Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoi

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.

Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.

Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.

Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.

Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.
 
Hiyo ilkuws bahati tu mkuu,
Cameron, Gabon, Equatorial Guinea, Uganda, Myanmar, Zimbabwe na sehemu nyingine nyingi sana nao wanaomba pia ila wako na watesi wao kwa miongo hadi nusu karne sasa.
 
Mkuu daima Mungu yupo kazini jaribu kujiuliza dunia kwa sasa ina watu billion ngapi?
 
Hiyo ilkuws bahati tu mkuu,
Cameron, Gabon, Equatorial Guinea, Uganda, Myanmar, Zimbabwe na sehemu nyingine nyingi sana nao wanaomba pia ila wako na watesi wao kwa miongo hadi nusu karne sasa.
Mbowe: Tutaendelea na Maridhiano hata ikichukua miaka 10

Merry Christmas!
 
Hiyo ilkuws bahati tu mkuu,
Cameron, Gabon, Equatorial Guinea, Uganda, Myanmar, Zimbabwe na sehemu nyingine nyingi sana nao wanaomba pia ila wako na watesi wao kwa miongo hadi nusu karne sasa.
Washukuriwe wazee wa Bagamoyo walioitengeneza nji hii asiwepo wa kuwaonea wengine kirahisirahisi huku akijisifu😆
 
Back
Top Bottom