Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
THIS IS Simba, umekuwa msemo kielelezo cha kuitambulisha club yetu pendwa ya Simba, ambayo ni club ya wenye nchi matajiri akiwemo @mo Dewji, Bujibuji na wengine baadhi tunaojificha kwenye kijicho cha Mo na hisa zake (all in all tunajuana as secret cindicate)
Bila kuachana na mbinu, kauli mbiu na misamiati ya Haji Manara, tutaendelea kumpandisha chat na kumfanya yeye kuwa mkubwa kuliko akili zetu wote ikiwemo logo ya Simba.
Simba Branch, JamiiForums wing Mshana Jr kauli yako ni muhimu sana