Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

1 Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2 Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3 Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
4 Ndugu Yussuf R Makamba - Katibu Mkuu
5 Capt(mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6 Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7 Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8 Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9 Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10 Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11 Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12 Dr. Salmin Amour - Mjumbe
13 Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
14 Capt. (mst) John Zefania Chiligati
15 Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
16 Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
17 Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe
18 Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
19 Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
20 Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
21 Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
22 Dr.Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
23 Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
24 Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
25 Dr.Maua Abeid Daftari - Mjumbe
26 Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
27 Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
28 Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
29 Dr.Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
30 Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
31 Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
32 Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
33 Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
34 Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
35 Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
36 Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
37 Ndugu Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe

Nikiangalia hapo juu sita ana wabaya wake kibao
Alafu yeye hatakuwa tena kwenye hiyo kamati , kwa hiyo ile ambition yake ya kuwa Raisi aweke kando maana fitina huwa zinaanza kwenye hii kamati kama si mjumbe is very hard to penetrate

Kumbe hata Sitta alikuwepo kwenye kamati iliyomchakachua!! Kumbe hata yeye alijichakachua mwenyewe!!!
 
Kumbe hata Sitta alikuwepo kwenye kamati iliyomchakachua!! Kumbe hata yeye alijichakachua mwenyewe!!!

Wakati wakiwa wanajadiliwa wote HUTOKA NJE, Kwahiyo hakuwepo wakati wakimjadili
 
HIVI HII KAMATI NI YA WAISLAMU TU?
WAKRISTO WAKO 11 WAFUATAO:-
1.Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
2.Capt(mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
3.Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
4.Ndugu Benjamin William Mkapa - MjumbeNdugu John Samwel Malecela - Mjumbe
5.Capt. (mst) John Zefania Chiligati
6.Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
7.Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
8.Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
9.Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
10.Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
11.Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
KATI YA WAJUMBE 37 WANAJAMII MUNALIONAJE HILI

Kabla ya kutoa conclusion ya huu mjadala ni vyema tukajua ni nani kati ya hao wajumbe waliompigia kura mzee wa viwango 6 ambaye siyo Muislamu, na ni pia nani kati yao walimkataa, na ni kwanini. Na akina nani kati ya hao walimpendekeza Anne Makinda wakati naye sio Muislamu.
 
Nashukuru sana ndugu ulichoongea lakini pia Naomba Mwongozo wa MODS
Je haiwezekani kumburn mtu yeyote anayechangia ishu ya dini katika kila mada kuanzia sasa, maana hii imekuwa too much sasa, mpaka tunafika mahali tunaanza kuogopa kufungua JF. kama watu wanataka kujadili dini wapewe sehemu huko ya kufanya hivyo lakini siyo kila topic ikija hapa lazima tuzungumzie dini zetu, tunaanza kupoteza lulu ya JF

Naomba sana mods waangalie hili linataka kutupeleka pabaya. inaniumiza sana kwa kweli tunaacha kujadili issues tunajadili dini! hao mafisadi wote wanatoka dini mchanganyiko so let us attack them na si huu ujinga mwingine (MODS I am so hurt)

Pole, punguza maumivu ya moyo mkuu,

JF inayo section ya kujadili haya mambo ya dini na sioni dhambi hata kidogo watu kujadili mambo ya dini. Kumbuka, kuna baadhi ya makundi ya watu haswa, viongozi (Mfano vitisho vya Mkwere) ambao wanafanya sivyo na kujificha nyuma ya hili chaka la udini kwa kutambua kwamba watanzania walio wengi huwa wanaogopa kujadili mambo ya udini.
 
Nashukuru sana ndugu ulichoongea lakini pia Naomba Mwongozo wa MODS
Je haiwezekani kumburn mtu yeyote anayechangia ishu ya dini katika kila mada kuanzia sasa, maana hii imekuwa too much sasa, mpaka tunafika mahali tunaanza kuogopa kufungua JF. kama watu wanataka kujadili dini wapewe sehemu huko ya kufanya hivyo lakini siyo kila topic ikija hapa lazima tuzungumzie dini zetu, tunaanza kupoteza lulu ya JF

Naomba sana mods waangalie hili linataka kutupeleka pabaya. inaniumiza sana kwa kweli tunaacha kujadili issues tunajadili dini! hao mafisadi wote wanatoka dini mchanganyiko so let us attack them na si huu ujinga mwingine (MODS I am so hurt)

Nchi yoyote inakuwa determined na rais aliye madarakani, huyo ndo aliyepewa power ya kufanya maamuzi ya mwisho. Mnapokuwa na rais bogasi ka JK lazima mwanguke. Nadhani mmesahau Mwinyi alivyokuwa kilaza pia na nchi ilikwenda wapi! Hivyo watu wanalalamikia dini sababu waislamu frnkly speaking ni wazembe na kila wanapopata urais nchi inayumba, tunamifano, ya mwinyi na sasa kikwete. Lazima hilo mkubaliane nalo.
Ukifuatilia karibu nchi za kiislamu zinaoendelea ni zile ambazo wameamua kwa asilimia kubwa kuachana na uislam wa ndani (extremism).

Habari ndo hiyo, JK ni mchovu kama alivyokuwa ndugu yake mzee wa ruksa.
 
WanaJF yatupasa tulitazame suala la Sitta kutoswa u-spika kwa jicho jingine!
1. Hakuwa na msimamo na hoja za kifisadi zilizojadiliwa na Bunge lililopita. Wote tuliona jinsi mijadala wa Richmond ulivyomalizika kimizengwe pasipo ufumbuzi muafaka wa uwajibishwaji wa watu waliohusika mojakwamoja na kashfa hii zaidi ya Edward Lowassa, msabaha na Karamagi kuachia ngazi ya nyazifa walizokuwa wamekalia majumuisho ya kufunga maada hii yalifunikwa kimizengwe.
2. maada kama meremeta na kiwira Sitta alizipiga vita zicjadiliwe bungeni ilhali zilinuka rushwa na ufisadi ndani yake.
3. Tatizo lake alitii amri ya mafisadi na wanamtandao wa chama kunyamazisha hoja nzito zilizohitaji ufumbuzi wa kina ndani ya Bunge lililopita, alisahau kuwa dawa ya moto ni moto hivyo asingekuwa upande wa mafisadi hata walipomtishia kumnyang'anya kadi ya chama angeruhusu kama kweli ni mpigania maendeleo ya Nchi hii, instead wakamhadaa kwa kumjengea ofisi jimboni kwake ikiwa kama trick ya kumhakikishia kwamba atakuwa Spika wa milele kumbe danganya toto! Mafisadi wa ccm ni spin masters they know how to let someone be mislead! Hii inadhihirisha kiasi gani sitta was(is) 'a small cog in a large mashine' wamemweka kando wanamcheka na kumdharau huku wakigonga glasi za wisky wakisherehekea ushindi wa kumwangusha! Kama kweli Sitta yupo dicent na mpigania maendeleo ya Nchi hii mi namwambia kuwa he should get back to his roots that he had shown early 2005 hapo ataingia kwenye kitabu cha kumbukumbu ya Taifa hili na ikiwezekana aachane na siasa sasa hivi.

Naomba kuwasilisha.
 
Huyu m2 hakuwa wa moto wala baridi achana nae analipia madhambi yake
 
maana yangu nikuwa angeendelea kusimamia swala la ufisadi bila kuacha meremeta na richmond kutokua na muafaka........kama ulinoti baada ya vikao vyakutaka kumvua uanachama alipoa
 
Nionavyo mimi spika sita speed yake na viwango vingebaki palepale hata walipotishia kitumbua chake kwani ingeleta maana zaidi miaka mitano ya mabadilko kuliko miaka mingi uovu ukifichwa, huko watanzania wakibaki gizani pasipo kuufahamu ukweli.Martin Luther Jr na Patrice Lumumba twawasoma leo ingawa wameishi duniani kwa muda mfupi.Hata hivyo tunadhamini ulipotufikisha tuombe Mungu atake chukua kijiti aongeze standard na speed.MSIMAMO UNAMAANA MAISHANI HASA PALE UNALOLISIMAMIA LIKIWA NA UKWELI

Sita alisahau kuwa yuko kwenye siasa na kujiona kuwa kaajiriwa na CCM (Tena permanent and pensionable). Alisahau kuwa kwenye siasa unaangalia kama njia yako ni nyeupe unaendelea bila kujali unamdhuru nani. Alikubali kutumika kwa wanamtandao kwa kutoa kafara nafasi yake. Walitumia kisawasawa akakubali kula matapishi yake. Alisahau kuwa ukimtumikia mwanasiasa ujue kuwa unatumika tu kama toilet paper. Akishajisafisha au akishajifuta anakutumbukiza kwenye tundu la choo bila hata kukuangalia.

Mara zote ukitishia amani ya mwanasiasa atakubembeleza na ukimkubalia akikupatia nafasi anakumaliza. Mwenzake mpendazoe aliliona hilo akawahi kutimua. Mwenzie Mwakyembe na Sendeka walishajua nguvu walokuwa nayo kwa wananchi wao na kwa sababu hawakuwa na vyeo vingine hawakuwa na cha kupoteza. Shelukindo naye kitendo cha kukubali kula mataapishi yake nacho kimemgharimu.

Pole Mheshimiwa Sita. Kwa sasa utakaa benchi na 2015 umri wako unaweza usikuruhusu kuukwa tena uongozi kwa nchi hii. Sikuombei mabaya ila shock utakayokuwa nayo kwa hii miaka 5 pamoja na umri inaweza ikakusababisha ukapata BP, kupoteza sanity, pakinsonian etc.

Hili liwe fundisho kwa yeyote atakayekuwa anaingia kwenye fani ya siasa hasa unapokuwa unachaguliwa.
 
Nchi yoyote inakuwa determined na rais aliye madarakani, huyo ndo aliyepewa power ya kufanya maamuzi ya mwisho. Mnapokuwa na rais bogasi ka JK lazima mwanguke. Nadhani mmesahau Mwinyi alivyokuwa kilaza pia na nchi ilikwenda wapi! Hivyo watu wanalalamikia dini sababu waislamu frnkly speaking ni wazembe na kila wanapopata urais nchi inayumba, tunamifano, ya mwinyi na sasa kikwete. Lazima hilo mkubaliane nalo.
Ukifuatilia karibu nchi za kiislamu zinaoendelea ni zile ambazo wameamua kwa asilimia kubwa kuachana na uislam wa ndani (extremism).

Habari ndo hiyo, JK ni mchovu kama alivyokuwa ndugu yake mzee wa ruksa.

Huu uchambuzi umetukuka na ni mfano wa kuigwa!
 
@ Ntemi kazwile: asilimia ya wakristo tanzania ni less than 40% na waislam ni more than 60% according to census. Sasa kama ktk hiyo kamati ya ccm wametumia kigezo cha udini itakua wakristo wamependelewa maana ilibidi wapate chini ya 40%. Hata hivyo si dhani kama ccm waliangalia vigezo vya udini ktk hiyo kamati.

JF siyo forum ya domodomo...leta source! Nijuavyo mimi ni mwiko kuuliza swali la dini ya mtu wakati wa sensa (Census)! Sasa wewe hiyo data umepata wapi?????????
 
Wabunge wote wa cuf waliomo kwenye bunge la muungano wameagizwa kuwa ni lazima waiunge mkono spika wa ccm, ana makinda, maagizo hayo yametolewa usiku huu mjini dodoma, na tayari wabunge wa cuf wamesharifiwa.

Kwa hiyo wabunge wa chadema peke yao ndo watampigia mabere marando

maagizo haya ya serikali kwa cuf ni mwendelezo wa serikali ya mseto ya hivi karibuni huko zanzibar
 
Umekunywa ulevi gani leo? Mbege au mnazi? Mada uwezo wa kununua bia huna.
 
Wabunge wote wa cuf waliomo kwenye bunge la muungano wameagizwa kuwa ni lazima waiunge mkono spika wa ccm, ana makinda, maagizo hayo yametolewa usiku huu mjini dodoma, na tayari wabunge wa cuf wamesharifiwa.

Kwa hiyo wabunge wa chadema peke yao ndo watampigia mabere marando

maagizo haya ya serikali kwa cuf ni mwendelezo wa serikali ya mseto ya hivi karibuni huko zanzibar

wewe jamaa acha uongo CUF wameuonga mkono chadema kwenye uspika ila kwenye kambi ya upinzani tu ndio hawajaunga mkono-VOASWAHILI NEWS
 
Wabunge wote wa cuf waliomo kwenye bunge la muungano wameagizwa kuwa ni lazima waiunge mkono spika wa ccm, ana makinda, maagizo hayo yametolewa usiku huu mjini dodoma, na tayari wabunge wa cuf wamesharifiwa.

Kwa hiyo wabunge wa chadema peke yao ndo watampigia mabere marando

maagizo haya ya serikali kwa cuf ni mwendelezo wa serikali ya mseto ya hivi karibuni huko zanzibar

Sawa tu. Wataendelea kuchakachuliwa. Wameibiwa kura wakapewa nafasi ya umakamu wa rais huko Zanzibar wakachekelea na kushukuru sana
 
Back
Top Bottom