Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoi

Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoi

Wapiga madili huwa mnaona dhambi sana kuishi katika njia na namna za unyoofu. Sasa unakaa hapa unaandika matakataka hapa as if unawakilisha taifa zima kumbe unatoa maoni yako binafsi. Life ilivyokuwa ngumu hivi wewe unasema mambo yalikuwa magumu. Hivi wewe ni mzima kweli wewe?!
 
Viva JPM, wanasema kuna maendeleo wakati hali inazidi kuwa mbaya tunarudi nyuma zaidi umeme changamoto tena mwaka 2022, msimdanganye Bi Mkubwa hali ni mbaya sana na mnajua ila wavivu, wapiga madili mnafurahi kwa sasa, ila amini atakuja imara zaidi ya JPM
 
Usilolijua ni sawa na usiku giza! Rais wako wa 2030 to 2040 alishaandaliwa tayari! Anakomazwa tu sasa hv ajue uongozi bora ni upi na siyo Udikteta uchwara!!
Hata Shujaa Magufuli aliandaliwa na mkuu Pascal Mayalla alitushtua mapema Kabisa, so kuandaliwa ni Utamaduni wa kawaida sana wa CCM
 
Back
Top Bottom