji ya kutosha au adrenaline. lakini pia potassium inausaidia moyo kupump haraka na hivyo kuongeza cardiac output na hatimaye pressure kupanda. Nb. hapa cmanishi mtu akianguka basi umlishe ndizi la hasha ila nimejaribu kuelezea ndizi ina vitu gani mhimu kwa pressure na sukari ya mwili.
naomba kuwasilisha.
 
Unapokuwa na shinikizo la damu au ugonjwa ya moyo, unaweza kupata matatizo pale unaponyanyuka kutoka chooni, kwenye kiti, au hata kitandani.

Matatizo mengi yanayowapata watu vyooni hayatokani na mashetani au kulogwa. Yanatokana na shinikizo la damu au magonjwa ya moyo. Mtu mwenye shinikizo la damu au magonjwa ya moyo hatakiwi kuchuchumaa na kusisimama ghafla. Vilevile hatakiwi kutoka kitandani au kusimama kutoka kwenye ghafla.
 

​Kwanini hali kama hiyo itokee chooni tu na si kwengineko na wengi wanaoanguka huko hufa, Mungu ndiye ajuaye.
 
inamana haipo kisayansi ya darasani,ipo sayansi ya kiswahili
 
Unajua co wote watembeao brbrn n wzm watanzania ha2na kawaida ya kufanya chek up ya afya ze2 ndomana v2 kama hvyo vnashrkshwa na uchaw ila mnaamn co wote wangkao choon wameligwa mengne n maradh2
 
inamana haipo kisayansi ya darasani,ipo sayansi ya kiswahili
Haipo Kisayansi ya darasani hiyo ipo Sayansi ya kiafrika kuna mambo mengine huwezi kupata kwenye Shule za kizungu unapata Kwenye Shule za kienyeji tu.Hakuna hata Professor yoyote yule anayejuwa hayo mambo ya Sayansi ya Kiafrika.
 

Well sayed Mkuu !!
Hakuna Uchawi kwani watelezapo,
Kuanguka na kubamiza Vichwa wanapata HEAD INJURY - na hii ni sababu tosha ya Vifo hivyo !!
 

Kama tatizo ni mishipa inaponzwa na kusukuma gogo, je vipi kuhusu wale wanafunzi wa shule ambao huwa wanaanguka kwa pamoja wanapokwenda chooni. je utasema wanafunzi wote wnapressure au choo kina mapepo.
naomba majibu tafadhali
 
Hakuna mashetani wala Majini. Hio mi naona inakuwa ni Pressure kali inayoendana na paralysis. hata mtu akipatwa na kiharusi midomo hupinda na either mkono au mguu au vyote hupooza.

vipi kuhusu wanafunzi wanaoanguka na kuzimia kwa pamoja wanapokwenda kwa vyoo vya shule.
prove my ignorance
 
Una jua vitu vingine ni vya ajabu sana kwanin chooni kila cku na tucckie chumban, jmn uchawi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…