[emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji53]Umenkumbusha kauli za mwanangu mmoja toka Tanga, alikuwa mpinzani wangu sana hahahah. Ilikuwa tukipingana kwa hoja nikimzidi anatumbukizia point za kuninyamazisha eti watu wafupi mna matatizo sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] safi sanaUtakuwa ulimuota Mwajei Shilole
Tatizo ni kumdharau mtu, ukimuonesha upendo wa dhati hawezi kuwa na character za ajabu. Sasa wewe unajitutumua kujibizana na mwanaume unategemea nn!?!
!
Watu wafupi huonesha urefu wao kwenye maisha yao. Huwa na vimisimamo vya ajabu ajabu kweli vibishiiii yaani dah shida tupu.
Unajuaje na bado anaendelea kukua, ukweli usiopingika juu ya watu walio wafupi kwa kimo huwa ni ile hali ya kuwa na hasira za haraka. Hilo ni given, so itategemea na jinsi gani mtu ana anger controlNinaye mfupi tayari. Ila haiwezi kufuta hayo niliyo observe. Asipojiheshimu hata heshimiwa.
Hahahah..?We mbilikimo umetetewa huku
Saint Ivuga
Tatizo ni kumdharau mtu, ukimuonesha upendo wa dhati hawezi kuwa na character za ajabu. Sasa wewe unajitutumua kujibizana na mwanaume unategemea nn!?
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23]Mkuu Umeona Hata Mawazo Yako Yalivyokuwa mafupi. ? Ungekuwa Mrefu Ungefikiri Zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mfupi ni kuanzia nchi 5.69 kushuka chini.Fanya hivyo tafadhali
[emoji23][emoji28][emoji28]
Kwahiyo hujafika 5'7 mkuu? Nasikia wafupi wabishi na walalamishi sana
Kuna watu warefu hawa n above 6 feet na wakawaida hawa wana range 6 to 5 up to 5.5 below ni wafupi igawa kuna ufupi wa kawaida na ule wa akina tausi nadhan hapa tumeelewanaVipimo vya mtu mfupi na mrefu ni vipi tuanzie hapo kwanza.
hata watu warefu nao ni wabishi tena sana. ila wao wnajionaga wapo sahihi kwa sababu wao ni warefu.Kwahiyo hujafika 5'7 mkuu? Nasikia wafupi wabishi na walalamishi sana
Nimekupata pole sana kwa masaibu yaliyokukuta mikononi mwa the so called warefu.hata watu warefu nao ni wabishi tena sana. ila wao wnajionaga wapo sahihi kwa sababu wao ni warefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wewe hapo mtoto mzuri.Utakuwa ulimuota Mwajei Shilole
Ni wewe hapo mtoto mzuri.
Nifate pm basi