Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
Hao majini unao wa ngangania ni kwamba kwanini wanawaangusha watu wa above 50 pekee vipi chini ya hapo hawaonekani?nahisi unashindwa kufanya uchambuzi kwenye hvi visa! skatai kwamba hamna normal stroke ambayo ukianguka iwe kwa kichwa na sehemu nyingne za mwili au ujimwagie maji! some guys mbona hupiga mbizi kwenye swimming na hakuna effect yyte ile🙂 issue ni kwamba ww unabisha stroke ya majini ya chooni haipo..! mungu muweza wa yote kupitia mitume yake na vitabu akaweka hii dua kwa maana ndugu
na kwa nini hao wa age ya 50 waanguke chooni tu?🙂 nionyeshe tafiti ulizofanya uthibitisheHao majini unao wa ngangania ni kwamba kwanini wanawaangusha watu wa above 50 pekee vipi chini ya hapo hawaonekani?
Sijui vizuri kwa kweli mkuuKumradhi mkuu, kwanini inashauriwa kujifunika kichwa?
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Kwasababu kitaalamu watu wenye high risk ya kupata pressure au CVA ni above 50 yearsna kwa nini hao wa age ya 50 waanguke chooni tu?🙂 nionyeshe tafiti ulizofanya uthibitishe
Mimi Nipo pamoja sipingi yupo mwashule mmoja ndio kang'angania usemayonahisi unashindwa kufanya uchambuzi kwenye hvi visa! skatai kwamba hamna normal stroke ambayo ukianguka iwe kwa kichwa na sehemu nyingne za mwili au ujimwagie maji! some guys mbona hupiga mbizi kwenye swimming na hakuna effect yyte ile🙂 issue ni kwamba ww unabisha stroke ya majini ya chooni haipo..! mungu muweza wa yote kupitia mitume yake na vitabu akaweka hii dua kwa maana ndugu
Hakuna cha mwana shule, ofcz unayo yasema yanaweza kuwepo 100% sikatai na ndio maana hata kwenye upande wa kitaalamu linapokuja suala lisiloeleweka huwa tuna ruhusu upande wa tiba mbadala ufanyike lakini swali linakuja ni KWANINI NI ABOVE 50 YEARS NDIO WAANGUKE CHOONI? je, hawa majini wanawadhuru wenye hii miaka pekee? Na kwanini wafanye hivyo?Mimi Nipo pamoja sipingi yupo mwashule mmoja ndio kang'angania usemayo
Mshana hebu litolee ufafanuzi hili jambo ili liishe ndg yangu [emoji120]Kama ni ajali ya kawaida unapona
sio kwa maisha ya sasa mkuu! kma ww mtaalam naamini utathibitisha hili! bado sjaelewa hoja yko? kwamba unapinga majini ya chooni na stroke zake, au those stroke ni above 50 kwa mujibu wa gazeti lako.🙂Kwasababu kitaalamu watu wenye high risk ya kupata pressure au CVA ni above 50 years
Shikamoo MEDICINE
Lete fact yako pia[emoji23]
Sijajua uhusiano wa hiyo miaka unayosema na kuanguka chooni,ila nishawahi kumpoteza mtoto wa kakayangu mwaka juzi alianguka chooni ila hajafika hivyo miaka japo anakaribia, lingine akimaliza week tangu aanguke basis atapona japo itachukua hata miaka mingi lakini ,lakini huwa hawafiki siku waliongukia,hayo mengine kwa nini wawadhuru wenye umri mkubwa sijajua sababu ,huenda ikawa kama degedege agharabu kumpata MTU mzima.Hakuna cha mwana shule, ofcz unayo yasema yanaweza kuwepo 100% sikatai na ndio maana hata kwenye upande wa kitaalamu linapokuja suala lisiloeleweka huwa tuna ruhusu upande wa tiba mbadala ufanyike lakini swali linakuja ni KWANINI NI ABOVE 50 YEARS NDIO WAANGUKE CHOONI? je, hawa majini wanawadhuru wenye hii miaka pekee? Na kwanini wafanye hivyo?
Ndani ya siku tatu za mwanzo kinyume chake au ukichomwa sindano basi ,niagieni.my friend ukianguka kwenye vile vyoo vya uswazi vya passport size ambavyo 'wazzee' wanatunzia ile 'mifugo' yao ya ulimwengu mwingine, my friend tafuta msaada mapema!, otherwise umekwisha kabisa!...……….
Hakuna shetani chooniHata mashetani ya chooni yapo pia.
Msing'ang'ane na elimu za wazungu peke yake.
Dunia ni kubwa hii.
Basi sawaHakuna shetani chooni
Nimeanguka mara nyingi lakini bado nadunda mpaka leoUkianguka tu huko ume dead
Iliwahi kuelezwa na Wachambuzi kuwa sababu za watu kuanguka vyooni ni pamoja na hayo yafuatayo:-Salaam wakuu
Inamaana gani mtu akianguka chooni?
Kuna uhusiano wowote wa kichawi na mtu kuanguka chooni?
Hata humu wapo mkuuvijana muwe mnaongea na wazzee ili wawape 'maelekezo', na hasa kwenye issue ndogo ndogo kama hizi, wazee wapo kila sehem…….
Mimi ni mmoja wao soma post yangu hapo juuHata humu wapo mkuu
nenda tandika, tandale kwa mtogole, kigogo au mwananyamala kajiangushe kwenye choo chochote cha 'passport size' ndani ya wiki lete mrejeshoNimeanguka mara nyingi lakini bado nadunda mpaka leo
Chooni ni mahali pachafu panapohifadhi kinyesi... Mahali penye uchafu kama huo huvutia viumbe roho wachafu, hivyo kama mtu hana kinga nzuri za kiroho ni rahisi kuingiwa na hayo maroho ama hata kupoteza uhaiMshana hebu litolee ufafanuzi hili jambo ili liishe ndg yangu [emoji120]