Kuanzia leo natangaza vita kwa watu wote wanaoo wanadharau watu wafupi.

Watu wafupi waheshimiwe maana ndo waliogundua ngazi

Kuishi ni bahati kufa ni lazima
 
Halafu watu wafupi wana mikwara na wabishi sijui kwanini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawaona wanaume wafupi ni watu waelewa na wanaochimba mambo kwa mapana kuliko wale warefu,shida ni kwa wanawake wafupi kwani ni wabishi na wanarudiarudia sana maneno yao ya yasiyopendeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nadhani ni hofu yako tuu, kwa sababu kila binadamu ana nafasi yake hapa duniani. Kwa hiyo wala huna haja ya kutumia nguvu nyingi kuahangaika na watu wachache ambao wana akili mgando. Kuwa na amani na shiriki kikamilifu katika majukumu mbalimbali ya kujenga nchi. Wala usihofu na kama hujaoa tafuta Mwanamke mrefu aliyeshiba na mbabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…