BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Failed state
Aisee!No one has ever been serious by speaking from the emotional part of their brain instead of logic.
You, yourself are one of them. You're ready to start World War 3 to defend Magufuli just because he is your tribemate. Even this thread is all about defending him, not about what happened during his leadership.
And that is what everyone does—judging things based on what's on their side. BAKWATA defends Samia just because she is Muslim, regardless of any valid accusations.
So in a nutshell, it’s all about my religion, my tribe, my region, my party and the list goes on.
I’m out.
Naunga mkono hoja, silence is the admission of guilt, hii maana yake ni kweli , nilitegemea Msemaji Mkuu wa Serikali, angemtetea marehemu kuwa huo ni uongo na uzushi, kisha waseme it doesn't make sense amuulie ikulu halafu aka dispose the body sijui wapi wakati wana sewer chambers ina mwaga katikati ya bahari , papa waji feastie!. Mbakwaji alipaswa akanushe, dada wa taifa alipoitoa kama breaking news walimcheki, this means it's true!.Alisemaga Mzee FMES [maarufu kwa wengine kama Le Mutuz] kuwa viongozi wetu wanaakisi tu aina ya jinsi ambavyo wananchi walivyo.
Alikuwa sahihi kwa 💯%.
Shida mtuhumiwa hayupo tena hata ukienda kushtaki unamshtaki nani.Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani.
Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla.
Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa ambayo inadaiwa aliyatenda akiwa madarakani.
Tuhuma nzito kuliko zote ni yeye [Rais Magufuli] kumuua Ben Saanane ikulu ya Dar es Salaam na yeye kutaka kumbaka makamu wake, ambaye ndo Rais wa sasa.
Hivi inawezekanaje tuhuma nzito kama hizo zipite tu kama upepo unaoambatana na mvua halafu mvua ikikatika, na upepo huo unaisha?
Jawabu pekee ninalolipata ni kwamba sisi hatuko serious na jambo lolote lile, hata liwe kubwa au liwe la maana kwa kiasi gani!
Si vyombo vya habari [mainstream media] si serikali, hakuna aliyezifuatiliq tuhuma hizo ili kujua lipi ni lipi.
Sasa hivi suala zima la hicho kitabu limeshakuwa maji chini ya daraja.
Hakuna tena anayejali kuujua ukweli. Hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa naye yuko kimya tu.
Ila ikija kwenye suala la CHADEMA na shughuli zao, analihutubia taifa!
Navuta taswira hapa kama ingekuwa ndo Joe Biden katuhumiwa kutaka kumbaka Kamala Harris.
Hakuna chombo cha habari cha Marekani ambacho kisingefanya uchunguzi wa madai hayo.
Utovu wetu wa kutokuwa serious na chochote kile ndo umepelekea hadi hivi sasa kutokuwa na katiba mpya wala tume huru [ya kweli] ya uchaguzi.
Alisemaga Mzee FMES [maarufu kwa wengine kama Le Mutuz] kuwa viongozi wetu wanaakisi tu aina ya jinsi ambavyo wananchi walivyo.
Alikuwa sahihi kwa 💯%.
Wapi nimezungumzia mashtaka?Shida mtuhumiwa hayupo tena hata ukienda kushtaki unamshtaki nani.
😹😹😹 Wewe umechoka ugali wa uraiani..!!
Na ndio zinatupa rahaaaaaHizo ndio wanaweza
Unataka research gani, hata hapa JF hesabia tu wanaoandika utumbo, hasa CCM, kama Kipara Kipyaa, Tlaatlaa, Lucas etc etc------ hao ndiyo wanawakilisha watawalaTupe utafiti uliofanya unao-prove kuwa Watanzania wote hatupo serious.Kama huna nyamaza mkuu,unaonekana mjinga.No research no right to speak.
Hujazungumza namaanisha kwa mfano sasa uende ukafungeue shtaka la kuua au la kutaka kumla makamuwake hakuna pa kuanzia maana mlalamikiwa hayupoWapi nimezungumzia mashtaka?
Uwaambie Simba na Yanga watashupaza shingo mpk ngumi ila sio vitu vya msingi..!!Hili ni taifa mfu,Taifa ambalo sawa na Maiti zisizo kuwa nauwezo wa jambo lolote kuhoji wala kutenda.
Mhmm.!! Jonijo kwahiyo hakwenda na pajama kwa vaisi wake?Nilikuwa nikikitetea kile kitabu kichwa kichwa tu, lakini ukifuatilia kuna mambo mengi hayapo sawa.
mfano tarehe ya kufariki kwa sokoine 12/04/1984 jamaa kaandika 12/04/1983.Mhmm.!! Jonijo kwahiyo hakwenda na pajama kwa vaisi wake?
Ila Jonijo wazimu wake ukimpanda hashindwi ujue..😹
Itakuwa waliochapa kitabu wamekosea, ila kwa Jonijo hashindwi bhana wweehh…!! 😹mfano tarehe ya kufariki kwa sokoine 12/04/1984 jamaa kaandika 12/04/1983.