Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa!

Mkuu sio kama hawapo na unajua kama wapo

Kama mimi na wewe na yule hatutakomaa kwa umoja wetu kama tuumie tuumie wote kama kufa tufe wote kwaajili ya mabadiliko ya “makaburu” waliopo madarakani basi hakuna mwandishi ataandika tutakavyo kwa kuogopa “makaburu” waliopo madarakani na katiba yao mbovu
Hawana elimu ya kutosha, pamoja na woga/kuogopa.
 
Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani.

Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla.

Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa ambayo inadaiwa aliyatenda akiwa madarakani.

Tuhuma nzito kuliko zote ni yeye [Rais Magufuli] kumuua Ben Saanane ikulu ya Dar es Salaam na yeye kutaka kumbaka makamu wake, ambaye ndo Rais wa sasa.

Hivi inawezekanaje tuhuma nzito kama hizo zipite tu kama upepo unaoambatana na mvua halafu mvua ikikatika, na upepo huo unaisha?

Jawabu pekee ninalolipata ni kwamba sisi hatuko serious na jambo lolote lile, hata liwe kubwa au liwe la maana kwa kiasi gani!

Si vyombo vya habari [mainstream media] si serikali, hakuna aliyezifuatiliq tuhuma hizo ili kujua lipi ni lipi.

Sasa hivi suala zima la hicho kitabu limeshakuwa maji chini ya daraja.

Hakuna tena anayejali kuujua ukweli. Hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa naye yuko kimya tu.

Ila ikija kwenye suala la CHADEMA na shughuli zao, analihutubia taifa!

Navuta taswira hapa kama ingekuwa ndo Joe Biden katuhumiwa kutaka kumbaka Kamala Harris.

Hakuna chombo cha habari cha Marekani ambacho kisingefanya uchunguzi wa madai hayo.

Utovu wetu wa kutokuwa serious na chochote kile ndo umepelekea hadi hivi sasa kutokuwa na katiba mpya wala tume huru [ya kweli] ya uchaguzi.

Alisemaga Mzee FMES [maarufu kwa wengine kama Le Mutuz] kuwa viongozi wetu wanaakisi tu aina ya jinsi ambavyo wananchi walivyo.

Alikuwa sahihi kwa 💯%.
Mkuu Ngosha umesema iliyokweli tupu.
Naungana nawe.
 
Nakiomba hicho kitabu nikisome kwa kina
 
Alikuwa sahihi kwa
Samaki huoza kuanzia kichwani,matatizo ya Tanzania yameanzia huko utosini,ndiyo maana rasilimali zetu zinagawiwa kwa wageni na anayefanya hivyo anavuna sifa. Huku Kanda ya Ziwa inaaminika yeye na Msoga One ndiyo walifanya finishing ile March 12.
 
Nitakuwa serious kwa vitu ambavyo vinagusa masilahi yangu tuu👌👌👌
 
Back
Top Bottom