Kuanzia leo naunga mkono siasa za Msukuma na Kishimba wasomi wa Darasa la Saba, hawa maprofesa wanaliangamiza taifa

Kwako wewe unaamini na kusadiki ng'ombe pori aweza kujisaidia kinyesi kinachoweza kupelekea kapani kusoma kgs 25, surely?
 
Huko watu wameanza kufuga mwaka jana?
 
Hii ndiyo Tanzania chini ya CCM.....utashangaa hapa JK anamchagua kuwa waziri hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…