Sielewi jambo la mashtaka unalitoa wapi! Youโre way off base.Hujazungumza namaanisha kwa mfano sasa uende ukafungeue shtaka la kuua au la kutaka kumla makamuwake hakuna pa kuanzia maana mlalamikiwa hayupo
๐๐๐๐๐Eeehh ๐น๐น๐น
Weeh kumbe Ngoshaa babe wako?
Mi nasemea yule haszu aliyeka uzi wake akasema hb ukanitag bhana..!!
๐น๐น๐น๐๐๐๐๐
Afu ujue nimechanganya madesa, kuna kitu nafanya hapa, bas nayatindinganyaa, ngoja NN anifurusheee..
Vidampaa wa JF wote wako kichwani ๐ฅ๐ฅ.
Wa insta ndo vizibo na visoda tyuuh.
Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani.
Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla.
Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa ambayo inadaiwa aliyatenda akiwa madarakani.
Tuhuma nzito kuliko zote ni yeye [Rais Magufuli] kumuua Ben Saanane ikulu ya Dar es Salaam na yeye kutaka kumbaka makamu wake, ambaye ndo Rais wa sasa.
Hivi inawezekanaje tuhuma nzito kama hizo zipite tu kama upepo unaoambatana na mvua halafu mvua ikikatika, na upepo huo unaisha?
Jawabu pekee ninalolipata ni kwamba sisi hatuko serious na jambo lolote lile, hata liwe kubwa au liwe la maana kwa kiasi gani!
Si vyombo vya habari [mainstream media] si serikali, hakuna aliyezifuatiliq tuhuma hizo ili kujua lipi ni lipi.
Sasa hivi suala zima la hicho kitabu limeshakuwa maji chini ya daraja.
Hakuna tena anayejali kuujua ukweli. Hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa naye yuko kimya tu.
Ila ikija kwenye suala la CHADEMA na shughuli zao, analihutubia taifa!
Navuta taswira hapa kama ingekuwa ndo Joe Biden katuhumiwa kutaka kumbaka Kamala Harris.
Hakuna chombo cha habari cha Marekani ambacho kisingefanya uchunguzi wa madai hayo.
Utovu wetu wa kutokuwa serious na chochote kile ndo umepelekea hadi hivi sasa kutokuwa na katiba mpya wala tume huru [ya kweli] ya uchaguzi.
Alisemaga Mzee FMES [maarufu kwa wengine kama Le Mutuz] kuwa viongozi wetu wanaakisi tu aina ya jinsi ambavyo wananchi walivyo.
Alikuwa sahihi kwa ๐ฏ%.
ukute mwenyewe ndo alijilengesha ili abakwe?!!๐ฟRais anatuhumiwa kubakwa halafu anakaa kimya tu, hasemi chochote!
Only in a banana republic.
๐๐๐๐๐ uduguu nimechekaa sanaa.๐น๐น๐น
Watu mna siri dah ๐คฃ
Uwe unatutambulisha shemeji mapema, unaona sasa umeleta njegeka..!!
Kwa mfano unataka kushitaki mahakamani utaanzia wopi?Sielewi jambo la mashtaka unalitoa wapi! Youโre way off base.
Kwa nini unesma hivyo ๐ค๐น๐น๐น Wewe umechoka ugali wa uraiani..!!
Kutuhumiwa kubakwa.. Wanasheria hii imekaajeRais anatuhumiwa kubakwa halafu anakaa kimya tu, hasemi chochote!
Only in a banana republic.
Sijui.Kwa mfano unataka kushitaki mahakamani utaanzia wopi?
Mkuu inawezakana upo sahihi lakini binafsi sijawahi kuona jeneza linasomewa mashitaka kizimbani.Sasa hivi Marekani tayari kuna vitabu viwili ambavyo vimeshaandikwa kuhusu urais wa Joe Biden na vile ambavyo watu wake wa karibu walivyokuwa wanauficha umma kuhusu uwezo wake wa kuiongoza nchi akiwa na hali ya uzee.
Waandishi wa hivyo vitabu wamezunguka kwenye karibu vyombo vyote vikubwa vya habari kuzungumzia vitabu vyao.
Huku kwetu huyo Kabendera kahojiwa na mtu mmoja kwenye YouTube asiye na subscribers hata 30,000.
Vyombo vyote vikubwa vya habari nchini hata havikuripoti kuhusu hicho kitabu.
Hatuko serious kwa lolote sisi. Na ndo maana kila kukicha Samia anagawa hela kwenye vilabu vya mpira.
๐น๐น๐น Kwahiyo hao wote wako kwenye mchuano wanakugombania??๐๐๐๐๐ uduguu nimechekaa sanaa.
Hivi ujue napiganisha JF, atakae kuwa mshindi naondoka nae.
๐๐๐๐๐๐
Kwani wewe umetype nini? Na hapa zinaongelewa habari ya nini??Kwa nini unesma hivyo ๐ค
Jibu ni elimu. Katika kosa kubwa alilofanya mwl Nyerere ni kubadilisha mfumo wa elimu waliyoacha wakoloni na kuanzisha mfumo wa elimu ambayo inafanya watu wasifikiri mambo kwa kina. Na mbaya zaidi kiingereza kikadharauliwa na kiswahili kupewa kipaumbele. Hili lilifanya Tanzania iwe kama kisiwa kielimu. Kama unafuatilia mijadala ya bunge la Kenya au mahojiano ya media utakuwa umegundua kuwa uelewa wa wakenya uko juu kuliko sisi. Na hapa sisemi kiingereza tu, bali na quality ya maongezi. Mtanzania kila kitu ni kukariri na kuna maneno ambayo anajiona kama hajatoa hoja asipoyasema i.e. ''kusema ukweli, mimi kama mimi.........'' Elimu imeondoa uwezo wa watu kusoma vitabu na kuelewa mambo yanayoendelea nchi nyingine na pia jinsi ya kukabiliana na changamoto. Mtu, tena msomi akiambiwa ''katiba italeta chakula mezani.... '' ananywea. Kwa kifupi elimu imetufanya tu develop culture za ajabu kweli kweli.๐คฃ
๐ฏ%.
Niliona tu habari za kubakana nikasema ngoja nami niseme chochote kitu.Kwani wewe umetype nini? Na hapa zinaongelewa habari ya nini??
Lakini huoni watoto Wanameza mavitu kibao,huenda mtoto anataka kuwa kama Tiger wood apelekwe huko kwenye golf akionekana hayuko vivuri afundishwe kwenye haya mavitu mob,e.g Finance, Doctorate n.k.Hii sio sahii, mtoto kamwe hawezi kujua Nini anataka na Nini kinafaa,Leo atamuona diamond atatamani kua mwanamziki,kesho atamuona Askari atatamani kua police,tho hii hoja nyingine tusije haribu mjadala
Mjinga wao kwenye ubora wake.Project chafuzi ya kitabu cha kutakatishia fedha chafu imekufa kifo cha mende
Mkuu Tanzania haina waandishi wa habari. Hivi huyu Ayo ni mwandishi? Na wengi wako kama yeye. Eti Chief Odemba ndiyo kiboko wa mahojiano! Watu kama hawa ndiyo wa kuchunguza mambo?Unadhani Kuna muandishi anaeza kuchunguza hilo ? au hata kuumuliza Mh Rais km aliwahi kupata kadhia Hy Kwa mujibu wa hicho kitabu ? Labda waandishi wa huko uliko Mkuu