THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mkuu kuandamana ni hiyari ya mtu,hulazimishwi waache wanaotaka kuandamana waende.Hapakuwa na umuhimu wwte wa kufanya maandamano
Hiv CUF ndo chama gani
Civic United Front kiswahili ni Chezea Urojo Fakhiiii! Hiyo Fakhi fanya kama unaivuta hivi huku ukilegeza taya
Cuf bado ina nguvu ila si Tanganyika, nihuko visiwani, CCM yenyewe haina ngome tena, ije kuwa huyo mchumba wake,
Cdm twanga kote kote, M4C mpaka tuingie ikulu
chadema pelekeni m4c kwenye hizi wanazoziita kambi zao!
Mtatiro alisahau kuwa Cuf ilienda arusha ambayo ni kambi ya CDM?
Hapakuwa na umuhimu wwte wa kufanya maandamano
CUF wameona ni upumbavu kufanya maandamano yasio na maana.
CUF na CHADEMA ni vyama viwili vya upinzani nchini vyenye uhai kias chake..
Kuondoka kwa Maalim Seif na Prof lipumba automatically CUF itakufa Natural Death..,
But on the contrary kwa CHADEMA haiko namna hiyo,japo Mbowe na Slaa wamefanya kazi kubwa sana kuisimamisha chadema,lakni kuondoka kwao wao katu kamwe hakuwezi kuifanya CHADEMA ikajifia,,
..
Hii hypothesis uliifanyia majaribio wapi?
Umaarufu wa CHADEMA ulianza kuusikia lini katika medani ya siasa tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992?
CUF wameona ni upumbavu kufanya maandamano yasio na maana.
Nyota ya cdm imeanza kutamba zaid miaka ya 2000 hadi sasa,ya cuf imeanza lini?
na kwa sasa ikoje?
Nyota ya CUF ilianza 1992. Kwa hiyo CHADEMA inajifunza kupitia njia ya CUF bado ni wachanga sana tutawafundisha siasa.