Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Nah….ni zaidi ya hivyo aisee.Haya ni matokeo ya wizi wa kura kuanzia 2010
Duh c tulikubaliana wizi wa kura ulianza 2020 au utaratibu umebadilika?Haya ni matokeo ya wizi wa kura kuanzia 2010
Hakuna uwajibikaji kwa sababu hakuna motive behind ya kumfanya mtu awajibike
Rais anatuhumiwa kubakwa halafu anakaa kimya tu, hasemi chochote!Mnaumia sana kuona habari za uongo hazijapenya akilini mwa watu, hata wanaochukia JPM nao wapo kimya 😂
Anyway, wabongo tupo serious kwenye ishu za mapenzi, simba na Yanga tuu.
🤣Watanzania wao ni watu wa kushuru Mungu na kuachia kila kitu Mungu
Hizo ndio wanawezaMnaumia sana kuona habari za uongo hazijapenya akilini mwa watu, hata wanaochukia JPM nao wapo kimya 😂
Anyway, wabongo tupo serious kwenye ishu za mapenzi, simba na Yanga tuu.
Sasa, jitu lenyewe linatembea limerembua macho, kwa nini lisibakwe,Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani.
Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla.
Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa ambayo inadaiwa aliyatenda akiwa madarakani.
Tuhuma nzito kuliko zote ni yeye [Rais Magufuli] kumuua Ben Saanane ikulu ya Dar es Salaam na yeye kutaka kumbaka makamu wake, ambaye ndo Rais wa sasa.
Hivi inawezekanaje tuhuma nzito kama hizo zipite tu kama upepo unaoambatana na mvua halafu mvua ikikatika, na upepo huo unaisha?
Jawabu pekee ninalolipata ni kwamba sisi hatuko serious na jambo lolote lile, hata liwe kubwa au liwe la maana kwa kiasi gani!
Si vyombo vya habari [mainstream media] si serikali, hakuna aliyezifuatiliq tuhuma hizo ili kujua lipi ni lipi.
Sasa hivi suala zima la hicho kitabu limeshakuwa maji chini ya daraja.
Hakuna tena anayejali kuujua ukweli. Hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa naye yuko kimya tu.
Ila ikija kwenye suala la CHADEMA na shughuli zao, analihutubia taifa!
Navuta taswira hapa kama ingekuwa ndo Joe Biden katuhumiwa kutaka kumbaka Kamala Harris.
Hakuna chombo cha habari cha Marekani ambacho kisingefanya uchunguzi wa madai hayo.
Utovu wetu wa kutokuwa serious na chochote kile ndo umepelekea hadi hivi sasa kutokuwa na katiba mpya wala tume huru [ya kweli] ya uchaguzi.
Alisemaga Mzee FMES [maarufu kwa wengine kama Le Mutuz] kuwa viongozi wetu wanaakisi tu aina ya jinsi ambavyo wananchi walivyo.
Alikuwa sahihi kwa 💯%.
Unadhani Kuna muandishi anaeza kuchunguza hilo ? au hata kuumuliza Mh Rais km aliwahi kupata kadhia Hy Kwa mujibu wa hicho kitabu ? Labda waandishi wa huko uliko MkuuRais anatuhumiwa kubakwa halafu anakaa kimya tu, hasemi chochote!
Only in a banana republic.
Sasa huoni kuwa kimya ndo amesababisha huo upuuzi usizungumzwe mana akiongea chcht hata kukanusha lazima nyie wenye chuki na JPM mpate pointRais anatuhumiwa kubakwa halafu anakaa kimya tu, hasemi chochote!
Only in a banana republic.
Kubakwa sometimes ni raha yaani unabakwa na unaridhishwa.Rais anatuhumiwa kubakwa halafu anakaa kimya tu, hasemi chochote!
Only in a banana republic.
Hata kama sijui kiingereza Kuna kitu kinaniambia kuwa Kuna ujumbe mzito hapa.No one has ever been serious by speaking from the emotional part of their brain instead of logic.
You, yourself are one of them. You're ready to start World War 3 to defend Magufuli just because he is your tribemate. Even this thread is all about defending him, not about what happened during his leadership.
And that is what everyone does—judging things based on what's on their side. BAKWATA defends Samia just because she is Muslim, regardless of any valid accusations.
So in a nutshell, it’s all about my religion, my tribe, my region, my party and the list goes on.
I’m out.
Chat
View attachment 3319203Kama viongozi wetu tu hawapo serious Mimi ni nani niwe serious!!!