Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Najua haukizaliwa unawachukia watu wafupi ila ulijifunza kuwachukia watu wafupi kwa watu wengine na kwa sababu ww ni mrefu.
Kwa sababu ulijunza kuwachukia watu watu wafupi basi jifunze pia kuwapenda watu wafupi.
Inabidi Mtafute Mashamba Mkaendelee Na Kilimo Chenu cha VibamiaSawa na ninajua hizo bado ni harakati za kuendelea kumdharau mtu mfupi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu warefu wanajua.Vipimo vya mtu mfupi na mrefu ni vipi tuanzie hapo kwanza.
Sawa mtu mrefu pilot 7:Inabidi Mtafute Mashamba Mkaendelee Na Kilimo Chenu cha Vibamia
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Mtu mrefu anaanzia futi ngapi na nchi ngapi?
Fanya hivyo tafadhaliNgoja nikipata vipimo nitakuletea vipimo.
Hahahahah pole mchiziWatu warefu wananikera basi tu. Sitasahau nilipoachwa na demu wangu kisa mi mfupi akaenda kwa jamaa ambaye ni mrefu
Makandila
Umenkumbusha kauli za mwanangu mmoja toka Tanga, alikuwa mpinzani wangu sana hahahah. Ilikuwa tukipingana kwa hoja nikimzidi anatumbukizia point za kuninyamazisha eti watu wafupi mna matatizo sanaMkuu Umeona Hata Mawazo Yako Yalivyokuwa mafupi. ? Ungekuwa Mrefu Ungefikiri Zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah hii kasumba sijui itaisha liniNajua haukizaliwa unawachukia watu wafupi ila ulijifunza kuwachukia watu wafupi kwa watu wengine na kwa sababu ww ni mrefu.
Kwa sababu ulijunza kuwachukia watu watu wafupi basi jifunze pia kuwapenda watu wafupi.
Acha zako we madam, ngoja upate mtoto mfupi ndio utafurahia show. Uone mkaza mwanao anamdharau halafu akijitetea useme mwanangu mbishi na si mvumilivu sawa eeh..Hamna uvumilivu wowote, mna kisirani sana, hamjiamini kila kitu lazima mgombane ili muonekane mpo hata kama hakifai kubisha mtabisha tu kwa ubabe ndo maana mnadharaulika na kuonekana wajinga.
Hii inaashiria Mr.wako ni mfupi na wewe hufurahii hio hali!Eti unajua! Unanijua wakati nazaliwa? Nimewa observe wachache sio wagomvi wengine nikuwavumilia tu maana wanakamilisha height iliyobaki kwa matendo. So tunakuwa na unconditional acceptance tu kuishi nao.
Acha zako we madam, ngoja upate mtoto mfupi ndio utafurahia show. Uone mkaza mwanao anamdharau halafu akijitetea useme mwanangu mbishi na si mvumilivu sawa eeh..
Hii inaashiria Mr.wako ni mfupi na wewe hufurahii hio hali!