Kuanzia Januari 2027 Waafirka kuingia Congo-Brazzaville bila Visa

Kuanzia Januari 2027 Waafirka kuingia Congo-Brazzaville bila Visa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais Denis Sassou Nguesso amesema kuwa uamuzi huo wa kufuta hitaji la visa kwa nchi yake utaanza rasmi 2027, ikiwa ni sehemu ya msisitizo na dhamira yake ya dhati kuelekea misingi ya Uafrika kwanza (Pan-Africanism).

“Kuanzia tarehe 1 Januari 2027, kuingia Jamhuri ya Kongo Brazzaville hakutahitaji tena visa kwa raia wa nchi za Afrika,” alisema Rais Nguesso wakati wa maadhimisho ya Siku ya Afrika ya 63 yaliyofanyika Mei 25, 2026 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Brazzaville.

Nguesso alisisitiza umuhimu wa kuharakisha uhuru wa watu na bidhaa kutembea kwa urahisi barani Afrika, ili kuimarisha mtangamano wa kikanda na kukuza matumizi ya pasipoti moja ya Kiafrika.

1779779977457.png
 
Back
Top Bottom