Kuanguka kwa CUF na kuanguka kwa CHADEMA hakurandani

Kuanguka kwa CUF na kuanguka kwa CHADEMA hakurandani

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
16,950
Reaction score
13,527
CUF na CHADEMA ni vyama viwili vya upinzani nchini vyenye uhai kias chake..

Kuondoka kwa Maalim Seif na Prof lipumba automatically CUF itakufa Natural Death..,
But on the contrary kwa CHADEMA haiko namna hiyo,japo Mbowe na Slaa wamefanya kazi kubwa sana kuisimamisha chadema,lakni kuondoka kwao wao katu kamwe hakuwezi kuifanya CHADEMA ikajifia,,

So,Mtatiro kutokubali kwako kujiunga na harakati za CHADEMA za kuwapokea Wabunge wote wa upinzan huku temeke eti kwa kigezo cha kusema ya kwamba ile ni kambi yenu na chadema wanataka kusafiria Nyota yenu ni kukosa ukomavu wa kisiasa na kuthibitisha kweli nyinyi ni CCM b..
 
Hapakuwa na umuhimu wwte wa kufanya maandamano
 
CUF wameona ni upumbavu kufanya maandamano yasio na maana.
 
chadema pelekeni m4c kwenye hizi wanazoziita kambi zao!
Mtatiro alisahau kuwa Cuf ilienda arusha ambayo ni kambi ya CDM?
 
Cuf bado ina nguvu ila si Tanganyika, nihuko visiwani, CCM yenyewe haina ngome tena, ije kuwa huyo mchumba wake,
Cdm twanga kote kote, M4C mpaka tuingie ikulu
 
Cuf bado ina nguvu ila si Tanganyika, nihuko visiwani, CCM yenyewe haina ngome tena, ije kuwa huyo mchumba wake,
Cdm twanga kote kote, M4C mpaka tuingie ikulu

Sawa sawa,,
INASUBIRI KUFA NA KUZIKWA TUH..
 
CUF na CHADEMA ni vyama viwili vya upinzani nchini vyenye uhai kias chake..

Kuondoka kwa Maalim Seif na Prof lipumba automatically CUF itakufa Natural Death..,
But on the contrary kwa CHADEMA haiko namna hiyo,japo Mbowe na Slaa wamefanya kazi kubwa sana kuisimamisha chadema,lakni kuondoka kwao wao katu kamwe hakuwezi kuifanya CHADEMA ikajifia,,
..

Hii hypothesis uliifanyia majaribio wapi?

Umaarufu wa CHADEMA ulianza kuusikia lini katika medani ya siasa tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992?
 
Hii hypothesis uliifanyia majaribio wapi?

Umaarufu wa CHADEMA ulianza kuusikia lini katika medani ya siasa tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992?

Nyota ya cdm imeanza kutamba zaid miaka ya 2000 hadi sasa,ya cuf imeanza lini?
na kwa sasa ikoje?
 
Nyota ya cdm imeanza kutamba zaid miaka ya 2000 hadi sasa,ya cuf imeanza lini?
na kwa sasa ikoje?

Nyota ya CUF ilianza 1992. Kwa hiyo CHADEMA inajifunza kupitia njia ya CUF bado ni wachanga sana tutawafundisha siasa.
 
CUF wana wivu.Wamebakwa na CCM kwa kile kimuungano chao ambacho kimewatia maradhi na sasa wako mahututi.
Chadema andamaneni,ni wakati wenu kung'arisha nyota,kuyazoea mabomu na vitisho vyao kabla ya kuwakabili ipasavyo.
M4C!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom