Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Kuanzia kazi kijijini kunaweza kuwa nafasi bingo ya maisha, vijana wengi hawapendi kuanzia kazi vijinini. Hii ni kutokana na miundo mbinu kuwa mibovu zaidi huko vijijini
Fikiria unaanza kazi kama tabibu, nesi, mwalimu, bwana kilimo kijijini. Unakuta kuna nyumba yenye maji na umeme, japo utakatwa katika mshahara pesa ya pango kwakua nyumba ni ya serikali lakini itakupunguzia upungufu.
Ukishazoea mazingira ni rahisi kupata ardhi na kuanza kilimo huku ukiwa mfanyakazi wa serikali. Kilimo kikileta ziada ya mapato unaweza kuanza ujenzi wa nyumba. Ikitokea unahamishwa nyumba unauza au kuipangisha.
Tatizo la kuanza maisha kijijini na unakuta kijiji chote kina nyumba za nyasi na matope. Haya ndiyo matatizo yanayowakayisha tamaa vijana kuanzia ajira vijijini.
Mwisho wa mwezi kuufuata mshahara unasafiri siku nzima tena kwa malori ya mkaa.