Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani.

Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla.

Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa ambayo inadaiwa aliyatenda akiwa madarakani.

Tuhuma nzito kuliko zote ni yeye [Rais Magufuli] kumuua Ben Saanane ikulu ya Dar es Salaam na yeye kutaka kumbaka makamu wake, ambaye ndo Rais wa sasa.

Hivi inawezekanaje tuhuma nzito kama hizo zipite tu kama upepo unaoambatana na mvua halafu mvua ikikatika, na upepo huo unaisha?

Jawabu pekee ninalolipata ni kwamba sisi hatuko serious na jambo lolote lile, hata liwe kubwa au liwe la maana kwa kiasi gani!

Si vyombo vya habari [mainstream media] si serikali, hakuna aliyezifuatiliq tuhuma hizo ili kujua lipi ni lipi.

Sasa hivi suala zima la hicho kitabu limeshakuwa maji chini ya daraja.

Hakuna tena anayejali kuujua ukweli. Hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa naye yuko kimya tu.

Ila ikija kwenye suala la CHADEMA na shughuli zao, analihutubia taifa!

Navuta taswira hapa kama ingekuwa ndo Joe Biden katuhumiwa kutaka kumbaka Kamala Harris.

Hakuna chombo cha habari cha Marekani ambacho kisingefanya uchunguzi wa madai hayo.

Utovu wetu wa kutokuwa serious na chochote kile ndo umepelekea hadi hivi sasa kutokuwa na katiba mpya wala tume huru [ya kweli] ya uchaguzi.

Alisemaga Mzee FMES [maarufu kwa wengine kama Le Mutuz] kuwa viongozi wetu wanaakisi tu aina ya jinsi ambavyo wananchi walivyo.

Alikuwa sahihi kwa 💯%.
 
Sasa, jitu lenyewe linatembea limerembua macho, kwa nini lisibakwe,
Kwa, ufupi nchi inaongozwa, na vibaka, watu wajinga, akili ndogo,
Sasa hv nafikiri nchi IPO wazi, kila Kona,
 
Project chafuzi ya kitabu cha kutakatishia fedha chafu imekufa kifo cha mende
 
No one has ever been serious by speaking from the emotional part of their brain instead of logic.

You, yourself are one of them. You're ready to start World War 3 to defend Magufuli just because he is your tribemate. Even this thread is all about defending him, not about what happened during his leadership.

And that is what everyone does—judging things based on what's on their side. BAKWATA defends Samia just because she is Muslim, regardless of any valid accusations.

So in a nutshell, it’s all about my religion, my tribe, my region, my party and the list goes on.

I’m out.
 
20240824_194935.jpg
Kama viongozi wetu tu hawapo serious Mimi ni nani niwe serious!!!
 
Wewe nae zutwa ety ???

Tuache pisi zakina mengero , zakina nani nani hapa bongo poooote uende ukaforce kipindi kwa bibi wa myaka sixty something. ???

We nae unashida wewe...
Rais anaweza agiza pisi za kinyarwanda, sudani, Emirates huko na za kibongo hapa hapa. Analetewa pisi nyoofu Safi ....
Mbunye imepimwa na ni salama hata kwa kinywa... Af uanze kusema mze aliforce kipindi kwa bibi ???

Acha kuwa unadanganyika na ma psychopass .

Alaf Ben saa nane auliwie ikulu. Guyz ivi nguvu ya rais unaijua wewe ???
Yani hapo ulipo anauwezo wa kukuzima hapo hapo ulipo bila kukupeleka nje ya mtaa wako. Na pasiwepo wa kuja kujua ulienda wapi mpaka hii Dunia tufufuliwe ndo useme: walikufanya Nini wakakuweka wapi.

Logic ya kitabu kile ni ndogo Sana hata watu wa Chadema wameigomea .

We Rudi kasome historia namna watu hupotezwa acha uvivu.
Kile kitabu ni upuuzi upuuzi wa kufikiria hapa na pale tu.

(Hatusemi Magu alikuwa matakatifu Ila acha kuamini ma psychopass mjomba)
 
No one has ever been serious by speaking from the emotional part of their brain instead of logic.

You, yourself are one of them. You're ready to start World War 3 to defend Magufuli just because he is your tribemate. Even this thread is all about defending him, not about what happened during his leadership.

And that is what everyone does—judging things based on what's on their side. BAKWATA defends Samia just because she is Muslim, regardless of any valid accusations.

So in a nutshell, it’s all about my religion, my tribe, my region, my party and the list goes on.

I’m out.

Chat
Hata kama sijui kiingereza Kuna kitu kinaniambia kuwa Kuna ujumbe mzito hapa.
 
Back
Top Bottom