Wewe mwenyewe unaishia kushindia kashata na maji ya kandoroWenye vyeti fake. Lazima muwe hoi. Sisi wengine nothing changed. Isipokuwa tu sasa mianya ya upigaji ni mikubwa zaidi namalizia nyumba yangu ya 3 sasa. Safari Wizarani ni nyingi tanzania nimeimaliza. Sasa tunatoka sana nje ya nchi.
So katika hili familia yangu inashukuru. Lakini nachopiga mimi ni kidogo kuliko wakubwa zangu. Mi kuna wakati napata huruma nikiona hawa wananchi tunaowaibia....wenzangu wananitia moyo kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Ndo nini hivyo ulivyotaja?Wewe mwenyewe unaishia kushindia kashata na maji ya kandoro
Mkuu hivi ukiondoa hii sifa ya Tanzania ni nchi ya Amani, je ni kipi kingine ambacho Tanzania tumekifanya au tunakifanya kwa uhodari chenye kutambulika?Saizi mnajifichia kwenye umeme tuu 😁😁😁😁.
Namba zinaongea zenyewe 👇View attachment 2457805View attachment 2457806View attachment 2457807View attachment 2457808View attachment 2457809View attachment 2457810View attachment 2457811View attachment 2457812View attachment 2457814View attachment 2457815
Hivi kwanini ni Idd Amini na Hitler unataka kusema Tanzania hii tumeshawahi kuwa na kiongozi aliye sawa na Idd Amini au Hitler?"Hitler na idd Amini walikuwa ni wabaya na chukizo ubaya wao tutautaja milele, tutaukumbuka uovu wao utaifundisha nchi na dunia"
-wema huweza kusahaulika lakini ubaya na uovu na ukatili huwa hausahauliki kamwe-
Safari huanza na hatua moja, hata Hitler alikuwa mwema lakini taratibu alibadilika na kufikia alipofikia hata Mobutu alikuwa mwema tu hata idd amini pia, Tanzania yetu mungu wetu hakupenda suala lifikie kwenye maturity.Hivi kwanini ni Idd Amini na Hitler unataka kusema Tanzania hii tumeshawahi kuwa na kiongozi aliye sawa na Idd Amini au Hitler?
Sawa ila hujasema kwa nini umfananishe huyo kiongozi wa Tanzania na hao watu? sijawahi kuona kiongozi mwengine Tanzania akifananishwa na hao watu.Safari huanza na hatua moja, hata Hitler alikuwa mwema lakini taratibu alibadilika na kufikia alipofikia hata Mobutu alikuwa mwema tu hata idd amini pia, Tanzania yetu mungu wetu hakupenda suala lifikie kwenye maturity.
Tuko mahiri Sana kwenye Utalii na uhifadhi Duniani.Mkuu hivi ukiondoa hii sifa ya Tanzania ni nchi ya Amani, je ni kipi kingine ambacho Tanzania tumekifanya au tunakifanya kwa uhodari chenye kutambulika?
Unaweza ukatolea maelezo zaidi hapo kuonyesha huo umahiri wetu kwenye hivyo vitu?Tuko mahiri Sana kwenye Utalii na uhifadhi Duniani.
Matendo tazama matendo, utamjuaje mtu kama ameokoka........Sawa ila hujasema kwa nini umfananishe huyo kiongozi wa Tanzania na hao watu? sijawahi kuona kiongozi mwengine Tanzania akifananishwa na hao watu.
Ndio hapo nilipopataka ni matendo gani hayo mliyotizama ambayo hakuna kiongozi mwengine yeyote aliwahi kuwa nayo Tanzania isipokuwa kiongozi huyo tu?Matendo tazama matendo, utamjuaje mtu kama ameokoka........
Jamaa walikuwa mafala sanaKuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.
Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.
Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.
Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.
Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.View attachment 2457448
NdioHivi kwanini ni Idd Amini na Hitler unataka kusema Tanzania hii tumeshawahi kuwa na kiongozi aliye sawa na Idd Amini au Hitler?