Yan kumbe kuna watu ukilogwa ukawapa lift wanakushusha kwenye gari au wanataka ukae kwenye boot then wawe ndio wenye gari.Usilolijua ni sawa na usiku giza! Rais wako wa 2030 to 2040 alishaandaliwa tayari! Anakomazwa tu sasa hv ajue uongozi bora ni upi na siyo Udikteta uchwara!!
Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.
Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.
Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.
Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.
Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.View attachment 2457448
Hakuna sehemu nimemtaja Magu kwenye uzi wangu.
Jaribu kutuliza ubongo wako ndugu
Ona ugoro hii saa hivi ndo hawapo hoi? Subiri uone tokeo la chaguzi wa 2025 ntinti kuanzia humo humo kwanza Kwa wajumbe alafu warudi mtaani ndo utajua watanzania hawapo hoi au wapo hoi [emoji3][emoji3]....sema tunashukuru hii sikukuu mmetuheshimu kidogo HAMJAKATA UMEMEKuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.
Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.
Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.
Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.
Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.View attachment 2457448
Acha kutumia neno "Merry Christmass" kwa mambo ya kijinga.Nakufokea nikiwa hapa Mibikimitali.Wananchi wa nchi gani?
Merry Christmas
Utafiti, ushahidi? Hoi vipi na kwanini au unalenga kumsema kiongozi aliyekwishafariki utadhani atarudi au itakusaidiaKuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.
Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.
Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.
Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.
Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.View attachment 2457448
Maumivu yakizidi muone daktariOna ugoro hii saa hivi ndo hawapo hoi? Subiri uone tokeo la chaguzi wa 2025 ntinti kuanzia humo humo kwanza Kwa wajumbe alafu warudi mtaani ndo utajua watanzania hawapo hoi au wapo hoi [emoji3][emoji3]....sema tunashukuru hii sikukuu mmetuheshimu kidogo HAMJAKATA UMEME
Anza weweKajinyonge
"Hitler na idd Amini walikuwa ni wabaya na chukizo ubaya wao tutautaja milele, tutaukumbuka uovu wao utaifundisha nchi na dunia"Mawazo ya mtu aliekufa yakiwa yanaishi ni hai kuliko watu hai wenye mawazo mfu Kama mleta mada.
Wenye vyeti fake. Lazima muwe hoi. Sisi wengine nothing changed. Isipokuwa tu sasa mianya ya upigaji ni mikubwa zaidi namalizia nyumba yangu ya 3 sasa. Safari Wizarani ni nyingi tanzania nimeimaliza. Sasa tunatoka sana nje ya nchi.Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.
Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.
Tulibezwa na kutishiwa hata kuvunjwa miguu, tuliambiwa hatuna haki hata ya kwenda kuwapokea wapendwa wetu.
Mungu akasikia kilio chetu maana leo hii hatumsikii Sabaya akifoka, hatumsikii Musiba akitishia kutuvunja miguu, hatumsikii Happy akitishia wazee wetu wastaafu.
Hakika Mungu ni mkubwa na yupo leo yupo Jana na leo.View attachment 2457448
Na inawezekana ya hapa ile albadir ya lissu ndo ilifanya muhimili kutikisikaHiyo ilkuws bahati tu mkuu,
Cameron, Gabon, Equatorial Guinea, Uganda, Myanmar, Zimbabwe na sehemu nyingine nyingi sana nao wanaomba pia ila wako na watesi wao kwa miongo hadi nusu karne sasa.
Kudadadeeeki sukuma gang hamna pa kukimbiliaOna ugoro hii saa hivi ndo hawapo hoi? Subiri uone tokeo la chaguzi wa 2025 ntinti kuanzia humo humo kwanza Kwa wajumbe alafu warudi mtaani ndo utajua watanzania hawapo hoi au wapo hoi [emoji3][emoji3]....sema tunashukuru hii sikukuu mmetuheshimu kidogo HAMJAKATA UMEME