Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoi

A

Tuwe wakweli jamani mara nyingine. Are you serious baada ya kufa Magufuli kweli mambo ni yaleyale? Watanzania hatujui tunachotaka kwa kweli
Kama tukimuangalia Magufuli kwa jicho la kwamba alikuwa kiongozi mbaya na aliharibu nchi basi kweli kufa kwa Magufuli sioni kilichorekebishwa zaidi ya kuongeza matatizo tu.
 
Kipofu au mtu aliyevaa miwani ya mbao kama wewe hawezi kuona.
 
Back
Top Bottom