Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoi

Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.

Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.

Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.

Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.

Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.View attachment 2457448
Sasa mzee kama Mungu ameshasikiliza maombi yenu kamutoleeni sadaka kwa kumua shetani!
 
Fanyeni kazi mjenge nchi huyo mnaedai ndiye alikuwa shetani wenu ameshatwaliwa,tuna imani sasa maendeleo yatapatikana.
Kwa kushirikiana kama taifa hilo linawezekana uliwepo na wewe
 
Mpunguze majungu kwa marehemu,fanyeni kazi na kushilikiana na malaika wa sasa taifa lisonge mbele!
Daima uwezo wa mtu kufikiri na kutenda ujulikana kutokana na michango yake kwenye jamii
 
CCM ni ileile tu wote wapigaji. Tofauti ni kwamba wakati wa utawala fulani kuna wanaoneemeka na wasioneemeka kivile ndani ya chama na nje ya chama
 
Ni mjinga tu anayemu underate shetani

Anayesema Shujaa Jiwe ni shetani ajue anakiri hadharani Kuwa Maguful ni Mtu mwerevu upeo!
Waswahili utawaweza boss, wanataka kutuamisha failure ya Tanzania kuwa masikini shida ni shetani aliepita. Sasa tumebaki malaika tu lakini bado ni masikini, sijui hawa malaika kwenye nchi hii wana impact gani?
 
Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.

Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.

Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.

Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.

Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.View attachment 2457448
Walau saizi ukipita Mtaani unaona Maendeleo ya mtu mmja mmja.
 
Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.

Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.

Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.

Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.

Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.View attachment 2457448
Labda nyie mliokuwa na vyeti feki na mliozoea haramu.
 
Back
Top Bottom