Duuu pole sana mjombaHujui tu Mmawia bora uhoi wa Watanzania kwa miaka hiyo ya Magu,kulikuwa na matumaini baadae nakuambia. Hujui uhoi wa Watanzania kwa sasa,watu wamechapika huko kitaa. Pesa imepotea kabisa huko kitaa hata uwe na ofisi,haichanganyi kama kipindi cha Magu. Pesa yote sasa imekusanywa na mafisadi wametulia nazo. Labda na wewe kama ni mmojawapo umetulia na pesa. Tena Bora mafisadi wa kipindi cha jk's pesa waliitawanya kwa wengi. Hawa wa sasa ni hatari. Pesa yote wameituliza,tena sidhani kama ni hapa nchini,lazima ni nie huko.
Huku kitaa Hali imebana
Hitler anajulikana dunia nzima na mambo aliyoyafanya, sasa huyo kiongozi wa Tanzania amefanya yapi yenye kufanana na Hitler?Ndio
Sawa wewe ambaye umeolewa unajuaje maana unasubiri tu uletewe. 😁Utajua wapi wakati unatafutiwa na shemeji yako?
Kwa mtazamo wako wa kimasikini.Sawa wewe ambaye umeolewa unajuaje maana unasubiri tu uletewe. [emoji16]
Hata Hitler anakumbukwa sembuse huyo aliekufa juzi tu? Wabaya wanakumbukwa zaidi kuliko wema. Ni vigumu kusahau maumivu aliyosababishia nchi Magufuli mapema unavyofikiri wewe. Kumbukwa hakumbukwi kwa mazuri, watu hawaamini km amekufa kweli.Mawazo ya mtu aliekufa yakiwa yanaishi ni hai kuliko watu hai wenye mawazo mfu Kama mleta mada.
Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.
Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.
Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.
Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.
Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.View attachment 2457448
Nenda Oman, Nenda Saudi Arabia, Afghastan n.k utanielewa. Hata Zanzibar hapa ndivyo kwa asilimia kubwa tunaishi hivi.Kwa mtazamo wako wa kimasikini.
Yaani karne hii bado unaamini kuwa mwanamke wa leo bado ni wa kukaa nyumbani na kuketewa?
Aisee kweli maajabu hayawezi kwisha hapa duniani.
Mtasahau tu mkuu, cuf wamepitia misukosuko sana katika nchini wakati huo cuf ni cuf kweli jino kwa jino ila sasa mmesahau hao waliyo wasababishia mateso cuf, hivyo hata Magufuli mtamsahau tu.Hata Hitler anakumbukwa sembuse huyo aliekufa juzi tu? Wabaya wanakumbukwa zaidi kuliko wema. Ni vigumu kusahau maumivu aliyosababishia nchi Magufuli mapema unavyofikiri wewe. Kumbukwa hakumbukwi kwa mazuri, watu hawaamini km amekufa kweli.
Nchi hii inanajisiwa na ccm, siku ambayo ccm itatoka madarakani hapo ndio utakaso utakuwa umepatikana na ndipo tutaona mabadiliko tofauti na sasa amekufa Magufuli ila mambo ni yaleyale tu.Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.
Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.
Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.
Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
Hao wanaomshangilia naona wamemkimbia🤣🤣🤣Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.
Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.
Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.
Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.
Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.View attachment 2457448
Heeheee wao Mola wao hajawasikiliza?Hiyo ilkuws bahati tu mkuu,
Cameron, Gabon, Equatorial Guinea, Uganda, Myanmar, Zimbabwe na sehemu nyingine nyingi sana nao wanaomba pia ila wako na watesi wao kwa miongo hadi nusu karne sasa.
Duuh umeungana na Idugunde? Kweli mwisho wa dunia huuNchi hii inanajisiwa na ccm, siku ambayo ccm itatoka madarakani hapo ndio utakaso utakuwa umepatikana na ndipo tutaona mabadiliko tofauti na sasa amekufa Magufuli ila mambo ni yaleyale tu.
Ndio nani huyo? Kuna watu wanataka tuone kufa kwa Magufuli ndio suluhisho la matatizo yetu sugu hapa Tanzania, kumbe miaka yote kabla ya Magufuli adui yetu ni ccm ndio chanzo cha matatizo yetu sugu.Duuh umeungana na Idugunde? Kweli mwisho wa dunia huu
Lakini jpm alijinadi kuyamaliza badala yake yakazaliana na kuwa mengi zaidi wakati wake.Ndio nani huyo? Kuna watu wanataka tuone kufa kwa Magufuli ndio suluhisho la matatizo yetu sugu hapa Tanzania, kumbe miaka yote kabla ya Magufuli adui yetu ni ccm ndio chanzo cha matatizo yetu sugu.
Yapi hayo? Mimi nimekwambia tatizo letu ni Ccm.Lakini jpm alijinadi kuyamaliza badala yake yakazaliana na kuwa mengi zaidi wakati wake.
Mzuri wako uko wapi. Hapo ulipo na hata ndugu zako yote yanatokana na msingi bora aliouweka Nyerere.Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Tuwe wakweli jamani mara nyingine. Are you serious baada ya kufa Magufuli kweli mambo ni yaleyale? Watanzania hatujui tunachotaka kwa kweliNchi hii inanajisiwa na ccm, siku ambayo ccm itatoka madarakani hapo ndio utakaso utakuwa umepatikana na ndipo tutaona mabadiliko tofauti na sasa amekufa Magufuli ila mambo ni yaleyale tu.