Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kwa waislam tunaamini kuwa huko chooni kuna wadudu wabaya saana (mashetan) na maumbo yao yapo tafauti ..mfano mtu akianguka chooni..utamuona mdomo wake ..umekuwa upande
.au mokono haifanyi kazi..alimradi hatokuwa sawaa tu..sasa hao wadudu wanakuwa sura zao kama hizo nolizozitaja..mdomo upande n.k. NDio maana mashekhe zetu kila siku anatwambia tusome dua malaum unapoingia chooni na unapotoka salaama ..ili dua hiyo ikukinge na ballaa hilo..

What if mtu anaharisha?Hiyo dua itasomeka kweli?au Ni neno moja Tu?
 
watu wote wanao anguka chooni au bafuni huwa wana tatizo la BLOOD PRESSURE.Blood pressure ikipanda hadi kufikia kiwango cha kupasua mishipa ya damu na kusababisha damu kuvuja kwenye ubongo humfanya aliyepatwa na tatizo hili kuhisi anahitaji kujisaidia ama haja kubwa au haja ndogo, ndio kutapatapa kwenyewe kujaribu kuepukana na shida hiyo ya mwili.akifika huko hata haja yenyewe anaweza asipate anajisikia kuzunguzungu na kupoteza fahamu anaanguka kwasababu hana tena control ya mwili wake.sasa kupona au kutokupona kunategemea kiwango cha BLOOD PRESSURE na uwezo wa mwili wake kuihimili.watu wanaofanya mazoezi au kazi ngumu sana mishipa ya damu huwa ni migumu na inayohimili hata pressure kubwa ya damu.watoto mayai au wanao kaa kwenye viyoyozi mishipa yao huwa ni laini na isiyo weza kuhimili pressure kubwa, ikimkuta lazima atakufa tu akianguka chooni.

Uko right kabisa.Nilimpoteza ma mkubwa in 2008 kwa issue hij ya kuanguka bafuni na kupooza mkono + mguu na kupinda mdomo then she passed away after two days akiwa Bugando Ni report ya dr iligusia hicho kwamba mishipa ya damu ilipasuka kichwani due to BP na kweli cku kabla ya tukio kulikuwepo mizozo ya kifamilia.
 
Nasikitika sana swali la hili jibu ni jepesi sana ila naona nyote mna mawazo ya imani potofu.
Medically speaking;
Hali hii huwakuta sana watu ambao wana historia ya magonjwa ya moyo.
Watu hawa mishipa yao ya damu huwa ni dhaifu. na inafika mahali yaweza kupasuka iwapo pressure itaongezeka.
Sasa, ktk kujisaidia, kile kitendo cha kupush "mavi yatoke"(ashakhum si matusi) kinaambatana na kujikamua ambapo nguvu inayotumika hupelekea mshipa( hasa ya kichwani) kupasuka.
Kitendo hiko hupelekea damu kuvuja kwenye ubongo hivyo kujaa na kuziba mawasiliano ya sehemu muhimu za mawasiliano ya nervous system na kusababisha stroke ambapo mtu ataparalyse upande mmoja au mwili mzima kutegemeana na kiwango cha athari za mshipa husika.
Pili, kuna uwezekana mtu akaanguka sababu ya kuteleza chooni na kugonga kichwa na kupelekea mtu kupasuka mishipa ya kichwa hivyo, kama nilivyosema mwanzoni, damu ikavilia kwenye brain na kupelekea stroke na matokeo ambayo nimeyataja.
NB
Hakuna ushirikina ktk hili. Someni!
 
Nimejitahidi kutumia lugha nyepesi kuelezea hii kitu.
But maneno kama ischaemia, embolism, nk yanahusika
 
Hii issue iliondoa uhai mjomba wangu pia, alianguka uani na kupinda mdomo na mkono wa kulia kushindwa fanya kazi. Kwa miezi mitatu aliteseka sana baadae ndipo shida ikagundulika muhimbili kuwa kuna mshipa ulipasuka kichwani. Bahati mbaya ikawa too late!!!

mara nyingi wanaonguka choon hupata stroke itokanayo na kuvuja damu kichwani ambayo husababishwa na high bllod pressure. ukiangalia wengi huwatokea kwenye asian types of toilets. one theory is while straining and pushing of abdominal muscles it stimulate release of adrenaline hormone which raises BP and possibility of haemorragic stroke
so hamna uchawi wala majini
 
Kwa uelew wangu mie bafuni kuna sabuni lazima kuteleze
 
PFunk Majani alianguka chooni kapasuka urefu kadhaa na kushonwa nyuzi za kutosha. Yupo mtaani anatembea.
 
Bibie charminglady Kuanguka kwa

chooni ni dalili ya ishara mbaya ya kupatwa na ugonjwa wa kiharusi kupooza kwa upande mmoja. Na Kama utaanguka

chooni kwa bahati mbaya na unaweza usipooze upande mmoja itakuwa ni bahati yako nzuri lakini wengi wao

wanaoanguka chooni huwa wanapatwa na maradhi ya kiharusi yaani Stroke na kama utapona basi utakuwa umepooza

upande mmoja kwa wanawake hupooza upande wa kulia kwa wanaume hupooza upande wa kushoto na ikitokea

umepoza upande mmoja basi kupona inakuwa tabu sana. Kwa imani zetu watu wa Miji ya Pwani yaani Bwagamoyo Dar,Tanga,Zanzibar,Pemba, Mtwara na Mombasa chooni kuna Shetani mbaya

unachotakiwa kwenda chooni utangulize mguu wa kushoto na usome dua fulani kwa kiswahili unaweza kusema hivi

(Ewe Mwenyeezi Mungu ninajikinga kwako kutokana na uchafu wa shetani).Ndio unaingia kwa kutumia mguu wako kushoto na wakati wa

kutoka unatoka na mguu wa kulia ndio unaotanguliza kwa kumuomba Mungu pia, kwa kumshukuru unasema hivi

(Ninakushukuru kwako Mwenyeezi Mungu) ndio unatanguliza mguu wa kulia wakati wa kutoka hayo ndio ninavyojuwa mimi sijuwi

wenzangu wengine mnajuaje tuelewesheni jamani.

Ni yapi makazi ya Majini?

Majini wanaishi katika mgongo wa ardhi, na wanapatikana kwa wingi katika majangwa na sehemu za takataka, sehemu zenye najisi, chooni na makaburini. Na hii ndio sababu hasa ya wale waganga ambao wana uhusiano na mashetani kupenda kuwashauri wateja wao kupeleka vitu vyao na uchawi wao katika maeneo hayo.


images


Shetani huyu ndio hupenda kukaa chooni au sehemu chafu chafu na pia hukaa majalalani.Na hupenda kunyonya Damu za watu.
Mzizi hapa unanichanganya . huko nilipoweka red na wewe unaamini kuwa majini na mashetani ni kabila moja? maana umeyatumia ukimaanisha kitu kimoja.Mimi ni muumini wa dhehebu la kirumi na kwa mafundisho yetu ni kwamba vinyamkera vyote hivyo ni mashetani na yalilaaniwa na mungu kwa kukosa utii.Hata likijifanya jema kwako ni uongo linaku kill softly? Kwa upande mingine nimeuliza wanazuoni mbalimbali ya dini majirani zetu wa hapo Maka na medina wakaniambia kuwa eti Mungu anawaambia wanadamu kuwa sikuwaumbeni ninyi majini na wanaadamu ila kuniabudu. Na wanaendelea kusisitiza kuwa kama walivyo wanaadamu basi kuna majini mema na mabaya na yenyewe huingia kwenye nyumba za ibada kuomba kuna ukweli? embu niambia mzizi dude kama uliloliweka picha yake hapo nalo liingie msikitini au kanisani aptakalika kweli?Na huyo Mungu atakayesikiliza sala za dude la hivyo ni wa wapi?
 
Mzizi hapa unanichanganya . huko nilipoweka red na wewe unaamini kuwa majini na mashetani ni kabila moja? maana umeyatumia ukimaanisha kitu kimoja.Mimi ni muumini wa dhehebu la kirumi na kwa mafundisho yetu ni kwamba vinyamkera vyote hivyo ni mashetani na yalilaaniwa na mungu kwa kukosa utii.Hata likijifanya jema kwako ni uongo linaku kill softly? Kwa upande mingine nimeuliza wanazuoni mbalimbali ya dini majirani zetu wa hapo Maka na medina wakaniambia kuwa eti Mungu anawaambia wanadamu kuwa sikuwaumbeni ninyi majini na wanaadamu ila kuniabudu. Na wanaendelea kusisitiza kuwa kama walivyo wanaadamu basi kuna majini mema na mabaya na yenyewe huingia kwenye nyumba za ibada kuomba kuna ukweli? embu niambia mzizi dude kama uliloliweka picha yake hapo nalo liingie msikitini au kanisani aptakalika kweli?Na huyo Mungu atakayesikiliza sala za dude la hivyo ni wa wapi?
Mkuu kama ulivyo kuambia ni ukweli yapo Majini mazuri na majini mabaya ndio hayo yanayoitwa Mashetani.

Kama tulivyo sisi binadamu kuna binadamu wazuri na kuna binadamu wabaya nao ni tunawaita Mashetani wa

kibinadamu.Jini Shetani ni yule anaye dhuru na kuuwa watu na pia kuwauwa Majini wenzie. Jini mzuri hawezi kukudhuru

na jini anabadilika kwa sura mbali mbali Jini ana uwezo wa kujibadilisha sura akafanana na binadamu na kama huna

macho ya kumona usiweze kumuona kabisa. Kwa hiyo Mwenyeezi Mungu aliumba viumbe wote duniani Waishi

Malaika,wanyama,wadudu, Miti, Majini na binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa katika hii dunia yetu na sisi

Binadamu ndio wafalme katika viumbe aliowaumba Mwenyeezi Mungu tunamuabudu yeye Mungu sisi na Majini na

Malaika na kila kiumbe hai anamuabudu Mungu kwa njia yake mwenyewe. Kwa Sisi Waislam neno Majini hatuna

wasiwasi wowote kwa nyie Wakristo neno Majini au Jini ndio kitu kigeni kwenu ninafikiri nimekujibu maswali yako kwa

ufasaha mzuri kabisa asante. Ninafikiri umenipate vizuri hapo.
 
Hata vitabu vya dini vinakubali kuna majini na shetani. ila tunawahususha vibaya na maisha yetu. watu wanatelezaga tu bafuni kwa kuwa kuna sabuni na hupelekea kujigonga vichwa kuvuja damu nyiingi ana kupasua mishipa ya fahamu. hakuna uchawi bafuni. amkeni
 
Nasikitika sana swali la hili jibu ni jepesi sana ila naona nyote mna mawazo ya imani potofu.
Medically speaking;
Hali hii huwakuta sana watu ambao wana historia ya magonjwa ya moyo.
Watu hawa mishipa yao ya damu huwa ni dhaifu. na inafika mahali yaweza kupasuka iwapo pressure itaongezeka.
Sasa, ktk kujisaidia, kile kitendo cha kupush "mavi yatoke"(ashakhum si matusi) kinaambatana na kujikamua ambapo nguvu inayotumika hupelekea mshipa( hasa ya kichwani) kupasuka.
Kitendo hiko hupelekea damu kuvuja kwenye ubongo hivyo kujaa na kuziba mawasiliano ya sehemu muhimu za mawasiliano ya nervous system na kusababisha stroke ambapo mtu ataparalyse upande mmoja au mwili mzima kutegemeana na kiwango cha athari za mshipa husika.
Pili, kuna uwezekana mtu akaanguka sababu ya kuteleza chooni na kugonga kichwa na kupelekea mtu kupasuka mishipa ya kichwa hivyo, kama nilivyosema mwanzoni, damu ikavilia kwenye brain na kupelekea stroke na matokeo ambayo nimeyataja.
NB
Hakuna ushirikina ktk hili. Someni!

Ni kwanini iwe ni chooni tu na sio mahali pengine?

Mbona watu hawa hawa sijawahi kusikia wakianguka eneo lingine tofauti na chooni na kupata madhara yanayoelezwa kwa kila anaeanguka chooni?
 
Hata vitabu vya dini vinakubali kuna majini na shetani. ila tunawahususha vibaya na maisha yetu. watu wanatelezaga tu bafuni kwa kuwa kuna sabuni na hupelekea kujigonga vichwa kuvuja damu nyiingi ana kupasua mishipa ya fahamu. hakuna uchawi bafuni. amkeni

Kirahisi tu hivyo eeehhhh!!!!!!
 
Mkuu kama ulivyo kuambia ni ukweli yapo Majini mazuri na majini mabaya ndio hayo yanayoitwa Mashetani.

Kama tulivyo sisi binadamu kuna binadamu wazuri na kuna binadamu wabaya nao ni tunawaita Mashetani wa

kibinadamu.Jini Shetani ni yule anaye dhuru na kuuwa watu na pia kuwauwa Majini wenzie. Jini mzuri hawezi kukudhuru

na jini anabadilika kwa sura mbali mbali Jini ana uwezo wa kujibadilisha sura akafanana na binadamu na kama huna

macho ya kumona usiweze kumuona kabisa. Kwa hiyo Mwenyeezi Mungu aliumba viumbe wote duniani Waishi

Malaika,wanyama,wadudu, Miti, Majini na binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa katika hii dunia yetu na sisi

Binadamu ndio wafalme katika viumbe aliowaumba Mwenyeezi Mungu tunamuabudu yeye Mungu sisi na Majini na

Malaika na kila kiumbe hai anamuabudu Mungu kwa njia yake mwenyewe.

Majini mazuri na mabaya kiaje mkuu?
Kwanini yawepo mabaya na mazuri?
Kwa Sisi Waislam neno Majini hatuna

wasiwasi wowote kwa nyie Wakristo neno Majini au Jini ndio kitu kigeni kwenu ninafikiri nimekujibu maswali yako kwa

ufasaha mzuri kabisa asante. Ninafikiri umenipate vizuri hapo.

Kwetu Wakristo hicho sio kitu kigeni
Tunayajua ila tofauti ni namna tunavyojua

Nyie mnadai yapo mazuri na mabaya
Sisi tunajua yote ni mabaya!
 
Majini mazuri na mabaya kiaje mkuu?
Kwanini yawepo mabaya na mazuri?


Kwetu Wakristo hicho sio kitu kigeni
Tunayajua ila tofauti ni namna tunavyojua

Nyie mnadai yapo mazuri na mabaya
Sisi tunajua yote ni mabaya!
Majini ni viumbe kam bindamu walioumbwa kbal ya binadamu wanaishi kama

tunavyoishi sisi. Wako Majini wazuri na Majini Mabaya kama tulivyo sisi Binadamu tupo binadamu wazuri na wapo

binadamu wabaya tunawaita ni Mashetani wa kibinadamu ukiwa wewe ni muuwaji basi wewe ni shetani wa kibindamu,na pia wapo majini wa kishetani .Shetani ni yule muovu hata binadamu akiwa ni muovu tunamwita ni shetani

mkuu. Kuna Viumbe aliowaumba Mungu sisi binadamu hatuwezi kuwaona kwa macho yetu kam hao majini na malaika ukiwa unaamıni kuna viumbe wanaoitwa malaika basi itakuwa ni rahisi pia kuamini kuwa kuna viumbe wanaoitwa Majini.


SHEITANI MTU NI NANI?




Sheitanimtu anaweza kuwa jamaa yako, ndugu yako, rafiki yako au wewe mwenyewe. Sheitanimtu ni kila anayeweza kumpoteza mtu akatenda jambo ovu kama vile kuiba, kuzini, kunywa pombe, kuvuta bangi na kutumia madawa ya kulevya au kukupandikiza chuki baina yako na mwengine.


Sheitanimtu kila siku unatembea naye, unakula naye lakini huwezi kumgundua kwa urahisi wakati wote unapokuwa nae hujifanya anaushari, busara na hekima upande wako kiasi kwamba wewe mwenyewe humpenda na kumwamini kwa kumuamini na kumthamini kwako basi anajenga katika akili yako mizizi ya tabia na mwenendo wake na hivyo kukufanya uwe miongoni mwa tawi lake.


Ewe ndugu yangu sheitanimtu hafanyi mambo yake kwa siri bali hufanya kwa uwazi ili wewe uyaone na uweze kushawishika. Anaweza kunywa pombe mbele yako kutumia madawa ya kulevya, kuvuta bangi na anaweza kukusimulia jambo lolote kama uzinzi n.k vitendo na masimulizi hayo yote ni kukuvuta wewe kutoka tabia nzuri kukupeleka katika tabia mbaya.


Rafiki yangu mpendwa huyo sheitanimtu yuko tayari kutumia hata gharama ilimradi tu akupoteze. Anaweza kununua vitu vya gharama ili akupe wewe akitaka uwe tu pamoja naye katika maovu. Hapa siyo kwa jinsi yako tu, msichana anaweza kugharamiwa na mvulana au mvulana anaweza kugharamiwa na msichana kwa ajili ya kufanya uovu. Jambo hili ewe ndugu yangu ni hatari sana kwani wewe unajua fedha ni fedheha.


Ewe ndugu yangu, wewe unaakili timamu na unajua ukweli wa mambo unajua yenye manufaa na hasara katika maisha ya kila siku. Kutokana na akili uliyokuwa nayo huna budi kuwa makini na kutafakari wakati unapopewa ushauri na huyo ambaye unasema rafiki yako. Tafadhali sana usipende kusema "ndiyo" au "hapana" bila kufikiria faida au madhara ya hiyo NDIO AU HAPANA yako.


Bila shaka wewe unapenda kuisha kwa amani na furaha karibu kila siku kwa hiyo huna budi kuwa makini katika ,maisha yako. Umakini ambao ninakuambia ni "KUFIKIRI KABLA YA KUTENDA" suala hili la kufikiri kabla ya kutenda litakufanya uweze kugundua mbinu na ujanja anaotumia huyo sheitanimtu na hivyo kujiepusha naye mimi sipendi kuona wewe rafiki yangu ukiwa katika huzuni na majuto ndio maana nina kupa mwanga katika maisha yako.


Ndugu yangu, sheitanimtu katika maisha yako ujitahidi kamuogopa kama ukoma jiepushe nae na asikuzoe nakukutawala katika akili yako na kukufanya wewe kuwa mtu usiyekuwa na kauli ya kusema HAPANA katika kila jambo la uovu.


Wewe ni rafiki na ni ndugu yangu, ninakupa mwanga huu kwa manufaa yako mwenyewe na sio kwa manufaa yangu. Nijukumu lako kutumia akili na hekima alizo kupa Mungu ili uweze kuepukana na sheitanimtu, nawe utaifanya akili yako ifanye kazi kama inavyo takiwa. Kama ulikwisha potenzwa siyo ukate tamaa bali tumia muda huu kujuta na kujirekebisha mara moja.





 
Majini ni nini?

Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita.

Viumbe hawa wana tabia kubwa mbili;
Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa.
Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo wa kujigeuza katika umbo lolote wanalotaka na vile vile wanaruka na kwenda wanakotaka au kupita wanakotaka bila kutumia chombo chochote.
Taifa la Majini limegawanyika katika makabila Milioni Sabini na mbili (72,000,000) na wana uwezo wa kujifunza lugha yeyote wanaoitaka.

Idadi ya Majini ni kila Binadamu mmoja kuna Majini 300 na wanaishi katika Majumba yetu, kwenye Miti, Majangwani, Kwenye Mapango na Sehemu zenye Misitu Mikubwa.


Majini wako katika aina Mbili (2); Maruhani na Mashetani.

Maruhani ni Majini wema ambao wanamtii Mwenyezi Mungu na wanawasaidia Binadamu katika mambo mengi.
Mashetani ni Majini Waovu ambao ni wakorofi na wanawaletea Watu madhara na Matatizo mara kwa mara.
Baba wa Majini anaitwa JANN ambaye kimaumbile yeye ana tofauti ndogo na wenzie kwamba yeye ameumbwa kwa ulimi wa Moto.
Pamoja na mambo mengi wanayoyafanya Majini na kujihusisha na binadamu, Majini vilevile wanafanya kazi za Malaika hasa zile za mambo ya kupeleka Habari na kuwalinda Binadamu, mambo ya doria za Angani. Kazi hizi siyo zao lakini kwa vile wanapenda kuiga mambo basi huiga hata kazi ambazo siyo zao.
Majini na Binadamu wana sifa zinazofanana kwani wote wana akili na wote watahesabiwa siku ya Kiama na watazawadiwa kwa mema yao na maovu yao, wote wanakula na kuzaa.
Kama ilivyo, kuna wataalamu wa Kijini wenye fani sawa na Wataalamu wa Kibinadamu wenye kufanya kazi zinazofanana.
Tofauti kubwa iliyopo kati ya Majini na Binadamu ni kwamba; Majini hawana maumbile maalum na wana uwezo wa kujibadilisha katika maumbile mbalimbali ingawa wengi wa Majini wapo katika maumbile ya paka, nyoka na ndege.
Binadamu wao wana umbile maalum ambalo halibadiliki.
Majini wana uwezo wa kuwaingia Binadamu wakati Binadamu hawana uwezo wa kuwaona Majini isipokuwa kwa ufundi maalum.

Namna Majini wanavyowaingia Binadamu iko katika njia tatu:-



  1. [*]Njia ya kwanza (1): ni kama Remote Control; Hii inamfanya yule aliyedhibitiwa kuweza kuelewa au kuwa na fahamu zake lakini anakuwa hawezi yeye mwenyewe kuudhibiti mwili wake na anasema yale anayotaka yule Jini.
  2. Njia ya Pili (2); Jini humwingia Binadamu ndani ya utosi na kuingia katika Mfumo wa Damu. Hii inamfanya yule Binadamu kupoteza fahamu na anakuwa haelewi kabisa kinachoendlea na anafanya yote anayotaka yule Jini.
  3. Njia ya Tatu (3) ni ile ya Jini kukaa nyuma ya Binadamu. Njia hii humfanya yule Binadamu anakuwa hapotezi fahamu ila anakuwa hawezi kufanya lolote na mwili wake.
{mospagebreak}
Majini vilevile wana uwezo wa Kusafiri kwa kasi ya upepo bila kutumia chombo chochote; Binadamu hana uwezo huo isipokuwa kwa msaada wa Majini.
Hiyo ni kusema kwamba mambo yote yanayofanywa na Wachawi na Wanga hayawezekani isipokuwa kwa msaada wa Kijini.
Jambo la muhimu ni kwamba pamoja na uwezo mkubwa walionao Majini, Wanadamu wana uwezo wa Kumtawala na Kumdhibiti Jini na vivyo hivyo Majini nao wanaweza kumtawala na kumdhibiti Binadamu wote kwa kutumia utaalamu maalum.
Wako Majini wa kila Dini na kila Kabila, na kuna watu wanaofuga Majini kwa kujikinga, na kwa kuboresha kazi zao au kujipatia utajiri. Pia kuna watu wanaofunga ndoa na Majini kwa kutumia utaalamu au kwa hiari za Majini hao.
Wabaya wa Majini ni Mashetani ambao wengi hawana Dini na ndio wanaoharibu mimba za Wazazi na kufanya mapenzi na watu usingizini bila hiari zao.
Kuepuka usichafuliwe kimapenzi, kabla ya kulala piga Bismillahi kwa Muislamu au taja jina la Yesu mara tatu kwa Mkristo.

MAUMBILE YAO YAKOJE?



  • [*]Majini wana maumbile makuu manne (4);
    [*]Wanakuwa katika maumbile ya Nyoka.
    [*]Wanakuwa katika maumbile ya Nge.
    [*]Wanakuwa katika maumbile ya Mbwa.
  • Wanakuwa katika maumbile ya Paka (Mweusi).
  • Kuna Majini wengine hawana maumbile yeyote na hawa shughuli yao ni kuruka hewani kuzunguka huku na kule na husafiri mbali kwa mara moja yaani kufumba na kufumbua.

SURA ZA MAJINI NA MASHETANI:


Majini sura zao ni za kutisha na mfano wake ni kama Matunda ya Mti wa Zaqum ambao unatoa matunda yenye sura mbaya na yanayofanana na mawe.

Majini wanakuwa na mkutano kila siku nyakati za kuchomoza na kuzama Jua na nyakati hizo ndizo ambazo wanafanya maasi yao.
Fitna na Maasi yao mengi wanafanyia upande wa Mashariki.
Majini vilevile wanaweza kujigeuza kama mbwa mweusi au paka mweusi kwa sababu Majini wanapenda Rangi Nyeusi kwa sababu ya kiza.

WANAKULA NINI?

Majini wao wanakula mifupa na mavi ya farasi. Hivyo ni vyaluka vyao vikuu pamoja na kwamba wengine wanakula Moshi (Ubani) na wengine wanapenda kunywa damu.
Wanapokula au kunywa, wao hutumia mkono wa kushoto na Majini wazuri ndio ambao wanakula mifupa mizuri na kuwaachia mifupa mibaya na uchafu Majini wabaya au Mashetani.

JE MAJINI WANAZAA?

Majini wanaoa na kuongezeka kama tulivyo Binadamu na huzaana kwa wingi sana.
Katika wao kuna wale wanaokula na kuoana na kuna wale ambao hawafanyi hayo.
Binadamu Mwanamume ana uwezo wa kumuoa Jini Mwanamke na Jini wa Kiume ana uwezo wa kumuoa Binadamu Mwanamke pamoja na kwamba ndoa inayotambulika na Mwenyezi Mungu ni ya kiumbe kwa kiumbe yaani Binadamu kwa Binadamu na Jini kwa Jini.
Haya ni baadhi ya maelezo kuhusu Majini, zidi kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwani hii ni mwanzo tu na tutazidi kuwaletea habari za ndani kuhusu majini na tabia zao, jinsi ya kujikinga nao au kushirikiana nao.





JE UNAWEZA KUWAONA MAJINI?
Majini hawawezi kuonekana kwa macho ya kawaida ila kwa Utaalam Maalum, ingawa Mtu yeyote unaweza Kumuita, Kumuona na hata Kumtuma Jini akufanyie au akuletee kitu chochote kile Naye akafanya vivyo hivyo kama ulivyomuagiza; katika njia Rahisi kabisa kama inavyoelezwa hapo chini. Wao wana uwezo wa kutuona sisi.
Viumbe ambao wana uwezo wa kuwaona Majini au Mashetani kwa macho yao ni Mbwa na Punda
Ukimsikia Mbwa anabweka bila sababu yeyote basi atakuwa amemuona Jini au Shetani yuko karibu au anapita. Maelezo haya yamethibitishwa na Wanazuoni kuhusu kuonekana vile vitu ambavyo sisi hatuvioni.
Mfano mwingine ni kwamba Sisimizi ana uwezo wa kuona miale ya mwangaza yenye rangi ya urujuani na kwa hiyo kuona Jua litokeapo kwenye mawingu na Popo nae ana uwezo wa kumuona Panya kwenye giza nene.

KUMUONA JINI:

Iwapo unataka kwa haraka kuona Majini na kuwatumia; tamka Majina haya MARA 1,000;


  • [*]1. Salsal, Salsal ........................x 1,000.
  • 2. Akmash, Akmash..................x 1,000.
  • 3. Laash, Laash..........................x 1,000.
Tamka majina hayo hapo juu, huku ukiwa unafukiza Ubani Maka, Kuzbara na Majani ya Mnazi wa Kipemba au majani ya Mtende au majani ya Mchikichi.
Ukiwa sawa (yaani uwe msafi, mahali safi na nguo safi); atakutokea Paka mweusi au Taa kuzimika au kutokea Moshi mweusi.
Ndio huyo – Muagize lolote lile ulitakalo; akuitie Mpenzi, Pesa, cheo au Ushindi.
Ni vizuri pia ujue ni wakati gani au ni Sayari gani inayotawala ili ujue ni Jini yupi atakaekuja.

Unashauriwa;


  • Uwe na nia ya kweli na wala si mchezo au kufanya majaribio.
  • Usiwe muoga, kwani iwapo utakuwa muoga anaweza kukudhuru.


Kuwatumia au Kujikinga na Majini

JE MAJINI WANAWEZA KUTUMIKA?
Majini wanaweza kutumika kwa kazi mbalimbali ambazo Binadamu anaweza kumtuma.
Mwenyezi Mungu aliwaamuru Majini wamtumikie Mfalme Suleimani na wakawa wanamfanyia Kazi kadri anavyotaka yeye.

Katika Biblia 1 Wafalme 5: (13-17).

Biblia inaeleza jinsi nyumba ya Suleimani ilivyokuwa ikijengwa kimya kimya. ... “Na nyumba ilipokuwa ikijengwa, ikajengwa kwa mawe yaliyokwishachongwa chimboni, wala nyundo wala shoka, wala chombo cha chuma chochote sauti yake haikusikika ilipokuwa ikijengwa Nyumba”.
Majini vilevile wanatumiwa na watu katika kupata habari za mambo mbalimbali kwa sababu wao wana uwezo wa kupata habari angani.
Majini vilevile wanatumika katika ulinzi wa kulinda majumba au kulinda watu au Mikutano au Shughuli yeyote na vilevile wanaweza kutumika katika vita.
Wao wanajigeuza katika maumbo aidha ya Binaadamu au Mnyama na kushiriki katika vita.
Mfano Shetani mmoja alijigeuza kwa mfano wa Binaadamu mmoja aitwae Saraqa Bin Malik na kushiriki vita vya Badri na kuwaahidi Makafiri ushindi mkubwa lakini alipoona Majeshi mawili ya Malaika wanateremka kutoka Mbinguni alitimka na kutoroka.

JE TUNAWEZA KUJIKINGA NA MASHETANI?

Zipo njia nyingi za kujikinga na Mashetani lakini kubwa zaidi ni kutumia Jina la Mwenyezi Mungu na kumtaka Mungu akuepushe na Shetani mbaya Naye atakusaidia.
Shetani ana Maudhi mengi sana kwa Binadamu kwa sababu anapenda kujishirikisha na Binadamu katika kila kitu kama vile katika kula, kunywa, kufanya Mapenzi, kutembea, Kuishi ndani ya Nyumba na hupenda kufanya hayo yote pale Mwanadamu anapopotea na kumsahau Mwenyezi Mungu.

Shetani vilevile anamgusa kila Mtoto anayezaliwa katika dunia hii. Mtoto ambaye hajaguswa na Shetani ni Yesu au Issa Bin Maryam hayo ni kwa mujibu wa maelezo ya Qurani na Mtume Muhammad (SAW).


Mashetani vilevile ndio wanasababisha Ugonjwa wa Tauni (Plague – Ugonjwa unaoambukiza). Mtume Muhammad (SAW) ameeleza “Hakika kuangamia kwa Umma wangu kunatokana na kushuka Hadhi yao na Ugonjwa wa Tauni na Adui yenu Mkubwa anatokana na Jini, na Hiyo kwenu ni Shahada”.

Hivyo basi ili kujiepusha na maovu ya Shetani unashauriwa kumweka mbele Mwenyeezi Mungu katika lolote unalolifanya ukiwa Nyumbani au popote pale.
Haya ni baadhi ya maelezo kuhusu Majini, zidi kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwani hii ni mwanzo tu na tutazidi kuwaletea habari za ndani kuhusu majini na tabia zao, jinsi ya kujikinga nao au kushirikiana nao.




Marafiki na Maadui wa Majini

MARAFIKI WA MAJINI:
Majini huwa wanafanya Urafiki na Binadamu lakini Marafiki wao wakubwa ni Ngamia.
Baadhi yao wanaishi katika nyumba tunazoishi na ukitaka kuwafukuza unasoma Quran au Biblia au kumtaja Mwenyezi Mungu.
Majini hukusanyika na kuongezeka giza linapoingia au unapopatwa Mwezi, na huwa wanakimbia wanaposikia Adhana au Kengele ya kamba.
Majini wengi wanapenda kukaa baina ya kivuli na jua na siyo vizuri kukaa eneo hilo.

SURA ZA MAJINI NA MASHETANI:

Majini sura zao ni za kutisha na mfano wake ni kama Matunda ya Mti wa Zaqum ambao unatoa matunda yenye sura mbaya na yanayofanana na mawe.
Majini wanakuwa na mkutano kila siku nyakati za kuchomoza na kuzama Jua na nyakati hizo ndizo ambazo wanafanya maasi yao.
Fitna na Maasi yao mengi wanafanyia upande wa Mashariki.
Majini vilevile wanaweza kujigeuza kama mbwa mweusi au paka mweusi kwa sababu Majini wanapenda Rangi Nyeusi kwa sababu ya kiza.

UADUI WA MAJINI NA BINADAMU:

Majini na Binadamu wana Uadui wa asili tangu pale Binadamu alipoumbwa na kabla Mwenyezi Mungu hajampulizia Roho; Shetani akawa anauzunguka mwili wa binaadam na kusema “Nikipewa Uongozi juu yako basi nitakufanya uwe Aaswi (Usimsikilize Mola wako) na ikiwa utapewa wewe Uongozi basi nitakuangamiza”.
Mungu alipompulizia Roho Adamu aliwaamrisha Ibilisi na Malaika wamsujudie lakini Ibilisi alikataa kwa kusema kwamba Yeye ni bora kuliko Binadamu.

JE MAJINI WANAKUFA?

Majini na Mashetani nao wanakufa isipokuwa wao wanaishi miaka mingi kuliko Binadamu kwa sababu hawana maumbo maalum.
TUNAWEZA KUWAUA MAJINI?
Majini tunaoishi nao nyumbani mwetu tunaweza kuwaua kwa kutumia utaalamu Maalum. Lakini kabla ya kufanya hivyo unatakiwa umuadhinie mara tatu Kidini yako au Umtaje Mwenyezi Mungu mara tatu; asipobadilika au kuchukua mfano mwingine muache, lakini akibadilika muuwe huyo atakuwa Shetani.
Shetani anapohisi Binadamu anataka kumdhuru basi hukimbia kama vile damu inavyokimbia kwenye mishipa ya damu.




Uchawi Makaburini

Ifuatayo ni sehemu ya Vipindi mbalimbali vya Television vya Nyota Zenu kama jinsi ambavyo vimerushwa katika TV ya Channel 10 na hapa ni sehemu ya Vipindi hivyo.
Sehemu ya Video inayoonyesha namna watu wanavyofanya Uchawi Makaburini.





MAUMBO NA SURA ZA MAJINI KULINGANA NA SAYARI ZAO
1. Majini wa Saturn (Zohal) - Majini wa Jumamosi

Majini hawa huwa ni warefu, wembamba na wenye sura ya ukatili na kutisha, wana nyuso nne ambazo kila moja iko kila upande wa kichwa, yaani kwa mbele na nyuma sura inakua na midomo kama ya ndege.



  • [*]Pia wana sura nyeusi inayon’gaa katika kila goti. Mwendo wao ni kama mwendo wa upepo ambao huambatana na radi.
    [*]Alama yao ni ardhi nyeupe kuliko theluji.
    [*]Umbo lao maalum ni kama Mfalme mwenye ndevu anaemuendesha DRAGON.
    [*]Umbo lingine ni la mtu mzee mwenye ndevu
    [*]Umbo lingine ni la Bibi kizee ambae anaegemea kitu
    [*]Umbo lingine ni la Mvulana
    [*]Umbo lingine ni la Dragon
    [*]Umbo lingine ni la Bundi (Owl)
    [*]Umbo lingine ni la Nguo nyeusi isiyo na mwili
  • Umbo lingine ni la Ndoano au Mundu
  • Umbo lingine ni la mti wa Mreteni

2. Majini wa Jupiter (Mushtara) - Majini wa Alhamisi

Majini wa sayari hii wanakuwa na mwili mwekundu na umbo la kati siyo wakubwa wala siyo wadogo, mwendo wao na mwondoko wao ni wa kutisha na wa kuogopesha lakini na wapole na wanao ongea taratibu.
Wana rangi ya chuma ambayo inawaunganisha wao na Sayari ya Mars (Mariikh). Mwendo wao ni ule wa umeme ukiambatana na ngurumo za radi.


  • [*]Alama yao ni ya mizuka ya watu ambao miili yao ni kama iliyojeruhiwa na Simba.
    [*]Umbo lao maalum ni la Mfalme mwenye Upanga akiwa mgongoni mwa Simba akimwendesha.
    [*]Umbo lingine ni la Mtu aliyevalia rasmi Nguo za Chuma za Kivita.
    [*]Umbo lingine ni la Kijakazi aliyevaa Taji lililopambwa kwa Maua.
    [*]Umbo lingine ni la Ng’ombe Dume.
    [*]Umbo lingine ni la Paa dume
    [*]Umbo lingine ni la Tausi
    [*]Umbo lingine ni la Nguo ya rangi ya bluu isiyokua na mwili.
  • Umbo lingine ni la Upanga.
  • Umbo lingine ni la Mti wa Mbuyu.
{mospagebreak}

3. Majini wa Mars (Mariikh) - Majini wa Jumanne

Majini wa Mars (Mariikh) wanakuwa na Umbo refu, Mwili Mwekundu, mchafu na hutoa harufu yenye kutia kinyaa. Huwa wanajitokeza pia katika mwili wenye rangi Nyekundu, Kahawia au Nyeusi. Wana mapembe kama ya mnyama aitwaye Ayala (Hart), kucha kama za Simba, Wanatoa sauti kama za Nyati (Mbogo).


  • [*]Mwendo wao ni kama mwendo wa moto unaowaka na Alama yao ni radi na umeme unaowaka kwa katikati.
    [*]Umbo lao maalum ni la Mfalme aliyevalia kivita akiwa amempanda Mbweha (Mbwa mwitu).
    [*]Umbo lao lingine ni la Mwanamme aliye na silaha.
    [*]Umbo lao lingine ni la Mwanamke aliyeshikilia Ngao kwenye mapaja yake.
    [*]Umbo lao lingine ni la Mbuzi Jike.
    [*]Umbo lao lingine ni la Farasi.
    [*]Umbo lao lingine ni la Paa.
  • Umbo lao lingine ni la Nguo Nyekundu isiyokuwa na mwili.
  • Umbo lao lingine ni la Sufi.

4. Majini wa Sayari ya Jua (Shams) - Majini wa Jumapili

Majini wa Sayari ya Jua (Shams) wana viungo na umbo la kati, wasiovutia na dhalimu, wana Sura nyekundu na rangi ya dhahabu iliyochanganyikana na Damu.
Mwendo wao ni mfano wa Umeme na Alama yao kubwa ni kusababisha mwenye kumuita kutokwa na jasho jingi (ambapo hii ni kawaida kwa Viumbe hivi ambavyo ni vigumu kuelezeka).


  • [*]Umbo lao maalum ni la Mfalme aliyebeba fimbo ya kifalme huku akiwa amempanda Simba.
    [*]Umbo lao lingine ni la Mfalme aliyevikwa Taji.
    [*]Umbo lao lingine ni la Malkia mwenye Fimbo ya Kifalme.
    [*]Umbo lao lingine ni la Ndege wa aina yeyote isipokuwa wale ndege ambao wanawakilisha peponi.
    [*]Umbo lao lingine ni la Simba.
    [*]Umbo lao lingine ni la Jogoo.
    [*]Umbo lao lingine ni la Nguo ya Dhahabu isiyokuwa na mwili.
  • Umbo lao lingine ni la Fimbo ya Kifalme.
  • Umbo lao lingine la mwisho ambalo kwa kweli ni la kutisha sana; ni lile la Kiumbe ambaye haeleweki eleweki vizuri na ni vigumu kumuelezea ila ana mkia.

5. Majini wa Sayari ya Venus (Zuhura) - Majini wa Ijumaa

Majini wa Sayari ya Venus wana Umbo la kati na ambalo ni zuri kwa kuliangalia ambapo sehemu yao ya juu ni ya dhahabu na sehemu yao ya chini katika mwili ni ya rangi nyeupe au kijani.
Mwendo wao ni kama wa mwendo wa Nyota inayong’aa. Alama yao ni ile inayofanana na Wanawake wanaocheza katikati ya Mduara, huku wakimshawishi na kumtamanisha Mwanamazingaombwe ajiunge nao.
{mospagebreak}

Umbo lao maalum ni:-



  • [*]Ni la Mfalme aliyebeba Fimbo ya Kifalme huku akiwa anamwendesha Ngamia.
    [*]Umbo lao lingine ni la Mwanamke aliye Uchi.
    [*]Umbo lao lingine ni la Mbuzi Mwanamke.
    [*]Umbo lao lingine ni la Ngamia; ambaye huwakilisha Shetani mbaya aitwae Cazote.
    [*]Umbo lao lingine ni la Njiwa.
  • Umbo lao lingine ni la Nguo isiyokuwa na mwili ya rangi Nyeupe au Kijani.
  • Umbo lao lingine ni la Mmea uitwao “Savine”.

6. Majini wa Sayari ya Mercury (Attwarid) - Majini wa Jumatano

Majini wa Sayari ya Mercury (Attwarid) mara nyingi hutokea na mwili wa Kati, Baridi, Majimaji, Unyevu nyevu. Kwa ujumla maana yake ni kusema kuwa Majini hawa wa Sayari ya Mercury wanafanana na maumbile ya Mercury (Zebaki).
Muonekano wa Majini hawa ni wa kuridhisha, ni Wachangamfu katika maongezi, wana Umbo la Kibinadamu, na wanaonekana kama Shujaa aliye na silaha.


  • [*]Mwendo wao ni kama wa Mawingu ya rangi ya Fedha. Alama yao ni kuwa wanasababisha Vitisho, Hofu na Woga kwa mwenye kuwaita.
    [*]Umbo lao Maalum ni la Mfalme anaemuendesha Dubu.
    [*]Umbo lao lingine ni la Kijana Mzuri wa Kuvutia.
    [*]Umbo lao lingine ni la Mwanamke aliyebeba Kijiti cha kukunjia Uzi chenye bonge la uzi.
    [*]Umbo lao lingine ni la Mbwa.
    [*]Umbo lao lingine ni la Dubu Jike.
    [*]Umbo lao lingine ni la Kunguru; Kunguru hawa hutumwa kwenda kusaidia katika Kazi za Kichawi na Kijini kwa Kuchukua Nguo za Ndani za Watu, Soksi, Vijiko, na vitu vingine vidogo dogo kama hivyo. Ndio maana katika aina nyingi za Ndege, Kunguru mara nyingi ndio huchukua vitu vya ajabu ajabu ambavyo ndege wengine hawawezi kuvichukua.
  • Umbo lao lingine ni la Nguo isiyo na mwili yenye kubadilika badilika rangi.
  • Umbo lao lingine ni la Fimbo, Rungu, Bakora au Gongo dogo.

7. Majini wa Sayari ya Moon (Qamar) - Majini wa Jumatatu

Majini wa Sayari ya Moon – Mwezi (Qamar) wana Maumbo makubwa, Laini, Tulivu na rangi yao ni kama wingu jeusi.
Muenekano wao ni umbo lililotuna, Vichwa vyao vina upara, Macho yao ni Mekundu na yanatoa Majimaji, Meno yao ni kama ya Nguruwe Mwitu.


  • [*]Mwendo wao ni kama Dhoruba kubwa Baharini. Alama yao ni ni Mvua kubwa inayonyesha katika Mduara.
    [*]Umbo lao Maalum ni:-
    [*]Ni la Mtu kama Mfalme anayerusha Mishale huku akiwa anamuendesha Swala Jike.
    [*]Umbo lao lingine ni la Kijana Mdogo wa Kiume.
    [*]Umbo lao lingine ni la Mwindaji wa Kike mwenye Upinde na Mishale.
    [*]Umbo lao lingine ni la Ng’ombe.
    [*]Umbo lao lingine ni la Swala Mdogo.
    [*]Umbo lao lingine ni la Bata.
    [*]Umbo lao lingine ni la Nguo isiyokuwa na Mwili yenye rangi ya Kijani au Fedha.
  • Umbo lao lingine ni la Mshale.
  • Umbo lao lingine ni la Kiumbe mwenye Miguu Mingi mfano wa Tandu.





SERIKALI YA MAJINI
Majini wana Utawala wao ambao ni Majini Wakuu na Majini wa Kawaida wanaopewa Kazi za kufanya na Wakuu wao, Katika Serikali yao kuna Wakuu wa Serikali, Wakuu wa Majeshi, Wakuu wa Mahakama na wengineo wengi.

Utawala katika Serikali yao umegawanyika katika sehemu Kuu mbili (2);


  1. Utawala katika Ulimwengu wa Kijini.
  2. Utawala katika Ulimwengu huu wetu wa Kibinadamu.

Majini Wakuu kabisa wapo Watatu (3) ambao Majina yao ni;



  1. [*]Lucifer.................ambae ndio Mfalme wao (Emperor),
  2. Beelzebuth.......... ambae ni Mtoto wa Mfalme (Prince),
  3. Astaroth ..............ambae ni Mtawala Mkuu wa Majimbo (Grand Duke).
Hawa Watawala Wakuu kabisa watatu, iwapo Binadamu anataka kuwaita na kuwatumia inambidi atumie njia Maalum;
Mtu anayewaita anatakiwa achore alama zao kwa kutumia Damu yake mwenyewe, au anaweza pia kutumia Damu ya Kobe wa Baharini (Kasa) katika kuandikia.
Iwapo atashindwa haya yote basi anaweza pia kuwaita kwa kuchora alama za Majini hao kwenye Kito cha Ruby au Emarald; kwani vito hivi vinaendana sana na Majini hasa wale wa Ukoo wa Jua, ambao huwa na Busara, wazuri na Marafiki zaidi kuliko aina nyingine ya Majini.
Alama hizi za Majini zinatakiwa zivaliwe na Mtu ambae anataka kuwaita. Ikiwa muitaji ni Mwanamme, anatakiwa aiweke kwenye Mfuko wake wa Kulia na iwapo ni Mwanamke, anatakiwa aiweke katikati ya Matiti yake ikielekea upande wa Kushoto.
Alama hizi zinatakiwa ziandikwe katika siku ya Jumanne saa Kumi na mbili (12) mpaka saa moja asubuhi au saa saba mchana mpaka saa nane kwa majini wote.
Majini hawa watatu wana uwezo wa kufanya mambo yote, na kwa Mtu ambae anawaita hawa anatakiwa aheshimu wale tu ambao watamheshimu kwani Majini hawa Wakuu wanawaheshimu wale tu ambao ni Marafiki wao Wakuu na wa karibu, hivyo mtu anaeamua kuwaita anatakiwa ajihadhari kwa lolote ambalo linaweza kutokea.
Utawala wa hawa umegawanyika baina yao wote kwani kila mmoja ana Wasaidizi wake wakuu Wawili ambao nao huwa wanawatuma Majini wengine kuhusu mambo ambayo Mfalme wao Lucifa ameagiza yafanyike Duniani kote.

Wasaidizi walio chini ya Lucifa ni;

Put Satanachia na
Agaliarept;.............Ambao wanaishi Bara la ULAYA na ASIA.
Wasaidizi walio chini ya Beelzebuth ni;
Tarchimache na
Fleurety...................Ambao wanaishi Bara la AFRIKA.
Wasaidizi walio chini ya Astaroth ni;
Sargatanas na
Nebiros.............Ambao wanaishi Bara la AMERIKA.
{mospagebreak}

Majini katika Serikali yao kulingana na Kazi zao ni kama ifuatavyo;



  1. [*]LUCIFUGE ROFOCALE....ambae ni Waziri Mkuu (Prime Minister)
    [*]SATANACHIA.........ambae ni Amiri Jeshi Mkuu (Commander-in-Chief)
    [*]AGALIAREPT......ambae ni Kamanda wa Majeshi
    [*]FLEURETY.........ambae ni Luteni Jenerali (Lieutenant-General).
  2. SARGATANAS.....ambae ni Brigedia Meja (Brigadier-Major)
  3. NEBIROS....ambae ni Jemedari Mkuu na ni Inspekta Jenerali (Field-Marshal and Inspector-General).
Kama jinsi ilivyoonekana hapa ya kuwa Utawala wao katika Ulimwengu wao wa Kijini umekaa KIJESHI lakini Utawala wao hapa Duniani sio wa Kijeshi kwani;

1. LUCIFUGE ROFOCALE;
ana Mamlaka ambayo amepewa na LUCIFA ya kudhibiti Mali na Hazina zote za hapa Duniani.
Wasaidizi wake ni Baal, Agares na Marbas.

2. SATANACHIA
ana Mamlaka juu ya Wake, Wanawake, na Wasichana wote ambapo ana uwezo wa kuwafanyia kama jinsi atakavyopenda yeye.
Wasaidizi wake ni Pruslas, Aamon na Barbatos.

3. AGALIAREPT

Ana Mamlaka na Uwezo wa kugundua Siri zote zilizopo katika Mabaraza na Mahakama zote hapa Duniani.
Anavumbua Siri za hali ya juu sana.
Anaamuru Kikosi cha Pili cha Majini wasiopungua 3,000).
Wasaidizi wake ni Buer, Gusoyn, na Botis.

4. FLEURETY

Ana Mamlaka na Nguvu za Kufanya Kazi yeyote Usiku na anasababisha mvua ya Mawe katika sehemu yeyote ile itakayoitajika.
Anaongoza na Kudhibiti Jeshi kubwa la Majini.
Wasaidizi wake ni Bathsin (au Bathim), Pursan, na Eligor.

5. SARGATANAS
ana Nguvu na Mamlaka ya;
Kumfanya Mtu yeyote asionekane.
Anasafirisha Mtu yeyote kwenda sehemu yeyote ile.
Kufungua Loki na Kufuli zote Duniani,
Kuonyesha na kuweka wazi mambo yote yanayofanyika ndani ya Nyumba za Watu binafsi.
Anafundisha mbinu zote za Uchungaji wa Wanyama.
Anadhibiti na Kuamuru Vikosi Kadhaa vya Majini wasiopungua 5,000 kwa kila kikosi.
Wasaidizi wake ni Zoray, Valefar na Faraii.
{mospagebreak}

6. NEBIROS
ana uwezo wa;
Kushurutisha Uovu kwa Mtu yeyote amtakaye.
Ana uwezo wa Kumletea Mtu Fahari Kuu.
Ana uwezo wa Kumuonyesha Mtu vitu Bora kama vile; Madini, Mawe, Mboga, na Wanyama.
Ana uwezo Mkubwa wa Kutabiri vitu vitakavyotokea hapo baadae; kwani Huyu ndiye Mkuu wa Utabiri katika Ulimwengu wa Kijini.
Anazunguka zunguka huko na huko kila sehemu kwa ajili ya Kuangalia, kuchunguza na Kukagua aina zote za Maangamizi.
Wasaidizi wake ni Ayperos, Naberrs na Glassyalabolas.
Kuna Mamilioni ya Majini wengine ambao nao wapo chini ya hao waliotajwa hapo juu na hutumika tu pale inapoonekana ya kuwa kuna Kazi ya kufanya kutoka kwa Wakuu wao, kwani wao hutumiwa na Wakuu wao kama Wafanyakazi au Watumwa.
Hata hivyo kuna Majini Wasaidizi Muhimu Kumi na Saba (17) ambao wao hufanya Kazi kama Mawaziri wa Wale Majini Wakuu Sita (6), Majini hao pamoja na Kazi zao ni kama ifuatavyo;

1. CLAUNECK;

Ana Nguvu na Mamlaka juu ya Vitu na Utajiri,
Anaweza Kuvumbua Hazina iliyofichwa, kwa yeyote atakayeweka Mkataba nae,
Ana uwezo wa Kumzawadia Mtu Utajiri mkubwa kwani yeye anapendwa sana na Lucifer,
Ana uwezo wa kukuletea Pesa kutoka mbali;
Mtii naye atakutii!

2. MUSISIN;

Ana Nguvu juu ya Mabwana Wakuu, anawapa Maelekezo kuhusu yale yanayotokea na kupitishwa katika Serikali zao na za Washirika wao.

3. BECHARD;

Ana Nguvu na Mamlaka juu ya Upepo, Dhoruba (Tufani), Radi, Umeme, Mvua na Mvua ya Mawe, kwa kutumia uchawi wa Chura na Vitu vingine vya namna hii.

4. FRIMOST

Ana uwezo juu ya Wake na Wanawali na ana uwezo wa kukusaidia kuwafurahia.
5. KHIL ....Husababisha Mtetemeko wa Ardhi.
6. MERSILDE: Ana uwezo wa kukusafirisha mara moja sehemu yeyote uitakayo.
7. CLISTHERET: Ana uwezo wa kukugeuzia usiku na mchana kwa kupenda kwako.
{mospagebreak}
8. SIRCHADE: Ana uwezo wa kukuonyesha wewe aina zote zile za wanyama katika umbo lolote lile walilonalo.
9. SEGAL: Ana uwezo wa kukuonyesha dhahiri miujiza yeyote iwe ya kawaida au ya kimazingaombwe.
10. HIEPATCH: Ana uwezo wa kukuletea mtu aliye mbali papo hapo.
11. HUMOTS: Ana uwezo wa kusafirisha aina zote za vitabu kwa starehe yake.
12. FRUCIESSEIERE: Ana uwezo wa kuwafufua wafu.
13. GULAND: Ana uwezo wa kusababisha aina yote ya maradhi.
14. SURGAT: Ana uwezo wa kufungua aina zote za Loki.
15. MORAIL: Ana uwezo wa kufanya vitu vyote Duniani visionekane.
16. FRUTIMIERE: Ana uwezo wa kukupa kila aina ya sherehe.
17. HUICTIIGARA: Ana uwezo wa kusababisha kutembea usingizini na kwa wengine kuwakosesha usingizi kabisa.
Satanachia na Satanisie wanawatawala majini 45 au 50 wanne katika hao ni Surgutthy, Heramael, Trimasel na Sustugriel. Wawili wa hawa ni machifu na waliosalia hawana umuhimu wowote.
Hawa ni Majini watumikao kwa binadamu kwa urahisi na haraka lau ikiwa wanaelewana na anaemuita,
Serguthy ana uwezo juu ya wake za watu na wanawali
Heramael anafundisha elimu ya madawa na anatoa na ujuzi kamili wa magonjwa yote, tiba zake sahihi, anafundisha aina ya mimea yote, sehemu mimea hiyo inapatikana, nyakati nzuri ya kuipata, umuhimu wa mimea hiyo na namna ya kuchanganya mimea hiyo ili kupata dawa sahihi kwa maradhi ya aina yeyote ile.
Trimasel na Sustugriel hawa wawili ni Machifu na wanatoa elimu ya kichawi kwa wale wanaowapenda.
Agalierept na Tarihimal wanamtawala Elelogap, ambae nguvu zake zipo juu ya Maji.
Nebirots Wawili wawatawala Hael na Sergulath.
Hael anatoa maelezo juu ya Usanii wa kuandika kila aina ya Barua, anampa Mtu uwezo wa kuongea mara moja kila aina ya Lugha na anaelezea na kufumbua vitu vyote vya siri.
Sergulath ana uwezo wa Kufundisha Mtu njia mbalimbali za kuvunja pande ambazo hazielewani.

Hawa wana Wasaidizi wao Wanane (8) wenye nguvu

1. Proculo ambae ana uwezo wa kumpatia Mtu usingizi kwa muda wa masaa manane huku akiwa anafahamu yanayotokea usingizini.
2. Haristum ambae anampa Mtu uwezo wa Kupita kwenye Moto bila ya kuungua.
3. Brulefer, ambae ana uwezo wa Kumfanya Mtu apendwe na Wanawake.
4. Pentagnony, ambae anawapa Watu uwezo wa Kutokuonekana (Invisible), pia anapendwa sana na Watawala Wakuu
5. Aglasis, ana uwezo wa Kumsafirisha Mtu kwenda sehemu yeyote ile Duniani.
6. Sidragrosam, anawafanya Wanawake wacheze Uchi.
7. Minoson, ana uwezo wa Kumhakikishia Mtu kushinda katika Michezo yeyote ukiwepo wa Kamari.
8. Bucon ambae ana Uwezo wa kuanzisha Chuki na Wivu kati ya Jinsia mbili (Wanaume na Wanawake).cc.@
Eiyer

165064_492159844170258_510225546_n.jpg


Jini Subiyani huyoo
 
Duh! Watu wenye shinikizo la moyo wanaweza kuanguka popote pale.
Kwenye kiti, gari, michezoni na hata wakiwa jamii forums. practically anywhere.
Tofauti ni kuwa , chooni kumekuwa maarufu sababu ni sehemu private ambamo watu huwa hawajui kilichomkumba mlengwa.
 
Back
Top Bottom