Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

uchawi upo ila untofautiana kulingana na mahali ulipo na unafafanuliwa vipi
 
I think uhusiano upo, I personally have witnessed some slight falls which either resulted to death itself or in most cases paralysis & brain concussion,
Watu wana related the scenario na blood pressure which is likely to be affected adversely mtu anapotumia shower.(sina ushahidi kwa chili)
Pia kwenye schools of thoughts za dini Luna a believe kuwa sehemu hizi za lavatories kuna majini/ mashetani-( I can not give a precise difference between the two ndo mana I have chose to use them synonymously) ambao pia tunaweza kuwalaumu kwa hii kadhia na nadhan pia ndo maana kuna supplications when & after paying these places a visit.
Connection ya juju ( witchcraft) na kuanguka/ kufa chooni ndo siijui...
 
kama ishu ya ya dr slaa nae alidondoka chooni, na kulemaa mkono.
kwangu mimi naona labda ni.kutokana ma kuteleza kwa tailizi kukichanganyka na sabuni
 
kweli ni mambo makubwa haya tena

nijuavyo mm ni kuwa kama Mungu amependa kukuchukua uwe sehemu gani utaondoka tu uwe chooni, bafuni , ndani au popote pale ataichukua roho yako kwani ndiye aliyekuumba na ndiye atakayekuchukua hivyo usiwaze kuwa ni ni imani za kishirikina hizo ingawaje hata watu huamini hivyo lakini kwa upande mwingine vilevile imani za kishirikina izinaendana na mambo hayo pia ila usiwe mtu wa kuamini hivyo tu kwani kila mtu anaondoka kwa mpango wa Mungu
 
Nishawahi shuhudia hili mtu alidondoka chooni na baada ya hapo aliishia kupooza kwa muda ingawa silica baada ya hapo nini kilifata....so uhusiano upo lakini sielew ni kwanini
 
Nashukuru Mungu my dad alipona ye alianguka alikuwa anaoga,japo aliumia sana kwenye maeneo ya nyusi,ni mzima hadi leo,more than 10 yrs,hii kitu nishaisikia sana pia,inahusishwa na nguvu za giza
 


hahahahaha Mtumeeeee, CC. Bujibuji CC. Ilonga Msalabani

Kweli watu wangu wanapotea kwa kukosa ILIM sisi wakristu tunaita elimu.
Mzizi Mkavu kuna mambo unapotosha kila kitu unaweka majini.

Kuna mdau kaelezea vizuri sana hapo juu kuwa ni stroke nothing more nothing less ila hajaelezea namna ya kuiepuka hio stroke ya bafuni na chooni.

Ukiamka asubuhi kitandani au mchana ukiwa umelala, aamka then kaa kwa dakika 5, the shuka kitandani jinyooshe/do some stretching for next 5 minutes. Ukiweza kunywa maji glass moja ambayo ni room temperature. Then nenda bafuni.

kosa kubwa watu wanalofanya ni kukurupuka gafla na kukimbilia bafuni na kuanguka kwa shambulio la moyo. Kuna wengine wanapata Palimonary Emblelism au tiny blood cloting ambazo zina block valvu za moyo.

Sio wote wanaoanguka bafuni hufa mbona Dr. Slaa alianguka na kuvunjika mkono ila alipona?
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Mungu my dad alipona ye alianguka alikuwa anaoga,japo aliumia sana kwenye maeneo ya nyusi,ni mzima hadi leo,more than 10 yrs,hii kitu nishaisikia sana pia,inahusishwa na nguvu za giza

Hakunaga nguvu za giza au uchawi mkuu, grow up.
 
Hujaumwa wewe na kuanguka chooni na wala usiombe yakukute wewe nenda makaburini kawaulize waliozikwa makaburini walipenda kukaa huko makaburini? kama huyajuwi uliza wenzio wewe mwenyewe. Waswahili wanasema Adhabu ya kaburi aijuaye ni maiti hutaweza kujuwa matatizo ya mashetani mpaka yakukute wewe ndio utayajuwa kama kweli mashetani yapo au hayapo usiombe yakukute utaipata kazi kwako.
 
Mimi sipotoshi

ninasema ukweli wa mambo unayo habari kuwa Bwana Yesu alikuwa anyafukuza Mapepo? Au hukusoma wewe Biblia

yenu inavyofundisha? Ukiamini ni sawa usipoamini pia ni sawa sitoweza kukulazimisha wewe. Ki Hospitali kuanguka

chooni hakuhusiani na kupatwa na Shetani Elimu ya kizungu Elimu ya Sayansi na Teknolojia hawaamini mambo ya Elimu

ya Giza Elimu ya giza ndio wanaamini kuwa ukianguka chooni kuna uhusiano na shetani mbaya kukumbwa chooni kwa hiyo

kazi kwako kuamini au kutokuamini. Kila mtu na imani yake wewe Unamini Bwana Yesu ni mtoto wa Mungu au mungu

Mwenyewe aliyejigeuza kuwa mfano wetu . Mimi siamini kuwa Bwana Yesu mtoto wa Mungu wala Mungu Mwenyewe

kwa hiyo tupo tofauti hata nikwambia kitu gani kuhus Mapepo hutoamini kwa sababu mimi na wewe Tupo imani Tofauti

upo pamoja na mimi Mkuu NGULI? Kwa hiyo kaa na imani yako na mimi nikae na imani yangu tungojee Malipo Kesho

Kwa Mungu.
 
Hakunaga nguvu za giza au uchawi mkuu, grow up.

am grown up already...lisemwalo lipo,in many cases watu wanakufa wakianguka do u think ts js a mere coincidence???????...and if ur christian utakubaliana na mimi hata bible ina-acknowledge uwepo wa nguvu za giza,wl find the verse nkupostie hapa
 
Habarini za mida wakuu, kuna kitu kiukweli huwa sikielewi fresh. Hii huwa inatokea mara nyingi sana, mtu akianguka chooni basi ataugua sana au kufa kabisa. Sasa me naomba kufahamishwa hivi kuna nini haswa nyuma ya pazia? Kwanini ukianguka chooni tu ndo unapata matatizo ila sehemu zingine inakua kawaida? Please let me know?
 
mara nyingi au asilimia kubwa kuanguka chooni kunahusisha kugonga kichwa sakafuni/ukutani kwa nguvu sana leading to severe, often fatal head injury
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…