Sasa si uende.Natamani Sana niende vijiji vya mikoa ya kusini, Kuna jamaa yangu kule anasema kipindi Cha ufuta na korosho ananunua mzigo wa kutosha toka kwa wakulima then anapeleka gulioni,anapiga pesa yake vzr sana
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Huna gharama za nauliUMENENA VEMA SANA MKUU, UKICHANGANYA KA MSHAHARA NA KILIMO CHA KISASA KIDOGO LAZIMA UTOBOE MKUU KULIKO YULE ALIE MJINI ALIELEMEWA NA MZIGO WA BILLS NA ANASA
Kulima, Kununua Nyumba na Viwanja siyo shida.
Shida ni unanunua wapi ?
Utalima sawa, then UTAUZA WAPI MAZAO YAKO ?
Kijijini Kwetu Kindoo Cha Lita 10 Kimejaa Mahindi Kinauzwa Tsh 3,000. Tena Ndoo Zenyewe Sometimes Zimepakiwa Mchanga Wa Moto Zimepanuka Balaa.
Vijijini Viwanja Plus Nyumba mtu anaweza kujenga kwa Tsh Chini Ya 3M na possibility ya kutopanda thamani ni kubwa.
Sana sana ukiwa kijini unadumaa akili maana utajiona wewe ndio Don na changamoto ni chache
Nimesema kwa mfano huduma hizo zingekuwepoEmbu tuo mfano wa vijiji vyenye nyumba maji na umeme kama si unaadika kma huijui Tanzania vizur , watu wanapangwa vijiji vya kusini mwa Tanzania yetu hii huduma za kijamii ni mbovu had wengine wanakufa kwa malaria kisa kukosa huduma kwa wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado wanaichagua CCMEmbu tuo mfano wa vijiji vyenye nyumba maji na umeme kama si unaadika kma huijui Tanzania vizur , watu wanapangwa vijiji vya kusini mwa Tanzania yetu hii huduma za kijamii ni mbovu had wengine wanakufa kwa malaria kisa kukosa huduma kwa wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wachague chama gani? Chadema au upinzani ambako viongozi wake wanahamia tena CCM.Na bado wanaichagua CCM
Kuanzia kazi kijijini kunaweza kuwa nafasi bingo ya maisha, vijana wengi hawapendi kuanzia kazi vijinini. Hii ni kutokana na miundo mbinu kuwa mibovu zaidi huko vijijini
Fikiria unaanza kazi kama tabibu, nesi, mwalimu, bwana kilimo kijijini. Unakuta kuna nyumba yenye maji na umeme, japo utakatwa katika mshahara pesa ya pango kwakua nyumba ni ya serikali lakini itskupunguzia upungufu.
Ukishazoea mazingira ni rahisi kupata ardhi na kuanza kilimo huku ukiwa mfanyakazi wa serikali. Kilimo kikileta ziada ya mapato unaweza kuanza ujenzi wa nyumba. Ikitokea unahamishwa nyumba unauza au kuipangisha.
Tatizo la kuanza maisha kijijini na unakuta kijiji chote kina nyumba za nyaso na matope. Haya ndiyo matatizo yanayowakayisha tamas vijana kuanzia ajira vijijini.
Mwisho wa mwezi kuufuata mshahara unasafiri siku nzima tena kwa malori ya mkaa.
Kuanzia kazi kijijini kunaweza kuwa nafasi bingo ya maisha, vijana wengi hawapendi kuanzia kazi vijinini. Hii ni kutokana na miundo mbinu kuwa mibovu zaidi huko vijijini
Fikiria unaanza kazi kama tabibu, nesi, mwalimu, bwana kilimo kijijini. Unakuta kuna nyumba yenye maji na umeme, japo utakatwa katika mshahara pesa ya pango kwakua nyumba ni ya serikali lakini itskupunguzia upungufu.
Ukishazoea mazingira ni rahisi kupata ardhi na kuanza kilimo huku ukiwa mfanyakazi wa serikali. Kilimo kikileta ziada ya mapato unaweza kuanza ujenzi wa nyumba. Ikitokea unahamishwa nyumba unauza au kuipangisha.
Tatizo la kuanza maisha kijijini na unakuta kijiji chote kina nyumba za nyasi na matope. Haya ndiyo matatizo yanayowakayisha tamas vijana kuanzia ajira vijijini.
Mwisho wa mwezi kuufuata mshahara unasafiri siku nzima tena kwa malori ya mkaa.