Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Unaumwa SAFURA wewe,umeshawahi kuwa Mkatoliki?.Sometimes ni bora kufyata mkia utaonekana una akili kuliko kushabikia usichokuwa na Uhakika nacho.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Wewe umekasirika wakati ulikuwa unatetea ushoga? Wazazi wako wangeshiriki ndoa za jinsia moja ungezaliwa?
Mkuu Kama wewe sio shoga kwanini uunge mkono huo upuuzi? Papa kachemka na kuhusu ukatoliki nishakuwa benchi kitambo
 

Tubaki na bibilia iliyosema wafira..ji hawata uona ufalme wa Mungu… mtu akishupaza shingo kukubalia ushoga uwe halali na wakati biblia imeshamkataza sijui nimueleweje 😁😁
 
Asante shekhe.. mimi nimepata kitu apo.. "Fuata sheria za mungu wako"
 
Ni nyakati za mwisho zilizotabiriwa.
Ni wakati wa kusimama mwenyewe kwa miguu yako na kumtazama Yesu kristo tu, yeye aliyeanzisha safari yako, yeye pekee ataitimiza.
Ukitazama wanadamu utaanguka vibaya sana.
Warbrania 12:2 2 tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu;
 
Hii nimeitoa kwenye Biblia Takatifu.
1 Wakorintho 6:9
[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti.
Ukweli usemwe, Binafsi sio mkatoliki, ila kwa hili papa hayuko sawa..
 
Kama ungeendelea kubaki ningekushangaa sana. Hongera [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji3]
 
Waambie familia yako, kanisa katoliki halijawahi kumzika mtu bila kuombwa na wahusika
 
Naona nyuzi nyingi tu zikianzishwa humu kumuongelea sijui papa,, kwani ni nani huyo mtu na kafanya nini???
 
Lakini shehe au mufti mkuu wa mkoa mnae sio....
 
Nae atapiga mchungaji na kondoo watatawanyika
 
Kataa kuwa Roman Catholic na sii Catholic.
Roman Catholic ni thehebu mama katika mengi yaliyojitengeneza nje ya kanisa.
Ila ukisema katoliki ni kumaanisha kanisa la mahala pote(worldwide).
Kanisa ni mwili wa kisiri wa Kristo kwa maana ya mtu binafsi popote aliyeitikia mwito wa kumfuata na kuwa mfuasi wa Yesu Kristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jemima Mrembo

Nikiyakumbuka maandishi yako humu jinsi ulivyokuwa unakinzana na Kanisa Katoliki kuhusu kwaresma kumuheshimu Mama Bikira Maria na kuhusu sheria ya Kanisa kutokula nyama siku ya ijumaa kuu,nakushauri usijitie dhambi kusema vitu vya uwongo huku ukimtaja Mungu.

Still ulikuwa na option ya kutoa maoni yako na kukosoa ukiwa ndani ya hiyo hiyo imani yako unayoiamini kuliko ku-pretend kitu usichokuwepo.
 
This generation is a bit so active in a church but inactive in it's gospel.

Fuata neno la Mungu linavyosema, kanisa ni jengo tu lenye jumuiya ya watu tu wenye sera, mifumo na vitu kadha wa kadha. Kanisa sio tamati bali ni namna ya kuifikia tamati ila Injili ni tamati ya kweli.

Enewei mzoea punda hapandi farasi.
 
Kumbe bado ulikua unaabudu sanamu za kizungu hahaha njoo huku tuendelee kuabudu miembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…