Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Bila kuachana na mbinu, kauli mbiu na misamiati ya Haji Manara, tutaendelea kumpandisha chat na kumfanya yeye kuwa mkubwa kuliko akili zetu wote ikiwemo logo ya Simba.[emoji23]THIS IS Simba, umekuwa msemo kielelezo cha kuitambulisha club yetu pendwa ya Simba, ambayo ni club ya wenye nchi matajiri akiwemo @mo Dewji, Bujibuji na wengine baadhi tunaojificha kwenye kijicho cha Mo na hisa zake (all in all tunajuana as secret cindicate)
Bila kuachana na mbinu, kauli mbiu na misamiati ya Haji Manara, tutaendelea kumpandisha chat na kumfanya yeye kuwa mkubwa kuliko akili zetu wote ikiwemo logo ya Simba.
Simba Branch, JamiiForums wing Mshana Jr kauli yako ni muhimu sana
Utayaona Uto fc yatakavyokuja kwa kufura utazani yao ndio SIMBATHIS IS Simba, umekuwa msemo kielelezo cha kuitambulisha club yetu pendwa ya Simba, ambayo ni club ya wenye nchi matajiri akiwemo @mo Dewji, Bujibuji na wengine baadhi tunaojificha kwenye kijicho cha Mo na hisa zake (all in all tunajuana as secret cindicate)
Bila kuachana na mbinu, kauli mbiu na misamiati ya Haji Manara, tutaendelea kumpandisha chat na kumfanya yeye kuwa mkubwa kuliko akili zetu wote ikiwemo logo ya Simba.
Simba Branch, JamiiForums wing Mshana Jr kauli yako ni muhimu sana
Hana ila mkiendelea kuutumia msemo mtaonyesha udhaifu..!!
Bro, THIS IS SIMBA iacheni, WIDA iacheni..!! vinginevyo mkitembea alimopita Manara mtaonyesha udhaifuUtayaona Uto fc yatakavyokuja kwa kufura utazani yao ndio SIMBAView attachment 1883498
Je imesajiliwa COSOTA? Je ina haki na hati miliki?Bro, THIS IS SIMBA iacheni, WIDA iacheni..!! vinginevyo mkitembea alimopita Manara mtaonyesha udhaifu
Shida ni pale alipojiona ni mkubwa kuzidi kichwaTwende mbele turudi nyuma, ukweli Manara alijua kuwapa mashabiki raha nyieee[emoji119][emoji119][emoji119] sio wa kufiti hapo aisee ukweli tuseme tu
Yeap hapo sawaShida ni pale alipojiona ni mkubwa kuzidi kichwa
Kumbukumbu zimewekwa sawa..[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Muasisi halisi wa msemo huo sio Haji Manara bali ni marehemu Ezekiel Mwalongo aliyekua mtangazaji wa TBC Taif. Simba ilikua inacheza pale Lusaka na ZANACO ya Zambia katika mechi ya marudiano ya Klabu Bingwa ya Afrika. Mechi ya kwanza walichezea Dar na timu zilitoka sare ya bila kufungana hivyo Simba ilikua ikihitaji ushindi au sare yoyote ya magoli iweze kusonga mbele
ZANACO walianza kufunga na Simba wakasawazisha dakika ya 85. Mwalongo alitangaza goli lile la kusawazisha kwa hamasa na mwembwe nyingi huku akisema "THIS IS SIMBA, THIS IS SIMBA, THIS IS SIMBAAAAAA". Kama matokeo yangebaki kama yalivyo SSC wangesonga mbele lakini ZANACO walifunga bao la pili kwenye dakika za nyongeza na kuzima ndoto za wana Msimbazi
Tangia siku hiyo msemo wa THIS IS SIMBA ukawa umezaliwa. Nashangaa credit anapewa Haji Manara!!! Labda kwa yeye kuutumia mara nyingi lakini sio kuuasisi
Sizungumzii Maliki ya msemo bro..!! Just vichwani mwa watu...!! Yaani humtaki mtu halafu aliyoyaanzisha unayataka..!!! HUKO NI KUMTAKA HUYO MTU..!!Je imesajiliwa COSOTA? Je ina haki na hati miliki?
Jamani huyu si alikuwa mwajiriwa?kila alichokifanya Simba alikuwa anatumikia mshahara wake
Unaweza ukawa sahihi, ila aliyepandikiza vichwani mwa watu na kumea ni MANARA..!! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeniMuasisi halisi wa msemo huo sio Haji Manara bali ni marehemu Ezekiel Mwalongo aliyekua mtangazaji wa TBC Taif. Simba ilikua inacheza pale Lusaka na ZANACO ya Zambia katika mechi ya marudiano ya Klabu Bingwa ya Afrika. Mechi ya kwanza walichezea Dar na timu zilitoka sare ya bila kufungana hivyo Simba ilikua ikihitaji ushindi au sare yoyote ya magoli iweze kusonga mbele