Mnabishana Kwa msichokijua bora kati yenu angekuwepo anaejua awaeleweshe tutafute Fact tusianze ku Attack Personality na Kudharirisha ,Kudharau Taaluma za Watu..My Side Prof Manyele namfaham Vizuri ni mtu ambae hana ubabaishaji na hua hataki kuyumbishwa kwenye Taaluma yake Kwa kile alichokifanyia kazi ndio maana Hata Mwenda zake Alimtoa kwenye Cheo cha Ukemia sababu Prof hakutaka kubambikia watu kesi kwa kutumia taaluma yake Anafundisha Vyuo kadhaa Nchini Canada [emoji1063],ana Kampuni yake binafs ya Kuteketeza taka ngumu na lain Na zinafatenda kubwa mpaka Dubai ndo aje kushindwa kutoa Report ya Mto Mara?!ebu kuweni serious