Kwa waislam tunaamini kuwa huko chooni kuna wadudu wabaya saana (mashetan) na maumbo yao yapo tafauti ..mfano mtu akianguka chooni..utamuona mdomo wake ..umekuwa upande
.au mokono haifanyi kazi..alimradi hatokuwa sawaa tu..sasa hao wadudu wanakuwa sura zao kama hizo nolizozitaja..mdomo upande n.k. NDio maana mashekhe zetu kila siku anatwambia tusome dua malaum unapoingia chooni na unapotoka salaama ..ili dua hiyo ikukinge na ballaa hilo..
watu wote wanao anguka chooni au bafuni huwa wana tatizo la BLOOD PRESSURE.Blood pressure ikipanda hadi kufikia kiwango cha kupasua mishipa ya damu na kusababisha damu kuvuja kwenye ubongo humfanya aliyepatwa na tatizo hili kuhisi anahitaji kujisaidia ama haja kubwa au haja ndogo, ndio kutapatapa kwenyewe kujaribu kuepukana na shida hiyo ya mwili.akifika huko hata haja yenyewe anaweza asipate anajisikia kuzunguzungu na kupoteza fahamu anaanguka kwasababu hana tena control ya mwili wake.sasa kupona au kutokupona kunategemea kiwango cha BLOOD PRESSURE na uwezo wa mwili wake kuihimili.watu wanaofanya mazoezi au kazi ngumu sana mishipa ya damu huwa ni migumu na inayohimili hata pressure kubwa ya damu.watoto mayai au wanao kaa kwenye viyoyozi mishipa yao huwa ni laini na isiyo weza kuhimili pressure kubwa, ikimkuta lazima atakufa tu akianguka chooni.
Hii issue iliondoa uhai mjomba wangu pia, alianguka uani na kupinda mdomo na mkono wa kulia kushindwa fanya kazi. Kwa miezi mitatu aliteseka sana baadae ndipo shida ikagundulika muhimbili kuwa kuna mshipa ulipasuka kichwani. Bahati mbaya ikawa too late!!!
Mzizi hapa unanichanganya . huko nilipoweka red na wewe unaamini kuwa majini na mashetani ni kabila moja? maana umeyatumia ukimaanisha kitu kimoja.Mimi ni muumini wa dhehebu la kirumi na kwa mafundisho yetu ni kwamba vinyamkera vyote hivyo ni mashetani na yalilaaniwa na mungu kwa kukosa utii.Hata likijifanya jema kwako ni uongo linaku kill softly? Kwa upande mingine nimeuliza wanazuoni mbalimbali ya dini majirani zetu wa hapo Maka na medina wakaniambia kuwa eti Mungu anawaambia wanadamu kuwa sikuwaumbeni ninyi majini na wanaadamu ila kuniabudu. Na wanaendelea kusisitiza kuwa kama walivyo wanaadamu basi kuna majini mema na mabaya na yenyewe huingia kwenye nyumba za ibada kuomba kuna ukweli? embu niambia mzizi dude kama uliloliweka picha yake hapo nalo liingie msikitini au kanisani aptakalika kweli?Na huyo Mungu atakayesikiliza sala za dude la hivyo ni wa wapi?Bibie charminglady Kuanguka kwa
chooni ni dalili ya ishara mbaya ya kupatwa na ugonjwa wa kiharusi kupooza kwa upande mmoja. Na Kama utaanguka
chooni kwa bahati mbaya na unaweza usipooze upande mmoja itakuwa ni bahati yako nzuri lakini wengi wao
wanaoanguka chooni huwa wanapatwa na maradhi ya kiharusi yaani Stroke na kama utapona basi utakuwa umepooza
upande mmoja kwa wanawake hupooza upande wa kulia kwa wanaume hupooza upande wa kushoto na ikitokea
umepoza upande mmoja basi kupona inakuwa tabu sana. Kwa imani zetu watu wa Miji ya Pwani yaani Bwagamoyo Dar,Tanga,Zanzibar,Pemba, Mtwara na Mombasa chooni kuna Shetani mbaya
unachotakiwa kwenda chooni utangulize mguu wa kushoto na usome dua fulani kwa kiswahili unaweza kusema hivi
(Ewe Mwenyeezi Mungu ninajikinga kwako kutokana na uchafu wa shetani).Ndio unaingia kwa kutumia mguu wako kushoto na wakati wa
kutoka unatoka na mguu wa kulia ndio unaotanguliza kwa kumuomba Mungu pia, kwa kumshukuru unasema hivi
(Ninakushukuru kwako Mwenyeezi Mungu) ndio unatanguliza mguu wa kulia wakati wa kutoka hayo ndio ninavyojuwa mimi sijuwi
wenzangu wengine mnajuaje tuelewesheni jamani.
Ni yapi makazi ya Majini?
Majini wanaishi katika mgongo wa ardhi, na wanapatikana kwa wingi katika majangwa na sehemu za takataka, sehemu zenye najisi, chooni na makaburini. Na hii ndio sababu hasa ya wale waganga ambao wana uhusiano na mashetani kupenda kuwashauri wateja wao kupeleka vitu vyao na uchawi wao katika maeneo hayo.
Shetani huyu ndio hupenda kukaa chooni au sehemu chafu chafu na pia hukaa majalalani.Na hupenda kunyonya Damu za watu.
Mkuu kama ulivyo kuambia ni ukweli yapo Majini mazuri na majini mabaya ndio hayo yanayoitwa Mashetani.Mzizi hapa unanichanganya . huko nilipoweka red na wewe unaamini kuwa majini na mashetani ni kabila moja? maana umeyatumia ukimaanisha kitu kimoja.Mimi ni muumini wa dhehebu la kirumi na kwa mafundisho yetu ni kwamba vinyamkera vyote hivyo ni mashetani na yalilaaniwa na mungu kwa kukosa utii.Hata likijifanya jema kwako ni uongo linaku kill softly? Kwa upande mingine nimeuliza wanazuoni mbalimbali ya dini majirani zetu wa hapo Maka na medina wakaniambia kuwa eti Mungu anawaambia wanadamu kuwa sikuwaumbeni ninyi majini na wanaadamu ila kuniabudu. Na wanaendelea kusisitiza kuwa kama walivyo wanaadamu basi kuna majini mema na mabaya na yenyewe huingia kwenye nyumba za ibada kuomba kuna ukweli? embu niambia mzizi dude kama uliloliweka picha yake hapo nalo liingie msikitini au kanisani aptakalika kweli?Na huyo Mungu atakayesikiliza sala za dude la hivyo ni wa wapi?
Nasikitika sana swali la hili jibu ni jepesi sana ila naona nyote mna mawazo ya imani potofu.
Medically speaking;
Hali hii huwakuta sana watu ambao wana historia ya magonjwa ya moyo.
Watu hawa mishipa yao ya damu huwa ni dhaifu. na inafika mahali yaweza kupasuka iwapo pressure itaongezeka.
Sasa, ktk kujisaidia, kile kitendo cha kupush "mavi yatoke"(ashakhum si matusi) kinaambatana na kujikamua ambapo nguvu inayotumika hupelekea mshipa( hasa ya kichwani) kupasuka.
Kitendo hiko hupelekea damu kuvuja kwenye ubongo hivyo kujaa na kuziba mawasiliano ya sehemu muhimu za mawasiliano ya nervous system na kusababisha stroke ambapo mtu ataparalyse upande mmoja au mwili mzima kutegemeana na kiwango cha athari za mshipa husika.
Pili, kuna uwezekana mtu akaanguka sababu ya kuteleza chooni na kugonga kichwa na kupelekea mtu kupasuka mishipa ya kichwa hivyo, kama nilivyosema mwanzoni, damu ikavilia kwenye brain na kupelekea stroke na matokeo ambayo nimeyataja.
NB
Hakuna ushirikina ktk hili. Someni!
Hata vitabu vya dini vinakubali kuna majini na shetani. ila tunawahususha vibaya na maisha yetu. watu wanatelezaga tu bafuni kwa kuwa kuna sabuni na hupelekea kujigonga vichwa kuvuja damu nyiingi ana kupasua mishipa ya fahamu. hakuna uchawi bafuni. amkeni
Mkuu kama ulivyo kuambia ni ukweli yapo Majini mazuri na majini mabaya ndio hayo yanayoitwa Mashetani.
Kama tulivyo sisi binadamu kuna binadamu wazuri na kuna binadamu wabaya nao ni tunawaita Mashetani wa
kibinadamu.Jini Shetani ni yule anaye dhuru na kuuwa watu na pia kuwauwa Majini wenzie. Jini mzuri hawezi kukudhuru
na jini anabadilika kwa sura mbali mbali Jini ana uwezo wa kujibadilisha sura akafanana na binadamu na kama huna
macho ya kumona usiweze kumuona kabisa. Kwa hiyo Mwenyeezi Mungu aliumba viumbe wote duniani Waishi
Malaika,wanyama,wadudu, Miti, Majini na binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa katika hii dunia yetu na sisi
Binadamu ndio wafalme katika viumbe aliowaumba Mwenyeezi Mungu tunamuabudu yeye Mungu sisi na Majini na
Malaika na kila kiumbe hai anamuabudu Mungu kwa njia yake mwenyewe.
Kwa Sisi Waislam neno Majini hatuna
wasiwasi wowote kwa nyie Wakristo neno Majini au Jini ndio kitu kigeni kwenu ninafikiri nimekujibu maswali yako kwa
ufasaha mzuri kabisa asante. Ninafikiri umenipate vizuri hapo.
Kwa uelew wangu mie bafuni kuna sabuni lazima kuteleze
Majini ni viumbe kam bindamu walioumbwa kbal ya binadamu wanaishi kamaMajini mazuri na mabaya kiaje mkuu?
Kwanini yawepo mabaya na mazuri?
Kwetu Wakristo hicho sio kitu kigeni
Tunayajua ila tofauti ni namna tunavyojua
Nyie mnadai yapo mazuri na mabaya
Sisi tunajua yote ni mabaya!