Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Wakuu hii kitu nimeshudia juz kwenye mgahawa mmoja hv una flemu 2 ila zote wameweka migahawa mmoja wa wapemba ambao walikuwa wa kwanza na kwa hakika walikuwa wanapiga sana hela ila majuz tu banda la pili nalo likapata mtu naye kaweka biashara kama ileile ya wapemba yaan ya chakula asbh, mchana na usk,
Walianza zozana kwa maneno ila siku ya siku ikasemekana wale jamaa walioamia karbun walionekana wanavunja mayai na naz usk, baada ya kupita siku kama 2 yule jamaa mwenye banda la wapemba alifika pale kwenye biashara yake asbh na alipofika akasema ili eneo ni chafu sana…!!! Watu walibak wakiduwaa tu wasielewe nn kinaendelea eneo lile, siku ya pili baada ya kusema maneno hayo yule boss mdogo wake alidondoka choon by saa 7 mchana hv na yule kaka mtu akaja akajarbu muombea dua ila wap ikashindika kwan alikuwa ata kuongea hawez na mwili wote haukuwa na nguvu ndipo walipopata wazo la kwenda kwa mashekhe wabobez nao ndio waliofanikisha yule jamaa akajisikia nafuu na kuanza kuongea japo bado hajakaa sawa…!!!
hakika ayah mambo yananamna sio bure mara nyingi wanaonguka choon bas kama si kupooza bas kufa na ukipona kabisa ukawa mzima Mungu tu na kudra zake ila si kitu kizur kwakwel:-
Nilishuhudia mwenye hiyo habari hapo juu kwan ni karbu na ofsini kwangu si kama nilisimuliwa
Mkuu soma post #9 ya Mtimti, hiyo ndio sababu kubwa inayowakumba watu - hakuna cha mashetani/nguvuzagiza au nini sijui!!