Kuanzia leo natangaza vita kwa watu wote wanaoo wanadharau watu wafupi.

Kuanzia leo natangaza vita kwa watu wote wanaoo wanadharau watu wafupi.

Najua haukizaliwa unawachukia watu wafupi ila ulijifunza kuwachukia watu wafupi kwa watu wengine na kwa sababu ww ni mrefu.

Kwa sababu ulijunza kuwachukia watu watu wafupi basi jifunze pia kuwapenda watu wafupi.

Eti unajua! Unanijua wakati nazaliwa? Nimewa observe wachache sio wagomvi wengine nikuwavumilia tu maana wanakamilisha height iliyobaki kwa matendo. So tunakuwa na unconditional acceptance tu kuishi nao.
 
Vipimo vya mtu mfupi na mrefu ni vipi tuanzie hapo kwanza.
 
Weka picha tafadhal ya wafup
f1ec67c3a292b86cb4fae75d963d44a6.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano kama huyo jamaa.
 
Huyu vidole vyake vinaweza kweli kushika simu na kuandika,,!!!,,,
[emoji3][emoji3]
 
Mkuu Umeona Hata Mawazo Yako Yalivyokuwa mafupi. ? Ungekuwa Mrefu Ungefikiri Zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenkumbusha kauli za mwanangu mmoja toka Tanga, alikuwa mpinzani wangu sana hahahah. Ilikuwa tukipingana kwa hoja nikimzidi anatumbukizia point za kuninyamazisha eti watu wafupi mna matatizo sana
 
Najua haukizaliwa unawachukia watu wafupi ila ulijifunza kuwachukia watu wafupi kwa watu wengine na kwa sababu ww ni mrefu.

Kwa sababu ulijunza kuwachukia watu watu wafupi basi jifunze pia kuwapenda watu wafupi.
Hahahahah hii kasumba sijui itaisha lini
 
Hamna uvumilivu wowote, mna kisirani sana, hamjiamini kila kitu lazima mgombane ili muonekane mpo hata kama hakifai kubisha mtabisha tu kwa ubabe ndo maana mnadharaulika na kuonekana wajinga.
Acha zako we madam, ngoja upate mtoto mfupi ndio utafurahia show. Uone mkaza mwanao anamdharau halafu akijitetea useme mwanangu mbishi na si mvumilivu sawa eeh..
 
Eti unajua! Unanijua wakati nazaliwa? Nimewa observe wachache sio wagomvi wengine nikuwavumilia tu maana wanakamilisha height iliyobaki kwa matendo. So tunakuwa na unconditional acceptance tu kuishi nao.
Hii inaashiria Mr.wako ni mfupi na wewe hufurahii hio hali!
 
Acha zako we madam, ngoja upate mtoto mfupi ndio utafurahia show. Uone mkaza mwanao anamdharau halafu akijitetea useme mwanangu mbishi na si mvumilivu sawa eeh..

Ninaye mfupi tayari. Ila haiwezi kufuta hayo niliyo observe. Asipojiheshimu hata heshimiwa.
 
!
!
Watu wafupi huonesha urefu wao kwenye maisha yao. Huwa na vimisimamo vya ajabu ajabu kweli vibishiiii yaani dah shida tupu.
 
Back
Top Bottom